THIS lIFE IS UNFAIR,WHY ALWAYS ME?

Nenda kamwone dean of students atakusaidia ila hakikisha umelipa tuition fee.

Ha,ha. Umenikumbusha kuna jamaa yangu alikuwa muchs alisimulia kuwa kuna jamaa alikuwa anakataliwa na mademu. Baadaye akaenda kwa prof mmoja(administrator) amuunganishie kwa demu kwani atamuoa. Yule dada alipoona ujumbe umepitia kwa mzito akakubali. Jamaa akagegeda aafu akampiga chini. Demu alimlalamikia sana huyo prof!
 
dah,hyo ni nouma
 
ifike kipindi uhisi kile anachoandikia huyu mtoto kina mantiki sio kila kitu we ku criticize tu.....kama vile we ndio mmbora kuliko wengine , we ndio mwelevu kuliko wengine, we ndio umekalika kuliko wengine
 
thank u umeliona.
 
Hapo iko shida tena kubwa mtoto w kiume unasema uko bikra, kila kona y jiji n chuo wapo wakumwaga bt hajatoa bikra kinadada wamempa ushauri mzuri ila mie naona anatakiwa aboostiwe n jumper cable cz betri yke inashida
 
seen,and confirmed!
 
lakini kama wakinifata watakuwa wananipendea ela na kazi wala cie mim jnz nilvyo,sasa hapo kutakuwa na mapenzi kweli?

ndiyo maana mwanaume haitwi mrembo bali mtanashati, utanashati ni product ya material....piga shule ukishakuwa na stability na trannsaction nzuri hata kama una sura mbaya kama yangu, utajiweka utanashati kisha warembo watakukimbilia. Acha kujishusha kwa sababu tu makahaba hawakutaki....tena ushujuru makahaba wanakukimbia....
 
Halafu kitu kingine, usikimbilie wanawake wazuri, tafuta mwanamke wa kawaida saaaana, wanakuaga easy, especially hao wa huko chuo n im sure hatokua na tatizo na hizo swagga zako

Ukishapiga, ukajifunza mambo, ndo unaanza kuupgrade sasa.

You si sawa
 
ndo vijana wetu wa Mulugo hao
 
poa,nitafanyia kaz
 
nipo chuo kikuu

Ushapata bumu?. ukipata ni PM sio kwa ubaya nataka J-pili ijayo twende church ukatoe sadaka 100,000 kisha wakutangaze.
Nadhani huko iyo sound yako ya kuoa itafanya kazi just fine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…