labda hulipi.
labda hulipi.
labda hulipi.
sio silipi,i am very handsome kaka,and very bright
I am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
Nenda kamwone dean of students atakusaidia ila hakikisha umelipa tuition fee.
vunja/toa kwanza ubikira wa akili yako ndipo uhangaike na kutoa/kuvunja ubikira wa mwili wakoI am tired with this world,i was born in 1993, student chuo fulani hapa tanzani,..kila ninapojaribu kumpenda msichana kawahiwa,mie had leo sina hata girlfriend and i am still virgin had leo,kwa kuwa nimekuwa i have to get a girl...mfano>>wiki mbli zilizopita nilikutana na binti mmoja hapa chuoni,2mezoeana sana cha kushangaza hana upendo na mimi nilipomwambia i want to marry her,je,members ni kweli wasichana wote mnawapenzi?je,mie nina mkosi??kama kuna msaada please voluntere!i am tired.
mwali hii sentensi yako ya mwisho umesema kama nilivyo sema mimi.kijana wa kiume
uliye chuo
uliye zaliwa miaka 20 iliyopita
ukiwa na aina hii ya maongezi
aina hii ya kulalamika lalamika
aina hiii ya kuhisi dunia haikutendei haki
aina hii ya kuona kuwa ukikutana tu na msichana wiki mbili zilizopita basi unasema nataka kukuoa
aina hii ya kuona dunia zaid ya kukupa hewa na mahali pa kuishi haina uwezo wa kukuamulia maisha yako yalivyo
hebu hangaika kuvunja ubikira wa akili yako kwanza halafu ndo ukavunje ubikira wa mwili wako sawa enh!