This is what IKULU has been up to lately | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is what IKULU has been up to lately

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Game Theory, Nov 22, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Now picture this:

  Jumatatu asubuhi kwenye WEST WING mheshimiwa kawaita LUHANJO na mediocres wenzie akina SALVA et al wampe briefings then anamuuliza hivi ile website ya Ikulu imeishia wapi?

  LUHANJO: website? website gani?

  JK: Ya Ikulu

  LUHANJO: ohh hiyo mzee tayari iko online muda mrefu mbona?

  JK: Kweli? inaitwaje?

  LUHANJO:
  jina limenitoka lakini anayejua undani wa hayo ni SALVA

  JK: haya Salva website yetu imeishia wapi? Haya mambo ya kila kukicha wale vijana Jamii Forums kuulizia policies zetu nadhani its about time tukawa open na wapiga kura waliotuweka hapa badala ya kupafanya handaki la kujichimbia

  SALVA: Mheshimiwa website ipo

  JK: Nionyeshe..

  SALVA: Hii hapa:

  http://www.ikulumawasiliano.blogspot.com/

  JK: Salva you cant be serious! Hivi unanifanya mjinga sijui tofauti ya BLOG na WEBSITE?

  SALVA: Hapana bos lakini website tumeona bora ianze na hiii ile yenyewe bado inashughulikiwa na tenda zilishatangazwa na fungu lilishatengwa

  JK: na product ndio hii?

  SALVA: Ndio tumeanzia hapo lakini FREDDY MARO anajua zaidi

  JK: Tokeni wote nyie!!


  Naam this is what our friends pale Magogoni have been up..wanamwongopea JK kuwa website iko tayari kisha wanamwonyesha huu UTUMBO!!!!

  Where is Mugongo Mugongo when you need him?
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tokeni wote nyie! Then mambo kwisha.
   
 3. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  aliyewachagua nani? yeye
  Anaweza kuwafukuza nani? yeye
  Anayejua kwamba wana perfom au la nani? yeye
  tukeni hapa ndiyo nini? agh
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  bongo mambo ni tambarare
   
 5. F

  Fataki Senior Member

  #5
  Nov 22, 2009
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Game Theory, kama ulichokimwaga hapa ni "kweli kweli tupu, Mungu akusaidie", basi tumekwisha! Naishiwa nguvu niki-imagine kuwa just next door there is another mediocre by the name of Sofia Simba a.k.a. Asha Ngedere! Tutafika kweli?
   
 6. a

  alibaba Senior Member

  #6
  Nov 22, 2009
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yawezekana mmoja ni Mtoto wa Shangazi na wapili ni wa Mjomba!!!
   
 7. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Nyepesi ni kuwa SALVA na JAIRO walikula pesa za hiyo website

  FREDDY MARO naye tayari kwa kutumia connections za MAMA ANNA MKAPA tayari aliwashaline up watu wake waje kula hii tenda

  Hivi mshaona AUDIT report ya mle ndani?

  Hawa jamaa useless kabisa one minute JK inabidi adeal na Mawaziri wake wenye VYETI na DEGRESS FEKI next minute inabidi akubali kuongopewa kuwa hakuna tofauti kati ya BLOG na WEBSITE...of course according to LUHANJO ambaye anashauriwa na SALVA
   
 8. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  kweli inatisha. yaani mkuu anafahamu fika kwamba amedanganywa kwa makusudi kabisa kisha anaishia kusema "tokeni wote nyie" ! labda gt hajatumwagia yote yaliojiri, labda mkuu alitoa kauli nyingine zaidi ya hiyo "tokeni wote nyie". lakini kama mambo yalikuwa kama alivyomwaga gt basi "tumekwisha"
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  yaaani mkiambia sababu anazotoa SALVA ikulu kutokuwa na website mtasema kuwa nina kisasi naye lakini my patience naye is running out kusema kweli

  whats so difficult kumwambia boasi wako ukweli hataka kama unauma?
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Is this true or just thinking aloud?.
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Halafu Mkulu ana dada yake kabisaa anayejificha ficha, Hawa Ghasia sasa subiri naye siku atakapoamua kusema itakuwa aibuu sana!

  Respect.


  FMEs!
   
 12. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2009
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  My own Imagination....
  SYK2009GRJslv1.gif
   
 13. 911

  911 Platinum Member

  #13
  Nov 22, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  mkuu hata mimi nina wasiwasi kweli na hii habari.Kwangu mimi ni kama mazungumzo baada ya habari (RTD miaka hiyo)
   
 14. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  If you don't mind me asking, how did you get this info mkuu? It has to be from someone who was around during the time of the conversation. Also, are these there direct words or is the conversation paraphrased? Ni vizuri kujua authenticity ya vitu tunavyo letewa hapa JF.
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  It may appear paraphrased or as an outright parody, but the situation on the ground is real.

  Lets hope Shy comes to the rescue!
   
 16. T

  Teroburu Member

  #16
  Nov 22, 2009
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JF pls be serious! someone cooks a rumour/allegation/lie like this one is, wants JF members to believe it as a matter of fact to discuss, ridicule and malign others? Base discussions on facts not rumours.
  t-buru
   
 17. M

  Magezi JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hata kama unasema ni uongo, hoja iliyo mbele yetu ni je, website ya ikulu iko wapi??
   
 18. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  True, that is the point worth discussion. And it was the aim of this post
   
 19. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Salva is Rostam's creation at Ikulu therefore his allegiance is not to Jakaya, he is planted there as a mole to destroy him. The sooner he gets rid of him the safer will be his skin!
   
 20. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  The King Maker cannnot destroy its creation, the 2005-15 is done no wories, whats going on, is for 2015 ndia maana makamanda are not safe
   
Loading...