This is too much, Morogoro to Mwanza 17 hours

This is too much, Morogoro to Mwanza 17 hours

Bus siyo auto car 120 ni kubwa sana ndo zilikuwa zinaleta ajali kila kukicha
Na hiyo speed ya 120 unayoongelea wale mabus yao huwa wanatumia hizi highway ambzo zimenyoka na ni njia 2 hadi 4 lkn huwa siyo speed ya 120 huwa ni 80-100 mwisho.
 
Me nadhani Kuna umuhimu wa kupitia sharia zetu.. wangeruhusu basi zitembee usiku kucha unatoka zako ubungo saa 1 usiku unaingiaa mwanza asubuhi tu.
Ili mgegedane na wake za watu vizuri sio!? Enzi hizo mabasi yanasafiri usiku unakumbuka takwimu za Ajali na vifo vya Watanzania kwa mwaka!?
 
Kaka potential yako ni kubeba kilo 100 kwa kuogopa kuanguka na mzigo unasettle kubeba kilo kumi huo ni uvivu.

My point ni kuwa hatuwezi kuacha kuzitumia barabara kwa potential zake. Kisa kunawatu hawana elimu ya matumizi bora ya Barabara.

As for ubora sijui unatakakuniambia hakuna mashimo barabarani?! Au unamaanisha nn?!

Na sgr tukigonga ng'ombe mbili tutapunguza kasi KBS. Iwe 80kph?! Tunatakiwa kushinda vikwazo. Sio kujidunisha kwa mawazo kama haya.
Matatizo ni makubwa zaidi ya tunavyofikiria. Mimi sijafanya utafiti lakini kwa kufuatilia nimegundua asilimia kubwa ya ajali hizi zinatokana na Human Factor. Kwa udadisi mdogo naomba nyinyi mnao tumia usafiri wa barabara hebu waulizeni madereva schedule yao ya kazi na muda wa kupumzika. Kwa hili utagundua kwamba hawa marubani ukweli hawapumzishwi na matokeo yake ni physical & mental fatigue ambayo ni mbaya sana. Dereva anaweza kuendesha gari kwa mwendo wa kawaida tu[hasa usiku] na ukakuta anagongana na mwenzake uso kwa uso. Hii wakati mwingine hutokea dereva akiwa macho kabisa lakini kutokana na hiyo fatigue haoni na anastukia tayari ameshaingiana na mwenzake. Kuna mambo mengi sana ambayo wengi wetu hatuyaaangalii kabla ya kutoa mapendekezo yetu. Dereva akimwambia tajiri kuwa amechoka na angependa apate japo siku 1 ya kupumzika basi siku ifuatayo itabidi abaki ubaoni kwa sababu mwenye njaa mwingine amesha idaka tenda hiyo.
 
Niliposafiri kwa gari binafsi Dar niliondoka saa sita mchana na Arusha nikafika kwenye saa mbili na nusu usiku. siku nyingine nilipopanda bus, Dar tuliondoka saa kumi na mbili asubuhi na Arusha tukafika saa nne usiku. Sikuwahi kujua kuwa Arusha kunaweza kukawa mbali kiasi hicho!
 
Mkuu sio kirahisi kama unavyo fikiria hao wahalifu nao wataangalia mahali ambapo hapana askari wala nini na ndo wataya tegea magari hapo.....
Mkuu kati ya Kenya na Tanzania wapi kuna usalama zaidi?
 
Me nadhani Kuna umuhimu wa kupitia sharia zetu.. wangeruhusu basi zitembee usiku kucha unatoka zako ubungo saa 1 usiku unaingiaa mwanza asubuhi tu.
Watakwambia usalama barabarani usiku haujakaa vzr.
 
Mkuu sio kirahisi kama unavyo fikiria hao wahalifu nao wataangalia mahali ambapo hapana askari wala nini na ndo wataya tegea magari hapo.....
Mbona ukienda hapo jirani Rwanda hao vibaka na majambazi road usiku/muda wowote hawapo?

Ni determination tu Serikali/IGP Sirro+Vyombo vya usalama vikiamua kwa dhati ujambazi unabaki kua historia tu.
 
No hurry in afrika,kama umebeba maembe unaleta sokoni itabidi utusamehe tuu
 
Hapo inabidi ifanyike comparative analysis
Kwa macho tu inatosha,
Route
Za Mombasa to Nairobi
Mombasa to Malindi
Malindi to Nairobi
Nairobi to Mombasa
Nairobi to Kampala
Usiku kuanzia saa moja na nusu au saa Mbili
 
Sheria huundwa kutokana na mahitaji. Kuhusu hili miaka ya nyuma magari yalikuwa yanasafiri usiku na wataalam walianza kwa kuweka mawe/magogo barabarani na wakamalizia na SMG. Lakini vilevile baada ya barabara hizi kuwekwa lami, ajali za ajabu zilianza na ajali hizi nyingi zilitokea usiku. Swali la kujiuliza ni jee hali ya sasa ki usalama ikoje? na jee ajali zimepungua.
Kwa maoni yangu ni bora kufika mwanza ukiwa umechelewa,umechoka n.k kuliko unakuwa maiti kabla hata ya kufika mwanza.
Makofi kwako pwa pwa pwa pwa pwapwaaaaa
 
Kwa macho tu inatosha,
Route
Za Mombasa to Nairobi
Mombasa to Malindi
Malindi to Nairobi
Nairobi to Mombasa
Nairobi to Kampala
Usiku kuanzia saa moja na nusu au saa Mbili
Tafuta stats za ajali kenya halafu ufananishe na TZ halafu uweke in relation ya idadi ya mabasi yanayo safirisha abiria
 
Hapo inabidi ifanyike comparative analysis
Kwa macho tu inatosha,
Route
Za Mombasa to Nairobi
Mombasa to Malindi
Malindi to Nairobi
Nairobi to Mombasa
Nairobi to Kampala
Kuanzia saa moja na nusu au saa Mbili usiku safari inaanza
Kwa nini hakuna ajali nyingi
 
Tafuta stats za ajali kenya halafu ufananishe na TZ halafu uweke in relation ya idadi ya mabasi yanayo safirisha abiria

Hebu angalieni hii kidogo tu[ hasa kwa upande wa TZ]
TAARIFA YA WHO KUHUSU AJALI ZA BARABARANI
Road safety in Kenya
countrywork_kenya.jpg

Between 3000 and 13 000 Kenyans lose their lives in road traffic crashes every year. The majority of these people are vulnerable road users – pedestrians, motorcyclists, and cyclists. In addition, nearly one-third of deaths are among passengers – many of whom are killed in unsafe forms of public transportation.
Road safety in Tanzania
By Elias Mhegera and Asha Abinallah

It is now becoming a common phenomenon to hear of a fatal road accident in every month in Tanzania. Researches by an NGO, Amend.Org have proved that 3.4 percent of Tanzanians die in road accidents in a year, 75 percent of those stems from reckless driving.

According to statistics by the Traffic Wing of the Tanzania Police Force, there were 3,969 deaths in 2012, while in 4,002 were recorded in 2013 and 3,760 in 2014.
Concerning a number of accidents; a total number of 23,578 in 2012, to be followed by 23,842 in 2013, while there was a slight drop to 14,360 in 2014, at least showing the picture of the last three years.

bus_accident_tanzania-250x149.jpg

In March 11, at least 42 people died instantly in the Southern Highland Region of Iringa after a container carrier lorry collided with a passenger bus in an attempt to overtake each other.

This then make experts in the transportation sector to advice Tanzanians to take driving as a serious profession rather than a mere career for no-employed people. Amongst them is mechanical engineer Mr. Charles Kisunga, head of transport, safety and environmental studies at the National Institute of Transport (NIT).

“It is strange that people are not taking driving seriously, and since anyone can sit behind the wheel there is an exaggeration that they are drivers,” he lamented. He boasts that his institution the NIT has played its duty well, what remains is the government portion to monitor drivers, their practice and integrity as road users. He elucidated the main causes of road accidents as tiredness, drunkenness, poor driving schooling, outdated infrastructure, and at times it is passengers who pressurize drivers to travel at a high speed.

Some drivers over boast themselves that they are experienced enough so no one can control them or tell them which speed to pursue. While a good number of them does not have defensive driving techniques.

“With defensive driving a driver knows beforehand how to tackle a driving challenge whenever they are overwhelmed with tiredness and they cannot avoid an obstacle in the road,” he commented.
Another challenge is an importation of substandard vehicles. Some have very nice bodies outside but their mechanisms are outdated and already exhausted. It is because some transporters go for cheap things which offset the security elements.
 
Back
Top Bottom