Mtoto Wa kiume unalialia kama wakike...Duuuh kweli utawala wa magufuli umekuja kutukazia sheria zilizokua zinavunjwa miaka nenda rudi
Safari za kutoka DSM/Morogoro kwenda mikoa ya kanda ya ziwa kama Mwanza zimekua ndefu mno siku za hivi karibuni
Nimetumia takribani masaa 17 kutoka Moro kwenda Mwanza
Safari inachosha sana ,na ukifika kwenye Zebra hata kama hakuna mtu anavuka simama atleast Dk 1 au sekunde kadhaa then endelea kukanyaga mafuta
Madereva wa mabasi wamepewa masharti watembee speed 50 mpaka 80 ukizidisha fine au uwe umetoa rushwa.
Yani MTU anatoka DSM kwenda Washington kwa ndege kama Boeing au Airbus anawahi kufika lakini wewe wa kutoka Daslam au Moro kwenda Mwanza bado tu unahangaika na siti yako
Bora kupanda pangaboi walahi nasema.
Mkuu sio kirahisi kama unavyo fikiria hao wahalifu nao wataangalia mahali ambapo hapana askari wala nini na ndo wataya tegea magari hapo.....
Ajali zimepungua ama zimehamia miezi mingine?ila tumsifia magufuli na bosi wa traffick ... siku hizi ajali zimepungua sana... zamani mwisho wa mwaka huuu ajali kibao
Takwimu bro ! Hebu fanya utatifi yakinifu halafu utuambie vizuri 'Jee ajali zimeongezeka au zimepungua? wangapi wamekuwa wahanga? wakati gani ajali nyingi hutokea? kwa nini ajali hizo hutokea? jee magari ni mabovu? Jee madereva ni wabovu? Kifanyike nini? Leta mezani na ninauhakika utaamsha wazee nguli wa analysis humu jamvini watamalizia.Mmmmhhhh, Ajali nyingi ziko au zilikuwa mchana kuliko usiku.
Bus siyo auto car 120 ni kubwa sana ndo zilikuwa zinaleta ajali kila kukichaSpeed 100~120 me naona inafaa kabisa kwa basi
Hivi alfajiri ya leo huko mwidu Fuso limeuaMiundo mbinu futa kabisa ila jadili mengine
Ndugu zangu hebu fanyeni ka utafiti kidogo ili muweze kulizungumzia vizuri vinginevyo inakuwa kama mazungumzo ya kijiweni wakatu hil ni Jamvi la waelewaMwendo wa 120kph sio.mbaya tatizo,Sumatra hawasimamii utaratibu.barabarani. magari yanapata ajali kutokana na ushindani.barabarani.. Ingekuwa kuna daftari la ratiba.. Magari yaondoke kwa muda uliopangwa kila moja kwa mudawake na lifike vituo.mbali.mbali kwa mudawake wala wasingefukuzana hovyo.na ajali.zisingekuwepo.
Magari.yapangiwe ya saa 12.00 SAA 12.15 . SAA 12.30 kwa utaratibu huo gari la saa 12.00 litaendelea kuwa dk 30mbele ya lile LA saa 12.30 japo njia ni moja hakuna ushindani barabarani.. Mteja analindwa kwa kuwahi kufika na madereva wanaondolewa ushindani usiokuwa na tija.
Hatuwezi kukimbilia soln zisizokuwa na changamoto. Ajali zikianza hapa tutafikia kupiga.marufuku mabasi twende kwa miguu. Hii ya SPD 50 ni kukosa ubunifu. Kusimama kwenye zebra ..hii.hakuna sheria kama hiyo.. Hii.ni extortion tu.
Ukiwa ndani unaweza ona kama inanesanesa ila kimbembe pale Ngo'ombe anakatisha ghafla kama hii njia ya Arusha -Singida...ndo itajua hiyo speed bado itaondoa uhai sana kuliko mwenye hiyo 70km/hrSpeed 100~120 me naona inafaa kabisa kwa basi
Nakuelewa mkuu. Nimejibu kwa kuzingatia uhitaji wa maendeleo. Hatuwezi kuchelewa kusambaza huduma na bidhaa tukategemea uchumi.usisinyae.Ndugu zangu hebu fanyeni ka utafiti kidogo ili muweze kulizungumzia vizuri vinginevyo inakuwa kama mazungumzo ya kijiweni wakatu hil ni Jamvi la waelewa
Barabara zetu kubwa karibu zote ni zuri sana hivyo tatizo siyo barabara maana kile kipindi ambacho barabara zetu hazikuwa na lami ajali hazikuwa kama ilivyo sasa[ ingawa kwa sasa magari ni mengi zaidi] Kabla ya kuzungumza kiujumla kama wanasiasa fanyeni ka utafiti hata ka miezi 3 mitatu halafu tujadili na ingawa mimi siyo mganga wa ramli lakini hata utafiti huo ukifanyika itagundulika kuwa tatizo siyo barabara wala magari mabovuNakuelewa mkuu. Nimejibu kwa kuzingatia uhitaji wa maendeleo. Hatuwezi kuchelewa kusambaza huduma na bidhaa tukategemea uchumi.usisinyae.
Barabara zetu ni nzuri..tatizo kama nilivyowahi kusema.. Matunzo. Je **** ajali ngapi zinatokana na mashimo barabarani.. Kufutika kwa mistari ya pembezoni na kati ya barabara.? Nani alaumiwe kwa hili?!
Je tanroad wanawajibika kiasi gani kurekebisha ili.kuondoa mashimo?! Ongezeko LA watu kando kando mwa Barabara.. Je wizara ya ardhi nyumba na makazi.inawajibika kiasi gani.. Makazi yote pembezoni mwa Barabara kuu yalipaswa kuwa yamepangwa na yasanifiwe kudiscourage watu kujaa karibu na highway.
Kuwa na bus schedule..ni muhimu. Sumatra wanapaswa kusimamia hilo. Basi linaondoka SAA mbili dar linataka kwenda kuliacha lilitoka SAA 12 mtaacha kuwa na ajali?! Hapa tuwabane sumatra wafanye hili ni LA lazima.. Kuwe na wasimamizi kwa vituo kila baada ya km 100-150 na basi liwe lina clock muda wa kupita. Likiwahi fine na likichelewa fine pia.
Mabasi yawe yana lane maalumu maeneo ya miji na kuingia maeneo ya mizani. Tunapoteza muda mwingi sana kwenye mambo kama hayo. Kwa kifupi tunadumaza uchumi kwa kudhoofisha usafirishaji wa watu na malighafi. Inaongeza gharama zisizo za msingi kwenye biashara.
Pamoja na hayo yote mkuu.. Usalama Wa watu ni swala LA muhimu. Lakini isiwe chanzo cha kutembea 50kph wakati tunaenda mwanza. Hii ni sawa na kusimamisha SAA kutunza muda. Sio soln.! Ya mtu mzima.
Mkuu mimi nilotoka Dar saa kumi na mbili na nusu ma Kilimanjaro bus nikafika Arusha saa 2 kamili usiku...Duuuh kweli utawala wa Magufuli umekuja kutukazia sheria zilizokua zinavunjwa miaka nenda rudi
Safari za kutoka DSM/Morogoro kwenda mikoa ya kanda ya ziwa kama Mwanza zimekua ndefu mno siku za hivi karibuni
Nimetumia takribani masaa 17 kutoka Moro kwenda Mwanza
Safari inachosha sana na ukifika kwenye Zebra hata kama hakuna mtu anavuka simama atleast Dk 1 au sekunde kadhaa then endelea kukanyaga mafuta
Madereva wa mabasi wamepewa masharti watembee speed 50 mpaka 80 ukizidisha fine au uwe umetoa rushwa.
Yani MTU anatoka DSM kwenda Washington kwa ndege kama Boeing au Airbus anawahi kufika lakini wewe wa kutoka Daslam au Moro kwenda Mwanza bado tu unahangaika na siti yako
Bora kupanda pangaboi walahi nasema.
Kaka potential yako ni kubeba kilo 100 kwa kuogopa kuanguka na mzigo unasettle kubeba kilo kumi huo ni uvivu.Barabara zetu kubwa karibu zote ni zuri sana hivyo tatizo siyo barabara maana kile kipindi ambacho barabara zetu hazikuwa na lami ajali hazikuwa kama ilivyo sasa[ ingawa kwa sasa magari ni mengi zaidi] Kabla ya kuzungumza kiujumla kama wanasiasa fanyeni ka utafiti hata ka miezi 3 mitatu halafu tujadili na ingawa mimi siyo mganga wa ramli lakini hata utafiti huo ukifanyika itagundulika kuwa tatizo siyo barabara wala magari mabovu