Mazuri ya CCM ni mengi kuliko mapungufu chini ya Rais John Magufuli

Dec 13, 2018
30
140
MAZURI YA CCM NI MENGI KULIKO MAPUNGUFU CHINI YA RAIS JOHN MAGUFULI.

Leo 13:15pm,27/01/2019.

Serikali ya CCM ya awamu ya 5 chini ya Rais John Magufuli ilivuta hisia za watu wengi kitaifa na Kimataifa tangu kuingia kwake October 2015 kutokana na kashkashi za Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015,kuondoka kwa Edward Lowassa toka CCM kwenda Chadema na kuzua Mafuriko ya Wafuasi wake walioondoka nae toka CCM kuelekea Chadema na kuipa wakati mgumu Serikali ya CCM ya wakati huo iliyoongozwa na Rais Jakaya Kikwete.

Ugumu wa Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa CCM ndiyo iliyochagiza hasa style ya Uongozi wa Serikali ya CCM ya Awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli aliyoanza nayo.Aina ya utawala wa kuchukua maamuzi ya papo hapo bila kuchelewa dhidi ya utendaji mbovu wa Mtumishi yeyote wa Umma na 'makali' dhidi ya watumishi mbalimbali 'dhaifu' kutumbuliwa majipu, Style hii Mpya ya Serikali ya CCM ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli ilikonga nyoyo hasa, za wananchi hadi kufikia Approval rating yake kufikia 90+% (Twaweza,2016) kutokana na dhahania ya kwamba Serikali iliyopita iliendekeza udhaifu, kufuga wezi na kutukuza Ufisadi,

Sasa baada ya kuona Kiongozi Mpya Rais Magufuli akichukua hatua madhubuti dhidi ya Utendaji mbovu, Wizi wa Mali ya Umma, Ufisadi, Kutowajibika ipasavyo kwa Watumishi wa Umma kulinda na kupigania mali ya Umma,Kwa hakika asilimia kubwa ya Wananchi walifurahishwa sana na Utendaji wa Kiongozi Mpya na hatua stahiki zinazochukuliwa,

Maisha yaliendelea, matukio mengi yalitokea yakiwa na sura za kufurahisha, kustaajabisha, kushangaza, kuhuzunisha na kuumiza sana yalizua hisia tofauti tofauti hasa kwa Wale vyeti feki, Mafisadi, Watendaji ambao hawakuwajibika ipasavyo, Matukio haya yakichagizwa na mabadiliko makubwa ya hali ya kiuchumi ambapo fedha nyingi ilielekezwa katika miradi mikubwa ya kitaifa kama Ufufuaji wa Mashirika ya Umma kama TTCL, ATCL, Ujenzi wa miundo mbinu Barabara za juu na Mradi mkubwa wa kuzalisha Umeme katika Mto Rufiji, ujulikanao kama "Stigglers Gorge ".

Kuelekea 2020 na Muonekano Mpya wa CCM kama Chama tendaji na Chama Cha Kizalendo chenye muonekano wa kuwasaidia wanyonge na waliokata tamaa,kurudisha heshima kwa Wakulima na Wafanyakazi.CCM inafanya mabadiliko mara kwa mara na hii inakifanya kila wakati kuibuka Chama kipya.CCM imejifanyia tathmini kubwa na kufanya mabadiliko kila uchao.

Baada ya miaka kumi ya Rais Magufuli atakuja kiongozi mwingine wa CCM ambaye atarekebisha makosa ya CCM yanayojitokeza wakati ikiendelea na mabadiliko ya kimfumo na kujenga taasisi imara, mfano kuondoa Ufisadi, CCM kurudi kwa Watu na kukiondoa mikononi mwa matajiri wachache waliokishika,kila mtu atashabikia CCM na CCM itaendelea kutawala daima na milele.

Hii ni style ya mabadiliko kama yale tuliyowahi kuyaona katika awamu ya nne chini ya Rais Kikwete,Mabadiliko ya kujivua gamba, kuangalia upepo uendapo!! na kubadilika.

Siasa ni kama biashara kila mmoja ana mbinu zake za kupata wateja na uuzaji, Chadema mbinu yao ni ya kujitoa mhanga kuichafua Serikali na Tanzania kwa ujumla, wanakalia bomu wanadhani likilipuka wao watapona, CCM katika awamu hii ya 5 ni Hapa Kazi Tu,

Tumeona utendaji wa kuacha alama katika awamu hii ya tano, tumeona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yanagusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua mabadiliko makubwa ya kimaendeleo, ukitoka kibaha kuja Mbezi hadi Kimara utaona kazi kubwa inayofanyika ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, utajua kweli Serikali ya Rais Magufuli inafanya kazi.

Awamu ya tano ilivyoingia Madarakani tumeona utendaji huu,

-Ujenzi wa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (udsm).

-Ujenzi wa Hostel za Askari Magereza.

-Ununuzi wa Ndege 6 (Nyingine 2 ziko mbioni kuja).

-Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo,

-Upanuzi wa Airport Mwanza,Bukoba,Mbeya,Songea,Dodoma na Musoma.

-Upanuzi barabara ya Moroco Dsm,Mwanza na Arusha.

-Upanuzi wa Kisasa Airport Dar ,terminal 3.

-Kusimamia misingi ya kimaadili ya Utumishi wa Umma, Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.

-Ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme (Standard Gauge)

-Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba.

-Ujenzi wa kota za Magomeni.

-Ununuzi na Ujenzi wa Rada Mpya ya kuongozea ndege katika anga lote la Tanzania.

-Elimu bure na Mafunzo ya kujitegemea katika Veta na Jkt kwa wahitimu wa Elimu ya Sekondari.

-Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

-Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

-Miradi Mikubwa ya Maji,Ujenzi wa Matenki makubwa Dar es Salaam na mradi mkubwa wa Maji toka Ziwa Victoria kuja Tabora hadi Dodoma.

-Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Jijini Tanga,Tanzania.

-Usimamizi wa Mazao Mfano Korosho,Pamba,Katani,Alizeti,kahawa,Chai,Maharage,Kilimo cha Mpunga na kutafuta masoko nje ya Nchi kwa ajili ya kupata fedha za kigeni kuinua uchumi wetu.

-Kuboresha Sekta ya Utalii kwa kununua ndege kurahisisha usafiri wa Watalii toka Mabara yote kuja Tanzania.

-Usimamizi wa Mapato ya Mali asili zetu,mfano Madini ya Dhahabu, Tanzanite na Almasi.

-Ukusanyaji Mapato baada ya kuziba nianya ya ufisadi na wizi wa mapato na mali ya Umma.

-Kujenga Utaifa na Uzalendo.

-Ujenzi wa Bwawa la Umeme katika Mto Rufiji "Stigglers Gorge".

Kwa hakika katika awamu hii ya 5,Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Magufuli imeifanya CCM kuwa Mpya katika utendaji wa kasi na wa uhakika pasipo porojo wala propaganda, Mwenye macho anaona utendaji katika sekta mbali mbali kuijenga Tanzania Mpya ambayo itakwenda kuwa Baba la Uchumi barani Africa.

Mh Rais anafanya uamuzi mzuri anapoalika makundi fulani Ikulu au Mikutano maalum kujadiliana nao na kutatua kero muhimu zinazowakabili kwa haraka. Kwa hakika mikutano yote imeleta tija,na tumeona maamuzi yakifanyika na mabadiliko chanya kutokea,Kukutana na wadau wa sekta mbalimbali ni leadership style ya Rais Magufuli.

Kila Rais anajitambulisha kwa style yake. Rais Kikwete na Rais Mkapa walikuwa wanahutubia taifa kila mwisho wa mwezi kwenye television na redio.Rais Mwinyi alikuwa na style yake pia japo hotuba zake kuzipata ni mbinde.Sasa Rais Magufuli hotuba zake ni freestyle kama za Mwalimu Nyerere. It's all about style tu.Niwatie moyo wadau mnaoalikwa kukutana na Rais, tumieni nafasi hiyo vizuri kueleza changamoto za kweli na msijali watu watasema nini.

-Niyaelezee kwa Ufupi, Mazuri ya CCM chini ya Rais John Magufuli.

-Serikali isiyoyumba.

Moja ya sifa ya uongozi ni kuwa na msimamo. Ni lazima kama kiongozi ujulikane dhahiri kuwa kipi kwako unataka kipi kwako hukitaki. Na uwe na uwezo kuamua na kusimamia maamuzi yako bila kuyumbishwa.

Serikali ya CCM ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli imejipambanua kuwa na uwezo wa kuamua na kuyasimamia maamuzi yake, Yapo mambo ya kimaamuzi; mathalani kuhamia Dodoma (ambapo ukifuata 'njia za makaratasi' i), tachukua miaka 50 mingine) Mradi wa Umeme wa mto Rufiji ujulikanao kama stigglers gorge (ambao unahitaji msimamo thabiti ili kuusimamia).

Vigogo kuweza kuguswa na mkono wa Serikali ni ishara ya uthabiti wa Serikali ya sasa na kamwe si Serikali dhaifu. Kuwa na Serikali yenye msimamo na maamuzi ni suala la kupongezwa sana na ndio maana Wananchi wanafurahishwa sana na Uongozi wa Rais John Magufuli.

-Kudhibiti Rushwa kubwa.

Ni suala la kujua kwamba hela ya Umma ni Sumu hadi sasa nchi yetu hatujasikia upigwaji wa 'dili' kubwa zaidi ya propaganda kusema hela hii haipo imepelekwa kununua ndege,sijui 1.5T hizi ni propaganda za kutaka kusema bado kuna Ufisadi lakini hakuna rushwa wala Ufisadi uliofanyika katika Awamu hii ya nne, Rushwa kubwa ndio zinasinyaza sana bajeti kwa kiasi kikubwa, ndiyo zinapoteza imani ya wananchi kwa serikali, ndiyo zinaathiri mahusiano ya kiuchumi ya serikali na mashirika ya kimataifa.Kwa hakika Awamu hii ya tano chini ya Rais John Magufuli imejitahidi sana kupiga Vita rushwa kubwa na Ufisadi.

-Kupunguza 'political tension'.

Kuna msemo kuwa fedha huwa haikai sehemu yenye kelele. Moja ya vikwazo vikubwa sana vya kiuwekezaji na uchumi afrika ni 'vuguvugu za siasa'. Kunapokuwa na sekeseke za kisiasa muda wote, uwekezaji na ufanyaji biashara unakuwa mgumu sana. Maandamano na mikutano ya kisiasa muda wote havina afya katika ukuzaji uchumi. Hivyo ni vyema maamuzi ya kiserikali juu ya kudhibiti 'shughuli za kila uchao' za kisiasa yamefanyika.

Mapungufu: ni dhahiri kuwa maamuzi haya kwa vigezo vyote hayajazingatia sheria,ni wakati sasa wa kubadili sheria zetu hasa za Vyama vya Siasa kuweza kukidhi mahitaji ya wakati ya Taifa na sio kupinga kila siku,Najua kilochofanyika ni administrative orders, lakini tukapata mabadiliko ya Sheria ya vyama vya Siasa ili iweze kudhibiti ujinga ujinga wa vyama vinavyotoka nje ya Maadili ya Mtanzania.

-Kuboreka ama kuimarika kwa matumizi ya fedha za umma.

Moja ya changamoto kubwa nchi za kiafrika, ni fedha za Umma kuishia katika 'mambo ya hovyo' na mifukoni mwa mtu mmoja mmoja, Ni vyema Mh Rais alivyodhibiti safari 'zisizo na tija', vikao 'visivyo na tija' vya kiserikali, posho nyingi. Hii ni jambo jema na la kupongezwa sana.Na tumeona hatua hii ikileta tija katika kuziba upotevu wa fedha ya Serikali.

-Nidhamu katika Utumishi wa Umma.

Watumishi wa Umma wana wajibu wa kwanza wa kuwahudumia wananchi kikamilifu (haki). Katika kutimiza hili ni muhimu watumishi waheshimu muda wa kukaa katika vituo vya kazi. Ofisi nyingi za umma kwa sasa walau wanakaa ofisini, walau wanasikiliza na kuhudumia wananchi wakati.Sasa basi nidhamu hii ya utumishi isiwe kama ile nidhamu ya baba mkali mwenye nyumba. Kuna familia ambazo baba mwenye nyumba ni mkali sana na akiwepo nidhamu ya familia ni ya hali ya juu, asipokuwepo maisha ni shagharabaghara. Familia hizi hazidumu baba akisafiri au baba akifa. Hivyo tuna wajibu wa kuijenga nidhamu hii iwe sehemu yetu ya maisha "part and parcel " ili kuweza kufanya kazi kwa mafanikio yetu binafsi, kwa taifa na kwa maslahi Mapana ya kizazi kijacho.

-Ushauri kwa Mapungufu machache.

-Kukanywa na kufundwa kwa Wateule wa Mh Rais.

Moja ya doa kubwa katika awamu zote ni Watumishi wa Umma kutopita katika Vyuo vya Maadili ya Utumishi wa Umma hasa ma DC na RCs. Hawa wamekuwa na sura ya kufanya baadhi ya mambo yakionyesha dhahiri kutopikika katika vile vyuo vya Hombolo, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kivukoni ndio maana wanafanya baadhi ya mambo nje ya miiko ya kimaadili ya Utumishi wa Umma, wengi wamekuwa wanatukana wananchi, wanatusi watendaji wa Chama na Serikali.Najua Mh Waziri Mkuu Majaliwa ni mtu mwenye ubobezi wa utumishi wa umma, awakumbushe wateule away miiko na maadili yao. Semina za mara kwa mara zitawarudisha kwenye mstari.

-Kuimarika Utawala wa sheria.

Kama ambavyo Nyerere alipofanya kosa la kunyang'anya watu mali zao bila kuwepo sheria ya suala hilo, na kisha kuweka sheria baadae. Basi tuimarishe sheria zetu na tufanye mabadiliko sawa sawa na hitaji la nyakati,Ziwekwe sheria za kusimamia maamuzi yaliyokwifanyika kwa matamko. Sheria ya Vyama Vya Siasa ibadilishwe Ili yafanywayo yawe kisheria. Na isiweko upendeleo kisiasa na kuwaumiza Wananchi bali Sheria zikusudie kuleta faida kwa Mwananchi na kwa Taifa.

-Kuimarisha mifumo ya kisheria.

Ili hatua zote za kimaendeleo zinazopigwa katika awamu hii ya 5, ili nidhamu 'hii ya uoga' ya utumishi iwe ni nidhamu ya kitaasisi, ili 2025 ukiondoka bado bombardier,Airbus na Boeing ziwe bado zinaendelea,kupunguza tumbuatumbua za watendaji wabovu ambazo zinatujengea uhasama usio wa lazima, basi suluhu ni moja Kuongeza baadhi ya mambo kwenye katiba na kuimarisha mfumo wa Mahakama. Mahakama yenye uhuru, Mahakama yenye watu weledi,inavyoanza kuonekana sasa,ifike wakati mwananchi akimshitaki DED kwa kumjibu hovyo ofisini, mahakama ikamtoza faini na kumdemote ama kumfukuza kutoka nafasi hiyo basi atakayefuata atatii sheria na kufuata miiko ya kimaadili ya Utumishi wa Umma. Yule RPC anayehukumu watu mbele ya hadhara akiburuzwa mahakamani, hakuna RPC mwingine atakayewageuza watuhumiwa kuwa ni watenda makosa,wale polisi waliokamatwa wakisindikiza dhahabu wakishtakiwa basi wengine hawatajaribu tena kufanya hivyo,yule mkaguzi anayeita bunge dhaifu akichukuliwa hatua basi kila mtumishi wa Umma itampasa kujua miiko ya kimaadili ya Utumishi wa Umma kusema tuhuma mahali husika na sio kwa mabeberu,kuchukukiwa hatua kutajenga nidhamu, Utaifa na Uzalendo kwa nchi yako ambayo ni kitu kizuri.

Ni jukumu letu kama wadau na Wazalendo kwa Taifa letu la Tanzania kwa hisia za uzalendo na uchungu wa maendeleo ya Taifa letu, Kwa namna yoyote iliyo sahihi kupongeza juhudi za Rais na Mwenyekiti wetu Dr John Pombe Magufuli lakini pia kukosoa pale panapolazimika kwa lengo la kuleta tafsiri sahihi aliyoilenga Mwenyekiti wetu inapoonekana kutokana na weledi wetu katika fani mbalimbali na kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kwamba, utekelezaji wa mambo fulani hayakufanyika au yamekwenda kinyume na ‘mfumo’ wa kiutekelezaji, sheria,sera na ilani ya Chama chetu cha CCM.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais wetu John Magufuli.

Nikiishia hapa, Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
 
Mkuu mabaya ni mengi kuliko mazuri, kwanza nikwambie hakuna fisadi hata mmoja aliofungwa, si kuna mahakama ya mafisadi? je ina kesi ngapi? au imeshahukumu kesi ngapi mpaka sasa za mafisadi? pili hawa watu ni makatili kupindukia walitaka kumuua tundu lissu, watu wamepotea mpaka leo hawajaonekana, tatu hawa watu wameamua kuwanyima watu wake uhuru na haki yao ya kujieleza, nne hawa watu wameamua kuua vyama vya upinzani kwa gharama yeyote na kupigilia msumari wa muswada unaompa msajili uungu mtu, yapo mengi ngoja nije kwanza!
 
Mazuri yake ni yakawaida wakati mabaya yake yanatisha mno na ni mabaya kweli kweli. mfano kuibuka kwa watu wasiojulikana ni hatari kuliko hayo yoote uliyosema ni mazuri yake maana watu wasiojulikana wanafanya uhakika wa kuwa hai na salama uwe mdogo sana nchini kitu ambacho kinafanya mazuri yake unayoyaita mengi yawe hayana maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mabaya ni mengi kuliko mazuri, kwanza nikwambie hakuna fisadi hata mmoja aliofungwa, si kuna mahakama ya mafisadi? je ina kesi ngapi? au imeshahukumu kesi ngapi mpaka sasa za mafisadi? pili hawa watu ni makatili kupindukia walitaka kumuua tundu lissu, watu wamepotea mpaka leo hawajaonekana, tatu hawa watu wameamua kuwanyima watu wake uhuru na haki yao ya kujieleza, nne hawa watu wameamua kuua vyama vya upinzani kwa gharama yeyote na kupigilia msumari wa muswada unaompa msajili uungu mtu, yapo mengi ngoja nije kwanza!
Miaka 60 ya CCM , Tumeibiwa sana, CCM kuna Majizi yapi mazuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama wewe ni msema kweli sema na mabaya yake, usiseme mazuritu,vinginevyo wewe ni miongoni mwa watu wanaojipendekeza,mimi nitakutajia baadhi tu ya mabaya ya makufuli
. kutopandisha mishahara ya wafanyakazi
.kuuwa vyama vya upinzani
.kutowalipa wastaafu mafao yao
.kutumia pesa bila kufuata utaratibu wa kibunge
.kuteka watu
. watu wenge kuuwawa
. kufanya maisha kuwa magumu
.kugawa wanachi kwa itikadi ya vyama vyao
.wafanyakazi kutopandishwa vyeo
.kukimbiza wawekezaji wa nje
.kutisha viongozi wengine kwa yeye kufanya kazi za kila wizara
.kuwanyima watu kutoa mawazo yao
.kuwataka watu wamsifie yeye tu,kwa kila kitu
.kuwanyima watu kutowasikia wabunge wao wanayoyasema bungeni kwa kufuta bunge live
hayo ni baadhi ya mabaya sasa wewe unaweza ongezea unayoyafahamu na hayo niliyokuandikia yanasababisha maisha kuwa magumu sana
 
Acha uwongo wewe. Mtu mwenye akili timamu hawezi sifia hayo mambo. Hela hamna, watu hawajaongezewa mishahara, hosptalini bado watu wanalala chini na madawa hamna, watoto wanamaliza darasa la 7 hata kuandika hawajui, watu wamefungwa midomo hakuna kutoa maoni yako, kila kiongozi ni boss na kauli chafu.

Wewe unaangalia mandege ambayo watanzania 99% hawawez kufaidika nayo. Unaongelea korosho mpaka leo watu wametapeliwa.

Hata kama unapata posho kwanini usiongelee maisha halisi ya mtanzania???
 
Mkuu mabaya ni mengi kuliko mazuri, kwanza nikwambie hakuna fisadi hata mmoja aliofungwa, si kuna mahakama ya mafisadi? je ina kesi ngapi? au imeshahukumu kesi ngapi mpaka sasa za mafisadi? pili hawa watu ni makatili kupindukia walitaka kumuua tundu lissu, watu wamepotea mpaka leo hawajaonekana, tatu hawa watu wameamua kuwanyima watu wake uhuru na haki yao ya kujieleza, nne hawa watu wameamua kuua vyama vya upinzani kwa gharama yeyote na kupigilia msumari wa muswada unaompa msajili uungu mtu, yapo mengi ngoja nije kwanza!
Mkuu umekosea.Unayemueleza na yeye ni genge lilelile la vibaka.Unapomjibu muandikie..."ninyi"...yaani wao na genge lake!Beware of saducees!
 
Acha kuandika upuuzi kuhusu huyo dikteta na dhalimu. Tangu lini MUUAJI akawa na jambo zuri? Au kwa sababu hajaua wanaokuhusu?

You are pointing on specific incidences - we are talking about systems (Stephen Sackur, 21/01/2019 on hardtalk).
 
Muongo
 
kama wewe ni msema kweli sema na mabaya yake, usiseme mazuritu,vinginevyo wewe ni miongoni mwa watu wanaojipendekeza,mimi nitakutajia baadhi tu ya mabaya ya makufuli
. kutopandisha mishahara ya wafanyakazi
.kuuwa vyama vya upinzani
.kutowalipa wastaafu mafao yao
.kutumia pesa bila kufuata utaratibu wa kibunge
.kuteka watu
. watu wenge kuuwawa
. kufanya maisha kuwa magumu
.kugawa wanachi kwa itikadi ya vyama vyao
.wafanyakazi kutopandishwa vyeo
.kukimbiza wawekezaji wa nje
.kutisha viongozi wengine kwa yeye kufanya kazi za kila wizara
.kuwanyima watu kutoa mawazo yao
.kuwataka watu wamsifie yeye tu,kwa kila kitu
.kuwanyima watu kutowasikia wabunge wao wanayoyasema bungeni kwa kufuta bunge live
hayo ni baadhi ya mabaya sasa wewe unaweza ongezea unayoyafahamu na hayo niliyokuandikia yanasababisha maisha kuwa magumu sana
Sikubaliani nanyi. Miaka 54 ya uhuru kama haya kweli yalikuwepo ili useme JPM ameyaondoa, yametusaidia nini? Barabara, ndege, maji, elimu bure, huduma za afya imara, umeme, wakulima na mazao, miundombinu mbalimbali haya yote TUNAYAONA KWA MACHO NA KUYAHISI MAISHAI(feel). Hakika hii ni Tanzania mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom