This is too much, Morogoro to Mwanza 17 hours

This is too much, Morogoro to Mwanza 17 hours

Ulimbukeni wetu tunapoteza nguvu kazi barabarani hii ni hatari kea nchi ya viwanda speed limit zilizo mikoani sehemu nyingine hamna watu. Sehemu nyingine shule na jumamosi na jumapili wanafunzi hawasomi unatembeza gari 1km na speed 50 nikupoteza nguvu kazi.
Kuna haja ya ku review jambo hili.
Hizi speed limiti zingewekwa dar kwenye movement gari sisingetembea
 
Bora umechelewa lkn umefika kwako kuliko ungewahishwa usikotaka kwenda
ukaacha watoto wako bure.
 
Tanzania bhn daaah an kabisa unafurahi ujui kiasi gan watu wanakwama kufanya majukum mengine
 
Barabara zetu ni za kimasikini. Tungekuwa matajiri tusingeweka matuta tungeweka vivuko vya raia.

Matajiri hawana highway ya kupishana. Wana barabara mbili au zaidi za kuelekea upande mmoja na hakuna magari yanayokutana kama yanauelekeo tofauti.
Sema taratibu ndugu ikisikika patajengwa lami nchi nzima tukose hata panadol hospitalini
 
Back
Top Bottom