William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
RA alikuwa hana uwezo nor power to give orders kwa Mkapa, RA alikuwa ana represent CCM katika hii game paln, Kwhiyo Mkapa alikuwa anatekeleza orders za wana CCM wenzake wanaojua mazambi yake.
- Mkuu Rostam alimuajiri Ruhinda kwa ajili ya ku-deal na rafiki yake wa karibu sana Mkapa, kwenye hii deal na pia alimuajiri Spika Msekwa ili aue hoja yoyote inayowahusu Mtandao na huu wizi, CCM as chama haikuhusika na EPA, lakini Rostam alitumia hela za EPA kwuanuanua viongozi wengi wa CCM, Mkapa alikua amekabwa koo na Rostam kutokana na uchafu wake na hasa wa mkewe ndio Rostam alioutumia kum-blackmail mpaka kumfanyia kila alichotaka, CCM as chama has nothing to do na EPA!
Swala la Billion 133 Kuchukuliwa badala ya 31, Ukweli wake uko wazi. Kuna madeni ya Moja kwa Mojaa amabayo CCM ilkuwa ime incur before hata hawajamchagua mgombea wa Uraisi, Magari CCM yalikuwa yanawekewewa mafuta Bure na Vituo Mbali mabli vya mafuta, E.g Oil Com, and Njake kule maeneo Ya Arusha, Which in return ndio unaona hadi kama kina njake wakawa katika Plot ya kuchota PESA za EPA, Hebu leo nenda kamwulize mzee njake, kama ana furaha na kuingizwa kwake kwenye huu mtego.
- Mkuu hizi habari umezitoa wapi mbona uko mbali sana na ukweli? Hela walizokubaliana Mtandao kuchukua BOT ni billioni 31, Balali na wengine wakaanza ujanja na kuishia kuchotwa Billioni 133, ndipo Mtandao wengine walipogundua hasa Diallo wakaja juu sana kwamba waliohusika lazima wabanwe ama sivyo muungwana hawezi kua rais 2010, hapa ndipo Balali akaanza kupatwa na matatizo, watu wa EPA wakashikwa na kuambiwa warudishe hela, ni katika kuwaridhisha hawa kina Diallo na hela hizo za EPA, hata kina Yona na Mramba wakaenda Kisutu, kwa sababu Yona alifungua kituo kikubwa sana cha mafuta kule Bagamoyo, na Mramba alihusika sana kula hela za EPA alizokuwa akipewa Mzee Kisumo kwa ajili a mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, kama CCM wanegzitumia hizo Billioni 102 zilizozidi then kusingekwuepo kesi ya EPA na wezi kuambwia warudishe.
Mwisho, Kwa wewe na wengine mnaozidi kupush kwamba RA ndie EPA ninawauliza maswali ya Msingi? Bila CCM kuweka Baraka za huu wizi RA angewezaje kuchota hizo pesa? Bila CCM na serikali yake kuweka baraka how is the Money Launderling due deligency didnt catch RA?
- Hivi unasema Chenge kua na hela zote alizonazo Jersey na UK, ilikua ni baraka ya CCM na serikali yake? Mkuu naomba niseme hivi una nia njema sana ya kuelemisha na ninaikubali, ila umechanganya facts za ishu nyingi sana.
Respect.
FMES!
Unajua at the same time... naamini kuna mtu mmoja tunammiss katikahili la EPA, sijui ni nani... it is like a missing link
Kama CCM wangezitumia hizo Billioni 102 zilizozidi then kusingekwuepo kesi ya EPA na wezi kuambwia warudishe.
Respect.
FMES!
RA alipata wapi uwezo wa kum-blackmail Mkapa? Mbona unajichanganya Mkuu? Meeelezo yako ya awali ilikuwa inaonyesha wanamtandao wa CCm ndio waliotoa baraka na ndio waliokuwa wana promote huu wizi. Wizi Umetokea kabla ya Uchaguzi, na hili sakata limejulikana baada ya kikwete kuwa madarakani, je Msekwa amehusikaje hapa, wakati baada ya Makapa kutoka tukawa na SITA.msekwa alizuiaje huja bila kuwa sipika?- Mkuu Rostam alimuajiri Ruhinda kwa ajili ya ku-deal na rafiki yake wa karibu sana Mkapa, kwenye hii deal na pia alimuajiri Spika Msekwa ili aue hoja yoyote inayowahusu Mtandao na huu wizi, CCM as chama haikuhusika na EPA, lakini Rostam alitumia hela za EPA kwuanuanua viongozi wengi wa CCM, Mkapa alikua amekabwa koo na Rostam kutokana na uchafu wake na hasa wa mkewe ndio Rostam alioutumia kum-blackmail mpaka kumfanyia kila alichotaka, CCM as chama has nothing to do na EPA!
FMES!
Again we wont solve this UFISADI and EPPA puzzle by excluding CCM, Dont give RA the power he doesnt have
What are we learning from other country politics! is the center of power in political parties only! Maybe we have been looking too much into ccm! Maybe the power center is even out of CCM!
Rostam ni Kagoda na Kagoda ni CCM na CCM ni Kagoda wanajua yote walifanya yote.Mkuu,
Hapa umegonga penyewe hasa....Kwa wale wanaoijua CCM...hapo pana ukweli wa 100%.
Lengo la Mkapa lilikuwa jema [kwa CCM, sio wananchi] JK ashinde uchaguzi...ila wakina RA & Co walikuja baadaye kuigeuka CCM na kujichotea wenyewe mpaka zikafika $ 133 Mil.
RA na wenzake wangejifunza kwa wanaoijua CCM vema; tofauti na hela ya Serikali ilivyo, hela ya Chama haitafunwi kiujanja ujanja bila kuwekwa kiti moto kisawasa.
Amelikoroga kwenda Kempiski, lazima alinywe...
Rostam alizaliwa hospital ya mission iliyoko kijiji cha Mwamalwa, mpaka masista watu waliomuhudumia mama yake bado wako hapo hai, katika tarafa ya Bukene wilaya ya Nzega akiwa mtoto wa kwanza wa marehemu Aziz. Aidha babu yake na bibi yake walizikwa wilaya ya Bukene walikokuwa wakiishi tokea ujana wao. Babu yake Rostam alikuwa mtanzania wa kwanza kununua gari aina ya fiat mwaka 1954.... Alisoma shule ya msingi Mwamalwa ambapo mwaka 1969 aliongoza mkoa wa Tabora kwa kufaulu darasa la saba, alipata maksi 148 kati ya 150
Michango kama hii ndio inayofaa katika JF BRAVO!!!!!Rostam Vs Mengi: Tribalism?
Yesterday(Wednesday) I was shocked when one of the great thinkers claimed that the ongoing clashes between Mengi Reginald and Rostam Aziz and his partners is tirbal fight involving Chagas and Lake Zone(Sukuma and Nyamwezi tribes).
That Lake Zone will always rally behind Rostam at any cost because he is their true son. This is funny and bullshit. God forbid, I am from Lake Zone regions and so does Mwanakijiji, we are not ready to support anybody under the grounds of tribalism. We are not ready to be dragged in the tribal sentiments by those who benefited from the looted billions.
By the way who is Rostam? He is mercenary who came to this country from Iran at the age of 22 to visit his uncle who was trading on buying and exporting hides. He stayed there in Igunga, learnt the local language including swahili as well as politics, before officially jumping into the bandwagon of parliament in 1994 after the death of Charles Kabeho.
Having inherited his uncle's business, Rostam rose as a trader trading in hides(Ngozi) before forming a road construction company called Capsian which he used to conduct shoddy business, and earned billions. This company failed to deliver according to the agreed standards in Mafia, Mwanza, Dar es Salaam, forcing Magufuli who was the then minister for works to suspend payments worth billions. That's why soon after Kikwete won the election, while Rostam and Lowassa acquired Habari Corporation, Muhingo Rweyemamu was given a special assignment to deal with the so called corrupt deals in government owned houses.
If you guys remember, Rai newspaper serialised damning articles about Magufuli in a calculated bid aimed at politically victimising him as well as reducing his popularity which was a threat to a much hurried man-Lowassa. But the funny thing is that while Rai was busy attacking Magufuli, Mr. Muhingo didnt bother to ask his boss(Rostam) how did he acquire his home in Dar while he wasnt the government's worker or civil servant.
If Mengi is misusing his media, please would you tell who is the media owner in this country who has not used his media for his personal interests? Toni Diallo? The Late Nyaulawa? Prince Aghakhan? Rostam? Tanil Somaiya? Subhash Patel? No one.
EPA
I have carefully read the last words writen by Dr. Ballali before he died in US last year and my conclusion is very simple: Rostam is a shark through Kagoda. He pocketed Sh40billion using CCM campiagn as a front or a shield.
"Rais Mkapa akaniita pale Ikulu akaniambia Kampe Rostam pesa hili Malaika aweze kushinda uchaguzi...Nikajibu kwamba paple benki kuu hakuna fedha labda zile za account ya madeni lakini itabidi wafuate utaratibu" DR. Ballali.
"Nikakaa na Rostam nikampa utaratibu na kumtambulisha kwa ndugu Maregesi ili amsaidie kusajili kampuni ya Kagoda...Kwa kuhofia bomu kulipuka nikashauri waingizwe na wengine wengi kwa masharti ya kuchangia Chama asilimia 40 ya malipo...lengo lilikuwa ni kufanya ionekane kama serikali kwa wakati huo iliamua kulipa madeni." Dr. Ballali.
Now this is just the version of the dossier by Dr. Ballali where he strongly revealed how Rostam swindled the billions. The party was given only Sh10billion.
In conducting all bank transactions, Rostam used his personal secretary Tabu Abdulah as a cover-up. There's all evidence.
I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.
......
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
inaeleke nawe si raia kwani mgeni yeyote ambaye hajazaliwa Bongo hata ajifunze kiasi gani lafudhi namatamshi hayatakuwa ya kiswahili.Mbona hata mzee cheyo anagonga hii inaonyesha alianza kuongea kilugha kwanza na kiswahili alijifunza shule.Mkandara,
Kuhusu lafudhi si hoja. Siku moja nilikwenda Japan na pale nyumbani kwa marehemu Palangyo walikuja Wajapani watano ambao walifanya kazi Tanzania. Ungesikia wanazungumza Kiswahili kwa lafudhi nzuri usingeamini ni Wajapani. Rostum anaweza kuwa jasusi wa Iraq aliyetumwa kwa malengo kadhaa ( I am stretching here) Tanzania. Kwa hiyo lafudhi si hoja.
swala la kwamba ana uraia wa nchi nyingine is another topic, but kaziliwa tabora , kakulia tabora anongea kinyamwezi na ni mtanzania, kama ana passport mbili zingine , we can even start there, kuna watanzania wengi sana ambao wana passport zaidi ya moja which is against the country law.
Kama unaushaihidi unasubiri nini kuwaambia immigration wakamkamate? Pili ninakumbuka ule mjadala wa balali watu mlisema ana uraia wa marekani lakini ubalozi wa marekani ukakanusha na kusema kuwa alikuwa na diplomatic passport kutoka tanzania ambayo baadae ilkuwa revocked.
Mwisho you can present your point without beig disrepective , heshima hainunuliwi. Inabidi ujifunze ustaarabu
Mkuu Kadushik sijui kama umeacha kwa kukusudia, ungeitaja kampuni ya Malori ya KASERKANDIS basi na ungejua biashara za wazazi (familia) wa/ya RA