This is how l lost it.....

This is how l lost it.....

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,501
Jamaa: binti hujambo?
Me: sijambo shikamoo.
Jamaa: unapafahamu kwa Ruga.....?
Me: ndio, ni nyumba ile pale.
Jamaa: kwani we unakaa wapi?
Me: kwa Dr........
Jamaa: aah, dr ...... ni rafiki yangu sana. Hivi no yenu ya simu ni ngapi vile?
Me: ni 2..6.
Jamaa: unasoma?
Me: ndio.
Jamaa: form gani?
Me: form three.
Jamaa: kumbe umekua, unaweza kutupa vitu vitamu.
Me: (mfyonzo, robo wa Patience Ozwokor wa Nigeria) na kurudi nyuma ili aendelee peke yake.

Next day...
Ngri ngrii (mlio wa simu).
Me: Hallow
Jamaa: hallow naomba kuongea na Kaunga.
Me: ndio mimi.
Jamaa: good, njoo hotel ....... nakusubiri
Me: sawa.

After three days.
Nikiwa dining, nachungulia dirishani; naona jamaa anakuja. Nikakimbia jikoni kwa mom.
Akapiga hodi na baba akamkaribisha, nikiwa nasikia anachoongea na baba ilikuwa hivi.
Jamaa: Dr ninajisikia vibaya na nimeishiwa dawa zangu za pressure, l was wondering kama utakuwa na akiba nyumbani.
Baba: hapana sina, ila kesho naweza kukuletea
Jamaa: never mind, nitakuja mwenyewe hospitali.
(Wakaongea ongea kama dkk 5 hivi mimi nikiwa kimya jikoni)
Jamaa: I have a bottle of scotch whiskey nyumbani, hakuna mtoto unayeweza kumtuma?
Baba: ooh yes, Kaunga
Me: (kimya)
Baba: Kaunga
Mama: we Kaunga si unaitwa na baba yako?
Me: abee (nikaenda)
Baba: nenda na ........ kaniletee mzigo.
Me: Shikamoo ( to jamaa of which kama ya kwanza aliignore na kuongelea vitu vingine)
Tukaongozana na jamaa yeye mbele, mimi pulling my legs mpaka home kwake ambapo alinitoa usichana wangu.

Copy kwa Asprin na wapenda lager wote wenye mabinti.
 
Last edited by a moderator:
ya kweli haya kaunga?au ni story tu ya kujifunza?
 
Surely Kaunga is this true story ama.?? Plz tell me the truth dear
 
Last edited by a moderator:
It is a true story.

pole sana Kaunga, yaani wanaume wengine bure kabisa, watu wamehuheshimu na kukuona mtu wa maana then unafanya manyago bila hata kuangalia madhara na matokeo yake kwenye mahusiano yako na hiyo familia.
 
dah! Kaunga hukuwa na ukaribu na wazazi mpaka ulikaa kimya huku ukijua wazazi wanakupeleka machinjoni mummy!?

Sijui bwana, sikufikiria kama angenibaka (sikujua kama anakaa mwenyewe) au la panic ilinifanya nisifikirie sana.
Halafu a month au two kabla nilipigwa mkwara hadi kuchekiwa bikira; so sijui labda nilihofu kusema.
Any way l was young, naive and stupid.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom