kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,229
- 17,659
Hahaaa ndo nataka mkimbie nipumuwe zangu,mnatuganda sana lol
we kiboko ati...
Hahaaa ndo nataka mkimbie nipumuwe zangu,mnatuganda sana lol
we kiboko ati...
mpenzi!! asante sana.
Nawakaribisha marafiki zetu wote tujumike katika heri hii..
wana teamrafiki wote, sungura1980 na mkeo. Mndengereko, utafiti ladyfurahia, kabanga ndugu yangu.
Heaven on Earth, Ablessed miss neddy, 'Valentina', Jawilat...
wanakusini wote... my friend MMAHE.
wakubwa Sizinga na THE BIG SHOW mwenyewe.
karibuni wote na team zote...
Arusha's Arushaone, marejesho, Erickb52..
Chocs PakaJimmy and all members
Am here kiwatengu...yoh yf alisahau kuni-mention akijua kuwa bado unachepuka na mie....kiukwel I jus wana wish a lovely day..ze special day..happy bday mchepuko wangu wa zamani...omba chochote leo utapewa kama zawadi ya bday!!!
thank you babylove...
msalimie bibi yangu ukimwona huko machame
Mmh kaka umekunywa nini unaongea na dada'ko jamanii..me namtaka wifi kaka..
sijanywa kitu namaanisha nilichoandika, nionee huruma jamani
mpenzi!! asante sana.
Nawakaribisha marafiki zetu wote tujumike katika heri hii..
wana teamrafiki wote, sungura1980 na mkeo. Mndengereko, utafiti ladyfurahia, kabanga ndugu yangu.
Heaven on Earth, Ablessed miss neddy, 'Valentina', Jawilat...
wanakusini wote... my friend MMAHE.
wakubwa Sizinga na THE BIG SHOW mwenyewe.
karibuni wote na team zote...
Arusha's Arushaone, marejesho, Erickb52..
Chocs PakaJimmy and all members
asante shem...
wapi mumeo?