Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
Mmmh!
Now what?..
Mmmh!
tatizo letu waswahili,ikifika kwenye swala la hela,TUNABADILIKA KABISAAAAA!bs'e tunapenda sana vitu vya bure(misaada).lakini hii dhana ya 'misaada' na 'kuombaomba' tumedesa mbali sana!hata mkubwa wa hii nchi anahaha dunia nzima kulihangaikia hilo tu!THOUGH,JF MEMBERS MUST CHANGE AND ELIMINATE THIS THINKING ATTITUDE IN OUR MINDS.hii ni kwa yoyote anaehusika!Mmmh!
otherwise mimi nilikuwa nashauri kitu tofauti kidogo.
Ungeweka lumpsum fulani then members tukaingia mifukoni kukinunua kwa niaba ya forums!i think thhat can be very fair ESP KWAKO WEWE
tatizo letu waswahili,ikifika kwenye swala la hela,TUNABADILIKA KABISAAAAA!bs'e tunapenda sana vitu vya bure(misaada).lakini hii dhana ya 'misaada' na 'kuombaomba' tumedesa mbali sana!hata mkubwa wa hii nchi anahaha dunia nzima kulihangaikia hilo tu!THOUGH,JF MEMBERS MUST CHANGE AND ELIMINATE THIS THINKING ATTITUDE IN OUR MINDS.hii ni kwa yoyote anaehusika!
Hili sina uzoefu nalo!natumai anakujibu sasa hivi!as for me,i believe!i have a faith in this project,provided i get what i want to readTatizo sio kuchangia, bali ni huyo mkusanyaji wa michango huko nyuma alishawahi kuwaachia watu "manyoya".
Tatizo sio kuchangia, bali ni huyo mkusanyaji wa michango huko nyuma alishawahi kuwaachia watu "manyoya".
i am not going anywhere mpaka masatu atamke lolote hapa!..................
Aisee M.M naomba kuuliza je; hiyo tofauti ya bei ina mahusiano yoyote na contents zitakazo kuamo ktk toleo la kijarida chetu, au ni namna ya unapimaji wa nguvu za manunuzi tu?
hao usalama wa taifa wanaojitamba kwa watu kuwa ni usalama wa taifa? I gave up on them a while ago since I discovered ndio walikuwa wa kwanza kulihatarisha taifa!
Mimi naona tuwabadilishie jina waitwe UHATARISHI WA TAIFA !!!
Natoa hoja !!!!
hao usalama wa taifa wanaojitamba kwa watu kuwa ni usalama wa taifa? I gave up on them a while ago since I discovered ndio walikuwa wa kwanza kulihatarisha taifa!
duh.. hiyo gharama ya kutoa bure nani analipia?
tatizo letu waswahili,ikifika kwenye swala la hela,TUNABADILIKA KABISAAAAA!bs'e tunapenda sana vitu vya bure(misaada).lakini hii dhana ya 'misaada' na 'kuombaomba' tumedesa mbali sana!hata mkubwa wa hii nchi anahaha dunia nzima kulihangaikia hilo tu!THOUGH,JF MEMBERS MUST CHANGE AND ELIMINATE THIS THINKING ATTITUDE IN OUR MINDS.hii ni kwa yoyote anaehusika!
zaidi ni kutokana na ugumu wa kazi yenyewe na uzito wa kile kilichomo. Lakini zaidi pia ni kwa sababu tunataka wenye kutaka hasa kujua ndio wajue na njia pekee ni ya wao kuonesha kuunga mkono juhudi za timu nzima ya Cheche ambayo imekuwa ikijiendesha kwa kujitolea lakini hali ngumu ya uchumi inatishia kufikia makubwa zaidi.
Kutuma vi-nzi kwenda Costa Rica n.k siyo bure ni lazima mtu alipe. Sasa ni rahisi zaidi kukaa mahali na kuchukua kijarida kukisoma na kupata info za ndani sana (ambazo huwezi kuzipata kwenye chombo kinachomilikiwa na wakubwa huko Bongo) lakini ni jambo jingine kabisa kuunga mkono. NI kwa sababu hiyo, wale watakaolipia ndio watapa uhondo huo wenye kuambatana na vielelezo nyeti.
Ambaye amezoea vya bure basi akae tu pembeni asubiri matoleo yetu mengine. Hili ni toleo maalum kwa wanaotuunga mkono na njia ya kutuunga mkono ndiyo hiyo.
Ukiambiwa utoe ushahidi au hata chembe utasema nini?
unajua wameharibu sana jina la wana usalama wetu kiasi kwamba kuoza kwa wachache kunafanya karibu wote waonekane wananuka.
Tatizo sio kuchangia, bali ni huyo mkusanyaji wa michango huko nyuma alishawahi kuwaachia watu "manyoya".
na zile za zamani ilikuwaje?
mh...nadhani vitu vya bure vinapendwa na kila mtu, sio watanzania tu. Ni human nature more than anything. Ndo maana adverts nyingi utasikia buy one, get one free, nk. Long story short...dont blame everything on your nationality.
so pesa determines who gets to know more about their country...rite? Don't you think what you do is a public duty? And therefore you should try as much as possible to make it accessible to all without any discrimination.
My take: $20 for a 6page newpapers, compare to majira, yanayouzwa Tsh200, sio fair.
Am i paying 20x the normal amount for MEREMETA or for the airfare cost za kwenda Costa Rica?
Sio nauliza kukuudhi au kuku-put down.
I respect your work so much. Umefanya mengi sana na Mungu akujalie mengine mengi. I think katika field yako, tunaweza kusema kwa uhakika kabisa umebobea.
Kuna means nyingi za kuweza kuji-support katika kazi yako, lakini sio kwa ubaguzi wa pesa katika usambazaji wa kazi yako.