Angeiua NCHI usingeikuta wala usingekuwepo. Nchi inauwawa sasa. Aliacha mashirika ya UMMA zaidi ya 400 mikononi mwa wazawa. Karibu yote hayapo. AJIRA ni tatizo sasa. Aliacha migodi yote ikiwa bikira kabisa. Sasa tunaachiwa mashimo. Hakuna tunachoambulia. Aliacha TANZANIA ni moja. Sasa ZAnzibar ni NCHI na mipaka yake. Hakuacha tajiri mzawa. SAsa wapo. Bila kujali utajiri wanaupataje. Aliacha watu wanasoma bila mikopo na shule za umma zikiwa na hadhi ya aina yake. Sasa watoto wetu wakifaulu kwenda shule za UMMA wanalia.Na kuna wanaomchukia kwa kuiua nchi, kutesa watu na kushindwa kabisa kuongoza, duhh, tazama wakati wake, sisi tulikuwa wapi na wenzetu wa Kenya walikuwa wapi?
Faiza ondoa kidogo hako kautando kwenye akili yako. Utayaona mengi mazuri ya Mwalimu. Kenya hawako mbali na sisi. Na wala kwa akili timamu hauwezi kutamani tuwe kama Kenya isipokuwa kwa KATIBA yao mpya.