This Country bwana, has never stopped amazing me

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
2858 walitoa 'tishio' tuite tamko lao kupitia mitandao ya kijamii, sasa hivi serikali inawatafuta kwa hali na mali, usiku na mchana.
Sitta kaungelea kuhusu Mwakyembe kupewa sumu, kaombwa ushahidi akawapelekea wakadai wanamshangaa kwa kupeleka vielelezo toka mitandao ya kijamii.
Rais kaongea na wananchi live, na akatoa tishio la kutaka kuwa dictator hakuna mamlaka iliyomhoji wala kutoa ufafanuzi.
Mwakyembe alitoa taarifa na ushahidi Polisi juu ya yeye na baadhi ya watu kuuawa lakini hakuna aliyefuatilia.
Mitandao ya kijamii na kibiashara ilitoa taarifa kuhusu kilimanjarro mountain kuteuliwa kupigiwa kura za maajau saba ya dunia (another Sullivan) bila hata kucheki na UNESCO,serikali ikazidaka taarifa hizo na kuanza kuzi promote baada ya kushindwa wanatuambia taasisi yenyewe wala haitambuliwi na UNESCO.
Kwakweli This country has never stopped amazing me.
 
Na mitandao ya kijamii ikisema kuwa rais ajaye ni Lowassa wanabisha., mi nawashangaa sana watanzania.
 
Back
Top Bottom