Mmepata jibu sina haja ya kuongezea faiza and lizkwa Tz hata tulizopata uhuru sawa hatulingani kiuchumi..Ingawa tumebarikiwa Rasilimali za kutosha..
Tumekuwa tukikaribiana kiuchumi na nchi kama Malaysia miaka ya 2000 mwanzoni..Lakini hivi sasa wametuacha mbali mnooo..Huku wakitegemea zao la....Mpira na Mafuta kidogo..
Tunahitaji kubadilisha mfumo..
Tatizo ni Leadership na sio Muda. FaizaFoxy
30 year ni mingi sana, usishangae 2016 wanaanza tena kubomoa kwa ajili ya kupanua, hii nchi wana plan za mwaka tu, Huwa najiuliza ilikuwaje Wakajenga Stend ya Mabasi Ubungo and then leo hii wanaibomo sijui kuipeleka wapi. na huko zinako pelekwa baada ya miaka mitano utasikia zinahamishwa tena
Mkuu,Ritz...
Airport ya mkoloni ni pale Leaders Club....
Jengo la bar ndio lilikuwa terminal..
Tukirudi kwenye mada.
Eneo liliopo kwa upande wa barabara ya Nyerere (Pugu road) labda bado ipo nafasi ya terminals na support structures.
Tatizo kubwa ni katika kufanya runway length extension au kujenga parallel runway. Dar airport runway haizidi futi 10,000 ambazo ni chache mno kisheria kwa ndege kubwa kuweza kuruka na uzito wa juu.... (High Take Off Gross Weight). Kama maendeleo yatakwenda vilivyo, ikifikia kuingiza abiria 3mill na kutoa 3mill, inamaanisha runway utilisation itakuwa overstretched.
Kama wataalam wangekuwa wabunifu wazuri, pale ni pa kuhama, wawaachie jeshi/domestic na VIPs kutumia.
eeh-eeh-eeh guys need to be serious hii ni airport ama ni old military base? sioni chochote cha maana JKIA mpaka wajenge hiyo airport yap mpya lets the truth be toldHuu uwanja wa Jomo Kenyatta ndiyo wakuutolea mifano wakati mweingine tuwe makini wanaukumbi hebu angalieni huu uwanja hapa chini amabao Mwita Maranya anautolea mifano kila kikicha.
Mwita Maranya.
Haujaona airport ndiyo maana unapenda kuitaja Jomo Kenyatta, haiwezi hata kuwemo kwenye airport kumi bora afrika, toa mfano
OR Tambo, Cape Town, Cairo.
Mmepata jibu sina haja ya kuongezea faiza and liz
Nimekupa mfano mdogo wa Songwe airport Mbeya...iliimbw kuwa inajengwa international airport..juzi domestic freight tu..fastjet imekuwa shida mpaka waka adjust ratiba ya kuanza safari..hapo ndo siasa zilipotufikisha...ukubali au ukatae ndo tatizo la Tanzania!
Ukiangalia ukubwa wa Jomo Kenyatta International Airport lakini bado sasahivi serikali ya Kenya inafanya uwekezaji wa kutosha katika kuupanua na kukarabati majengo ya zamani na kuyafanya ya kisasa zaidi, pamoja na kuongeza ''run ways" ndipo utagundua kuwa serikali ya ccm imo shimoni inasubiri kumwagiwa udongo tu.
Yaani watu hawawezi kufukiria kujenga uwanja utakaohimili matumizi kwa miaka 30-50 ijayo wao wanafikiria umbali wa pua zao eti watu milioni 3!!!
Mkuu prsMkuu Ritz unapenda siasa!!! hata hii umeitupia huku!!
Mimi naamini hata wewe huridhiki na huo mchoro ..Ila ndio hakuna la kufanya..
Tanzania nchi ya maajabu sana...
Raia anaweza kumiliki Ndege lakini serikali haiwezi..
Pengine unge-binafsishwa tungepata bora kuliko huo tunao utarajia...
Maajabu ya Waafrika utashangaa kwamba kuna wengine ambao ni Watanzania kwa 100% lakini huwa wananyongeka sana wanapoona taarifa kama hizi! Yaani watokacho wao ni kuona Tanzania inadidimia ili wapate cha kisema kwenye majukwaa ya siasa za nje na hapa JF! Mungu awalaani wote hawa!Go Tanzania Go,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Love you Tanzania.Kitu kama Heathrow Airport
Ndugu embu tupige hesabu ndogo tu.
Watu 6Mil kwa Mwaka ni sawa na watu 15,500 kwa Siku Je ni kweli tunaweza Kufikisha Idadi hiyo ya ABIRIA kwa siku ndani ya hata kipindi cha Miaka 10 ijayo?
Haya mapicha nayaona zaidi ya miaka mitanoi sasa hapa JF
Mkuu Mwita Maranya,Ukiangalia ukubwa wa Jomo Kenyatta International Airport lakini bado sasahivi serikali ya Kenya inafanya uwekezaji wa kutosha katika kuupanua na kukarabati majengo ya zamani na kuyafanya ya kisasa zaidi, pamoja na kuongeza ''run ways" ndipo utagundua kuwa serikali ya ccm imo shimoni inasubiri kumwagiwa udongo tu.
Yaani watu hawawezi kufukiria kujenga uwanja utakaohimili matumizi kwa miaka 30-50 ijayo wao wanafikiria umbali wa pua zao eti watu milioni 3!!!
Mkuu,
Nikuulize swali la msingi hivi Tanzania tunaweza kuwa tuna wasafiri 15,000 kila siku.
Maajabu ya Waafrika utashangaa kwamba kuna wengine ambao ni Watanzania kwa 100% lakini huwa wananyongeka sana wanapoona taarifa kama hizi! Yaani watokacho wao ni kuona Tanzania inadidimia ili wapate cha kisema kwenye majukwaa ya siasa za nje na hapa JF! Mungu awalaani wote hawa!