think more than twice before you decide to join army

babashishi

Member
Feb 15, 2013
8
1
wengi wanapenda kujiunga na Jeshi ila hawajakaa chini kufikiri vizuri akili zao zinaongozwa na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,kazi ya jeshi sio lelemamakwamba kila mtu anaweza kuifanya inahitaji wito na upendo wa dhati kutoka moyoni.
kazi ya jeshi inahusisha kuuwa au kuuliwa hivyo kama unaogopa kuchinja hata kuku haitakufaa,

kazi ya jeshi inahusisha mazoezi magumu hivyo kama ni mvivu wa mazoezi angaikia kazi nyingine,

kazi ya jeshi inataka utii wa hali ya juu, kama huna utii jeshi litakuwa adhabu kwako,

kazi ya jeshi inataka uvumilivu na uzalendo wa hali ya juu.

kazi ya jeshi inahitaji nidhamu ya hali ya hali ya juu.

LASTLY "THERE IS NO FUTURE IN ARMY ANYTHING CAN HAPPEN AT ANY TIME" as u see our neighbourz are fighting every day so they need military help from us also we have a conflict with our little friend MALAWI

SASA HEBU JIPIME KABLA HATUJAANZA TINGANA TINGANA KWENYE INTERVIEW COZ KUNA WENGINE WANAPATA

NAFASI THEN WANAKIMBIA KAMBI MATOKEO YAKE TUNAACHA WANAJESHI WA UKWELI WANAPATA WAZUSHI.

bora nikashike chaki
 
Ha ha ha na nimeipenda hiyo conflict with our litle friend Malawi na inasemekana yule mama anatuchokoza chokoza makusudi kwa sababu ana back up ya majeshi ya marekani na ufaransa, so tukilianzisha tu tunafumuliwa kama ghadafi na sadam... Tena na umaskini Wa tanzania kwenye weapons sekunde tu kambi za jeshi zinageuzwa viwanja vya mpira.. Wanajeshi wote kushney
 
Ndugu TUKO GADO AJARIBU AONE NITAJITOLEA PEKE YANGU NA MTOSHA HUYO MAMA MWANAIZAYA

Ha ha ha na nimeipenda hiyo conflict with our litle friend Malawi na inasemekana yule mama anatuchokoza chokoza makusudi kwa sababu ana back up ya majeshi ya marekani na ufaransa, so tukilianzisha tu tunafumuliwa kama ghadafi na sadam... Tena na umaskini Wa tanzania kwenye weapons sekunde tu kambi za jeshi zinageuzwa viwanja vya mpira.. Wanajeshi wote kushney
 
Nimeipenda hiyo wengi tunaona km ni last resort kwa sabab ya ombwe la unemployment duh! Kweli obedience,torelance and strenth ni nguzo za mafanikio ktk jeshi ha!
 
Kwani kuna watu wanapenda jeshi au inatokea kuna wakati kunakuwa hakuna choice nyingine..
 
wengi wanapenda kujiunga na Jeshi ila hawajakaa chini kufikiri vizuri akili zao zinaongozwa na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,kazi ya jeshi sio lelemamakwamba kila mtu anaweza kuifanya inahitaji wito na upendo wa dhati kutoka moyoni.
kazi ya jeshi inahusisha kuuwa au kuuliwa hivyo kama unaogopa kuchinja hata kuku haitakufaa,

kazi ya jeshi inahusisha mazoezi magumu hivyo kama ni mvivu wa mazoezi angaikia kazi nyingine,

kazi ya jeshi inataka utii wa hali ya juu, kama huna utii jeshi litakuwa adhabu kwako,

kazi ya jeshi inataka uvumilivu na uzalendo wa hali ya juu.

kazi ya jeshi inahitaji nidhamu ya hali ya hali ya juu.

LASTLY "THERE IS NO FUTURE IN ARMY ANYTHING CAN HAPPEN AT ANY TIME" as u see our neighbourz are fighting every day so they need military help from us also we have a conflict with our little friend MALAWI

SASA HEBU JIPIME KABLA HATUJAANZA TINGANA TINGANA KWENYE INTERVIEW COZ KUNA WENGINE WANAPATA

NAFASI THEN WANAKIMBIA KAMBI MATOKEO YAKE TUNAACHA WANAJESHI WA UKWELI WANAPATA WAZUSHI.

Mi binafsi hata siku moja sijawahi kufikiria kwenda jeshini pamoja na rumba nalolicheza ila nataka kujadili mambo fulani katika thread yako,
1. Kuhusu watu kuomba jeshi kutokana na ukosefu wa ajira, yes, ni kweli hilo ndio linalotokea naamini kama kungekuwa na ajira nyingi leo ungesikia serikali inafanya operesheni ya kulazimisha watu wajiunge na jeshi, na pia kwa bongo hilo ni kawaida watu kubadilika kulingana na mazingira hatuna plan na hata tukiwa na plan hatuna msimamo leo utasikia mtu anakwambia daah nachukua digrii ya EDU ili nipate mkopo 100% lakini hakuwahi kufikira kusoma kozi hiyo, kwa hiyo usishangae.
2. Uzalendo, kwa kuwa tumeona namba 1 watu wanaenda jeshini for the sake of employment kwa hiyo tusitarajie kiasi kikubwa cha uzalendo wa wanajeshi wa staili hiyo hapa sina mengi ya kuongea mnayaona majeshi yetu, mtapima wenyewe uzalendo upo au haupo.
3. Hapo kwenye nyekundu nakupinga kidogo, labda sijui unaongelea future ya namna gani ? Mbona wanaishi tu kma raia ? Wanajenga majumba wananunua magari na vitu vyote km raia tena wao wananunua kwa bei chee hadi wake za watu wanachukua kama kawa, sasa unataka future ipi tena ? Kuhusu ANYTHING CAN HAPPEN ANYTIME hii ni kwa mwanadamu yeyote duniani, hamna anayeweza kuzuia au kujua kesho nini kitatokea.
 
Mbona mnaanza kujielezea humu bila mpangilio wewe kama hutaki jeshi cc haituhusu cha msingi hii ni kurasa ya nafasi za kazi kama wametangaza waambie wadau co mbwembwe nyingi,wabongo bhana.
 
Back
Top Bottom