Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

Nawaandikia Infropreneur na Kiranga makuhani wakuu wa Atheists wa JF, salaam.

Kwenye mada hii nataka mtuthibitishie kuwa hakuna Mungu.

Kwenye kuthibitisha kwenu, msiishie tu kusema hayupo kwa kuwa hayupo, tupeni hoja zenye mantiki ni kwa nini hayupo.

Na msikwepe hoja kwa kusema hayupo kwa kuwa wanaosema yupo wanashindwa kuthibitisha kuwa yupo. Nyie ndiyo mnatakiwa mseme kwa nini hakuna Mungu.

Hoja zenu zijitegemee bila ya kuegemea kukosoa wanaosema kuwa Mungu yupo.

Yaani hapo tayari umeshaonyesha uelewa finyu wa mambo.

Kwa kuanzia tu, ambacho hakipo utathibitishaje kwamba hakipo?

Hapo tayari ushaonyesha uwezo mdogo wa kufikiri na kuchanganua mambo kwa mantiki.
 
Mfano umekuja chumbani kwangu unasema Kuna bangi, mimi nakwambia hakuna bangi, nani anatakiwa athibitishe uwepo wa bangi chumbani kwangu?
Wewe unayesema bangi ipo chumbani ndiyo utuonyeshe Iko wapi
Anayetoa dai ana mzigo wa uthibitisho. Ukiambiwa “Kuna bangi chumbani”, anayesema ipo ndiye anatakiwa kuthibitisha; wewe kukanusha haitaji ushahidi. Hii ndiyo kanuni ya burden of proof
 
Kukosa ushahidi wa kitu si ushahidi wa kutokuwepo kwake.
Negative Proofs: 👇

It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.
Kusema “Mungu hayupo kwa sababu hujathibitishwa” ni kosa la mantiki.
Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.
Uislamu haumwelezi Mungu kama kitu cha kimaabara kinachopimwa. Kumtaka Mungu athibitishwe kwa vifaa vya kisayansi ni kosa la kategoria. Tunathibitisha athari kwa sababu, si kiini kwa macho.
Hii ni Divine fallacy
(Argument from incredulity)

Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye, bila kumhusisha na chochote.

Unahusisha vitu vilivyomo ulimwenguni kufosi kwamba viliumbwa na huyo Mungu.

Hii ni logical fallacy inaitwa Divine fallacy. Argument from incredulity.

Divine fallacy, also known as the argument from incredulity, is a logical fallacy asserting that because a phenomenon is amazing, complex, or difficult to understand, it must be caused by divine intervention or a supernatural force.

It assumes personal lack of understanding equals a divine explanation.

Kila kilichoanza kuwepo kina sababu
Ulimwengu ulianza kuwepo
Kama kila kilichopo kitahitaji kuwa na MUANZILISHI wake. Hata muanzilishi wa kila kitu atahitaji kuwa na muanzilishi wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu bila chanzo.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu usio na mwisho wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.

Kusema kwamba lazima Dunia iwe chanzo lakini Mungu hana chanzo ni kufanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.

The special pleading fallacy is an informal fallacy where someone applies a double standard, invoking a universal principle while arbitrarily claiming an exception for themselves or a specific, preferred case without justification. It is a form of rationalization used to avoid admitting a claim is false or to exempt oneself from rules.

Hivyo una sababu isiyoanza kuwepo (Muumbaji)

Kusema ulimwengu “ulijitokeza tu” bila sababu kunakiuka kanuni ile ile ya burden of proof.

Kwa hiyo, atheism si msimamo wa neutral, bali ni dai jingine la kimetafizikia linalohitaji hoja.

Uislamu hautaki “imani pofu”, bali unatoa hoja za kiakili na kimantiki.
The burden of proof in religion generally rests on the person making a positive assertion (theist claiming God exists), requiring them to provide evidence to support their claim. It follows the principle onus probandi, where the party asserting a position must substantiate it, rather than the party denying it.

Source: Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology

Burden of proof (philosophy) - Wikipedia Burden of proof (philosophy) - Wikipedia.
 
Negative Proofs: 👇

It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.

Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.

Hii ni Divine fallacy
(Argument from incredulity)

Umeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye, bila kumhusisha na chochote.

Unahusisha vitu vilivyomo ulimwenguni kufosi kwamba viliumbwa na huyo Mungu.

Hii ni logical fallacy inaitwa Divine fallacy. Argument from incredulity.

Divine fallacy, also known as the argument from incredulity, is a logical fallacy asserting that because a phenomenon is amazing, complex, or difficult to understand, it must be caused by divine intervention or a supernatural force.

It assumes personal lack of understanding equals a divine explanation.

Kama kila kilichopo kitahitaji kuwa na MUANZILISHI wake. Hata muanzilishi wa kila kitu atahitaji kuwa na muanzilishi wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu bila chanzo.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu usio na mwisho wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.

Kusema kwamba lazima Dunia iwe chanzo lakini Mungu hana chanzo ni kufanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.

The special pleading fallacy is an informal fallacy where someone applies a double standard, invoking a universal principle while arbitrarily claiming an exception for themselves or a specific, preferred case without justification. It is a form of rationalization used to avoid admitting a claim is false or to exempt oneself from rules.

The burden of proof in religion generally rests on the person making a positive assertion (theist claiming God exists), requiring them to provide evidence to support their claim. It follows the principle onus probandi, where the party asserting a position must substantiate it, rather than the party denying it.

Source: Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology
Sidhani kama jamaa atasoma yote haya 🤔
 
Anayetoa dai ana mzigo wa uthibitisho. Ukiambiwa “Kuna bangi chumbani”, anayesema ipo ndiye anatakiwa kuthibitisha; wewe kukanusha haitaji ushahidi. Hii ndiyo kanuni ya burden of proof
Sasa wewe Umeshindwa kuthibitisha dai la kwamba "Mungu yupo" halafu bado unakataa kwamba Mungu hayupo.

Where do you stand?

Kama unadai Mungu yupo, Thibitisha yupo. Madai ni yako, yathibitishe.

Ukishindwa kuthibitisha madai yako, ina maana madai yako ni ya UONGO. Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.

Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.
 
Inawezekana kwamba Mungu yupo lakini uwepo wake una maswali mengi yasiyo na majibu

1)Mungu ndie muumba wa vyote kwa mujibu wa maandiko

Swali : Ikiwa yeye ndie muumba wa Kila kitu yeye alitoka wapi

2) Mungu anaona maisha yetu yajayo

Swali: Ikiwa Mungu anaona mambo yote ya mbelen kulikuwa na haja Gani kumuumba Lucifer wakati alikuwa anajua atakuja kumuasi

3) Shetani ana nguvu na ni mungu wa dunia kwa mujibu wa maandiko

Swali:Kwanini Mungu alimtupia Lucifer duniani kwa watu wasioweza kushindana nae

Nijibu kwanza hayo Kisha tuendelee
 
Ndio maana kwenye imani kuna mahubiri, anae yatoa na wasikilizaji tu basi
 
Back
Top Bottom