They do not care at all

They do not care at all

Mbona kama TANGANYIKA TUNA BANANGWA NA KUBAGAZWA.

NIMESIKIA KAMA WANU AMIR HAFFIDH KAPEWA UNAIBU WAZIRII.
 
Katiba hii inamruhusu Rais kumteua mtu yoyote awe Mbunge na baadae amteue kuwa Wazuri.
Ita tegemea na utashi wa Rais ila hakuna kosa ki Katiba.
 
Nyerere angekua na hayo maono familia yake ingekua IKULU mpaka Sasa..

Kuna baba etu mmoja alikuaga afisa elimu mkoa Kuna ndugu zangu hakuwai kuwa pendelea kuwa pangia kazi mjini yule mzee 😂 alikua anatupa porinii ndugu zake kupangia vituo vya kazii

Napata walakini yule mzee ni mzalendo au alikua anaogopa walimwengu kusema anapendelea?!
 
Huyu yeye anafanya nepotism ya waziwazi
 
Nyerere angekua na hayo maono familia yake ingekua IKULU mpaka Sasa..

Kuna baba etu mmoja alikuaga afisa elimu mkoa Kuna ndugu zangu hakuwai kuwa pendelea kuwa pangia kazi mjini yule mzee 😂 alikua anatupa porinii ndugu zake kupangia vituo vya kazii

Napata walakini yule mzee ni mzalendo au alikua anaogopa walimwengu kusema anapendelea?!
Sasa nyerere alikua na watoto wa kuwapa nafasi?.. Andrew!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom