Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,309
- 37,064
Umeona mmoja TU? Ukoo mzima wa nyerere hakuna mwenye uwezo?Sasa nyerere alikua na watoto wa kuwapa nafasi?.. Andrew!?
Umeona mmoja TU? Ukoo mzima wa nyerere hakuna mwenye uwezo?Sasa nyerere alikua na watoto wa kuwapa nafasi?.. Andrew!?
Mtoto wa dada yake alikua waziri mkuuUmeona mmoja TU? Ukoo mzima wa nyerere hakuna mwenye uwezo?
Ni nani huyo warioba? Au ButikuMtoto wa dada yake alikua waziri mkuu
Butiku alikua waziri mkuu?Ni nani huyo warioba? Au Butiku
Hiyo inatoka kwenye playbook ya dictators!Magu , benja , nyerere hawaku favor watoto wao madaraka ila kikwete, mwinyi, Samia wanafavor familia zao..
It's good people are noticing, hata wizara zote, taasisi zote wakiwa ndugu zetu wa Zenji, nini kinaweza fanyika, they don't care. Muungano wa mashaka.Mbona kama TANGANYIKA TUNA BANANGWA NA KUBAGAZWA.
NIMESIKIA KAMA WANU AMIR HAFFIDH KAPEWA UNAIBU WAZIRII.
Wewe umesema mtoto wa dada yake? Ni nani huyo tufahamisheButiku alikua waziri mkuu?
WariobaWewe umesema mtoto wa dada yake? Ni nani huyo tufahamishe
Butiku by the way Wana undugu na mwalimu ila hajawai kuwa PM
Umenisaidia kufahamu Asante sanaaaaaa ndugu yanguWarioba