Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
This phrase doesn't exist myd
Ujue mna uselfish mwingi sana kwenye mapenzi
Na huo uselfish hua unamsumbua kila mtu ndo maana hauko tayari kumshare mpenzi wako na mtu mwingine kwa namna yoyote ile
Iweje umwache uende kwa mwingine halafu uhisi hatoumia?unaweza usiumie wewe mwachaji labda kwa vile kunakua na substitute standby ila mwachwaji ni lazima aumie tu no matter how smoothly you dumped him/her
Na huko kuendelea kuwa friends haimaanishi kua hakuumia rather ni mwepesi wa kuaccept
kuumia, hasira na wivu ni tofauti na kuchukia, kuachana kupo ila sio lazima muachane kwa visa, kama wewe umekosa kuwa mpole, lakini mwingine akimchoka mtu anamfanyia visa ili amuache, hapo ndipo chuki inapoanzia, najua ni vigumu ila kama visa vinaepukika ni bora. Heshima iwepo na sio kuoneshana ni nani zaidi.