Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Teh teh teh!!Pamoja na upeo wako mkubwa mi langu moja - kiingilish chako. Mi najua subject-verb-object. Hiki kilichonyooka hivi na zaidi sana chenye utajiri wa matumizi kama "bash", "take the high road", "flies in the face of it" mimi bado sana maana nachukua muda kuangalia muktadha ili kujua maana yake maana kwenye kamusi ya oxford hamuna.
Hii ni misemo ya kiingereza mkuu, inaitwa Idioms, kinachokuwa kinamaanishwa ni tofauti na maana ya kawaida ya maneno.
Kwa hiyo ni vigumu kujua maana yake kwa kutumia dictionary, kama ni kiswahili, mtu anasema kwa mfano "Amezunguka mbuyu" , yaani ametoa rushwa.