Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
I see jamaa yangu, kupenda ni utumwa flani hivi au adhabu.Hahahaha. No it ain't. Maybe when it goes sour.:eyebrows::eyebrows: lol
Mimi sijawahi ila huwa nawaona walio in love wanateseka sana, kila saa visimusimu, vimeseji, honey, uko wapi dear, darling, sweet, miss you, sijui nini, yaani ni shiida, simu sipopatikana nawaonaga wanahangaika kama wanataka kufa vile, akipita ameongozana na mtu inakuwa shida.
Kwa hiyo pande zote za mapenzi ni mateso, yawe sweet au sour kote ni adhabu tu.
Mimi nilishawahi kuwa kwenye uhusiano na msichana mmoja akawa ananipigia simu mara tatu kwa siku, tuligombana, ilikuwa ni usumbufu mno kwangu, uko busy na ishu flani inayohitaji concentration simu inaita, inakuoffset, halafu mtu anasema nakusalimia tu, sikuweza.
Kwa hiyo best, you better fall from a tree, than to fall in love.
