There really is a thin line between love and hate...... oh yes

There really is a thin line between love and hate...... oh yes

Ndio maana hata maandiko husema watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Pengine yakasema pasipo MAONO watu huacha KUJIZUIA.

Iwe iwavyo

Bado huo ni udhaifu wa kijinga sana na nikutokujua tu ndiko kunawafanya watu wajiingize kwenye mambo ya ajabu kama haya

Huyo mtu mwaka mmoja tu ulikua humjui,iweje leo udai huwezi kuishi bila yeye?
Kama sio ujinga ni nini?
 
Again its writen in proverbs "WISDOM is the principle thing, therefore get WISDOM; And all your getting, get UNDERSTANDING"
Ni kweli maarifa ni kila kitu!!!!!!
 
Again its writen in proverbs "WISDOM is the principle thing, therefore get WISMOM; And all your getting, get UNDERSTANDING"

Ndio maana hata Suleiman alichagua busara na akaacha vingine vyote!
 
Its a kind of life Im suffering with it now, since I breaks up my past relationship my Soul hates my x even my eyes doesnt want to see her.

But why do you hate her so much?

Don't you know that hate is destructive?

Is there no way you can forgive her and move on with your life?

The problem with hate is that the hater is the one who suffers.
 
Back
Top Bottom