There is no such thing as an EX.....!!!!

mie ex ni ex........if I move forward I move forward completely......

No turning back eti tukumbushiane,,,tunakumbushiana vinini hasa...........
thats ryt mkuu lakini not so many people have heart like yours, wengi sana huwa wana embrace the past depending na huyo mtu alimteka moyo wake kiasi gani!
 
hahahahahahahaa,rich mavoko kasema ukweli mkuu.... kuchapiwa ni siri ya ndani bwana, na kama hujachapiwa jihesabu ww mwenye bahati ya mtende kuota jangwani
hahaha, sasa mkuu utajuaje kama hujachapiwa? haya mambo we acha tu kaka. Ni equation yenye variables nyingi sana!
 
Kuchapiwa hio kitu haikwepeki!! Uwe bado upo upo au uwe ndani ya ndoa ya kimasikini au ya kitajiri swala la kuchapiwa lipo wazi Kama vazi la kahaba mawindoni!!
 
teh teh teh teh dem mzur kwako wenzako wanakula hata kwa vocha 2
 
Asikushughulishe huyu,hata kama kawa mzuri kua na moyo wakusema staki au nimeshiba,nnahakika kua ww sio mgeni au mshamba wa penzi,kama ilishakua basi naiendele kua basi wewe songa mbele watu wanasonga mbele hawarudi nyuma,sasa asikurejeshe nyuma huyo...........
 
thats ryt mkuu lakini not so many people have heart like yours, wengi sana huwa wana embrace the past depending na huyo mtu alimteka moyo wake kiasi gani!

endelea ku embrace your heart..........

na we siku ukikuta mchuchu wako ana embrace her past uwe mpole tu
 
Kuchapiwa hio kitu haikwepeki!! Uwe bado upo upo au uwe ndani ya ndoa ya kimasikini au ya kitajiri swala la kuchapiwa lipo wazi Kama vazi la kahaba mawindoni!!
daaah, umeua fatality kali sana na hiyo finishing sentence yako mkuu. Hili swala kweli tata!
 
ni kweli, nilitaka tu kuonesha jinsi mambo yalivyo, it doesnt mean kwamba i'ma go on with her play mkuu!
 
endelea ku embrace your heart..........

na we siku ukikuta mchuchu wako ana embrace her past uwe mpole tu
nafikiri we are not sailing on the same boat, sijamaanisha mimi personally am talking about other people especially women. mimi mindset yangu naijua mwenyewe and i dont go around fire expect not to sweat. that was just a figure of speech mkuu, haimaniishi mimi niko kiivo!
 
mie ex ni ex........if I move forward I move forward completely......

No turning back eti tukumbushiane,,,tunakumbushiana vinini hasa...........

Una uhakika na unayoyasema??

Can you back it with evidence?

Babu DC!!
 
halafu wakristo wengi humu ndani leo tumedodge church eeeh? siamini kama mmesali misa za kwanza!
 
Samahani mkuu,

Una practical experience ya miaka mingapi??

Babu DC!!
 
How old are you?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…