There is no such thing as an EX.....!!!!

There is no such thing as an EX.....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
Salaam wana MMU,
kuna kale kamsemo kwamba mpenzi wako wa sasa ni mpenzi wa zamani wa mtu mwingine, kana kaukweli fulani. An ex is like a dormant volcano kwamba haierupt lakini ipo one day inaweza kuja kuerupt tena. Point of reference;ni majuzi tu nimekutana na ex-mpenzi wangu ambaye tulidate like 2 years ago ila baada ya kuhama physical location ukawa ndio mwisho wetu. Hiyo majuzi katika pita pita zangu za kwenda kushangaa ulaya a.k.a mlimani city (ndugu zangu wa chit-chat wananipata swadakta) nikakutana na mpenzi wangu huyo wa zamani. Kiukweli kwa sasa ameng'ara sana na kunawairi na kupendeza mpaka mwenyewe nikakiri kimoyomoyo. Alikua na jamaa mmoja ambae judging from the looks, their positions and posture it doesnt need an elite person kujua huyo jamaa ndio mmiliki halali wa binti huyu na jamaa ndio aanahudumia kila kitu. Nilitaka kukausha nimpite kamasimjui ila binti akanikumbuka akaniita, alifurahi sana akanihug pale, akanitambulisha kama rafiki yake wa zamani kwa huyo mpenzi wake. Basi tukapiga story dakika mbili tatu nikamzuga nina haraka so she gave me her dials. Tumeanza kuchat, akaanza kukumbushia mambo ya zamani, mara anipigie late night calls, vi clip vya kijinga whatsapp n all those stuffs. Nilimbana kwenye angle flan katika kuchat kwetu mwisho akakiri she still got some sort of feelings for me and she wont mind vile tukihave a friendly match kujikumbushia back in days.
Hii kitu nimewaza nikaona kumbe sometimes tunaweza kua na wapenzi wetu wenyewe tunaona tumefika tunapeeendwa kumbe kuna watu ambao walikonga nyoyo zamani ambao always watakua wana special place kwenye nyoyo zao. Sasa kama mambo yenyewe ndio haya, si mtu unaweza ukaoa/kuolewa na mtu halafu kumbe kuna ex wake ambae alikua anamkuna kweli kweli ambaye akichombeza kidogo tu anapewa mzigo kama kawaida? Au ndio mambo anayosema Rich mavoko kwamba kuchapiwa ni siri ya ndani? (personally i hate this line in the song).
Anyways, wafaransa wenyewe wanasema :C'est la vie....
Jumapili njema wapendwa!
 
Wanaume wote ni kama simba mawindoni atakuambia hadithi zote anachotaka ni kimoja tu! Hapo hamna kukubali wala nn anataka game tu!
 
Kabla hujafanya chochote muulize jamaa yake ni kabila gani, kama ni mchaga sahau kabisa habari ya kupasha kiporo na huyo ex wako
hahaha mkuu DEMBA sikumaanisha kama niliafikiana na swala lake ila tu ndio swala lilinishangaza. Mambo ya silaha si mchezo asikwambie mtu
 
Last edited by a moderator:
Growth is complete,and now you are in a development phase!!!!!!!

Bon voyage!!!!
 
hivi vitu vina umiza sana....
sana mkuu, yaani labda umcreate wakwako peke yako labda. Halafu kuna ile wanasemaga wadada wengi watu ambao hua wana toa virginity zao ndio wanawapenda daima, hata unakuja kumuoa lakini akitokea yule mkuu aliyevunja kikombe, probability ya kuliwa kibubutu mkeo ni kubwa sana!
 
Ni ujinga na ukicheche tu!
Swali la kujiuliza: ivi kama mtu ataamua kudate na maX wake, atadate na wangapi?
...
Kwa sisi chovya chovya is halaal!
But soon tukiwa serious kudate na viX ni UJINGA!
 
hahahahahahahaa,rich mavoko kasema ukweli mkuu.... kuchapiwa ni siri ya ndani bwana, na kama hujachapiwa jihesabu ww mwenye bahati ya mtende kuota jangwani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom