The Worst Thing You've Ever Done For Love?

du kwann ulikataa hujui kwamba atakuwa ameshajifunza kutokana na makosa na mngeishi tu vzur?
 
du kwann ulikataa hujui kwamba atakuwa ameshajifunza kutokana na makosa na mngeishi tu vzur?

nilikataa sababu alivyoniacha niliumia sana,pia aliniacha bila kumfanyia kosa lolote ni vile alipata munene munene the big boss kuliko mimi
 
Alikutosa kwa kuolewa na mtu mwingine baada ya kuona unatumia kichwa kufugia nywele badala ya kufikiri. Wewe utatumiaje pesa zote hizo kwa mtu ambaye hujakubaliana naye?

ujawai kupenda mkuu
 
Kama kupenda ni kushindwa kutumia akili basi heri nisipende maisha! nyie ndio wale jamii inachuma dhamba pale inapoona umewekewa limbwata

kawaida yangu mimi sio mchoyo,ata marafik zangu utumia sana pesa zangu
 

Mmmh...hii inauma sana!!!POLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…