The Worst Thing You've Ever Done For Love?

Stori yako imenigusa sana..Kweli MAPENZI yanatesa sana..Pole sana mkuu!!

 
Alikutosa kwa kuolewa na mtu mwingine baada ya kuona unatumia kichwa kufugia nywele badala ya kufikiri. Wewe utatumiaje pesa zote hizo kwa mtu ambaye hujakubaliana naye?
 
Nusu saa kabla ya test ya Chuo mie niko town na kiss mtu goodbye kisa anaondoka kesho yake na kutoka town mpaka chuo ni km 25. Uliza test ilifanywaje sasa.
 
Zamani nilikuwa napenda kusoma coments za Kongosho, hata kama nilikuwa si comment wala ku like but i was reading them. However, it seems like siku hizi amekua, probably kijamaa alichokipata siku hizi kimembadilisha sana. Then nikawa nasoma za Erotica, naye tangu amepata ile mimba feki ya mapacha amekuwa kama anapoteza msisimko hivi. Siku hizi i read za huyu lara 1, she makes me laugh or smile or even both.
 
Last edited by a moderator:
Ukimuona nistue nije nikusaidie kumlipizia kisasi..... Ntamsokomezea gunzi kwenye naniliyu yake ya kutolea naniliyu kubwa. Shenzy zake na nusu.

haha. yaani ningeshukuruje maana i hate that son of a bi..ch.
 
Third yr nlikosa room hostel so nikawa nakaa kwa uncle ambaye ni very strict lecturer. Pamoja na u strict wake cjui nlipata wapi ujasiri wa kumdanganya at least 4times a week kuwa ooh naenda discussion mara group work kumbe naenda zangu kula gudtym na swtluv halaf boom langu ndo tulikua tunali spend coz nlikua sikai hostel so I had a very low expenses.
matokeo yake nlipata makarai (C) na misapu ya kumwaga na bikra ndo ikaishia pale......luv luv luv makes us wild.
 
Nilikuwa mjamaa tangu kale

Wee ndio unabadilika, kutoka kupenda wajamaa hadi kupenda masista duu kama Kim Kadashan Lara

 
The worst thing in My love life,
Ni pale nilipompenda sana mchumba wangu,nikamvumilia kwa hali zote hata nilipoambiwa kwao wachawi,nikawakataa wengi kwa ajili yake after 2years,ndo nikajua ana mwingine tena rafiki yangu anadai najipendekeza kwake,
Kitu kibaya nilichofanya ni kuachana nae kwa jeuri na vitisho vya laana akinifuatilia.
I feel bad but it had to happen maana imenifundisha kuwa single for life..goodbye girls best of luck
 
Nilikuwa mjamaa tangu kale

Wee ndio unabadilika, kutoka kupenda wajamaa hadi kupenda masista duu kama Kim Kadashan Lara
Hahahahaaa usinambie siku hizi umekuwa "TomBoy" no bhana nahisi yule mzungu yuleeeee si unamjua yule aliyekuwa anakupeleka roho puta eeh? Asee kakubadilishaje!
 
Bwana yule mzungu alienda kwao

Nimeibua ingizo jipya lakini. mchina

Hahahahaaa usinambie siku hizi umekuwa "TomBoy" no bhana nahisi yule mzungu yuleeeee si unamjua yule aliyekuwa anakupeleka roho puta eeh? Asee kakubadilishaje!
 
Bwana yule mzungu alienda kwao

Nimeibua ingizo jipya lakini. mchina
Yeeeeuwiiiii! Ndio maana siku hizi kama umekuwa na viwango hafifu hivi, sa nshajua sababu dah! Pole yako
 
$2500 mmmmmh she was doing economic recovery of her body or?
 
That son of bitch yaani nilikuwa mgonjwa nikamwomba anichukulie hela bank akaenda akachukua hela zote na sikuwa na nyingn kaacha 9600 akachukua mwingine wakaenda kula starehe zanzibar 5days alafu akazma cm.anarudi na beg full pamba ananiambia ni za ndugu yake kkoo.nikazichabo roho ikakataa .nilipopata nguvu naenda bank nakuta hicho kiasi hapo na ckuwa na kazi ni hela nimelipiwa mwaka mzima na serikali nilibahatika kusomeshwa na goverment.lol ila nilimkomesha imemkost maisha yake yote akiniona anaishia kulia tu
 

Acha kuidhulum nafs tetra,utaweza bila gals,au nije nikutest nione kama godbye yako ya kweli au uzushi
 

Pls nivea, hii bongo muvie paty tuu lini jaman...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…