MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,092
- 2,270
Emb rudia kuandika uzi upya ili tuelewe kwanza unachosema kwa ukamilifu maana unazid kutupoteza tu hapa. Elezea kila kituKuwa sisi ni immortals na tupo duniani kwa sababu fulani na hatukupaswa tuishi tunavyoishi sasa kwasababu tunauwezo mkubwa kuliko teknologia .
Ukweli kuwa hatukotokana na nyani,kuna bara katikati ya dunia,maana ya kifo,baada ya kifo,upendo,dunia tulivu ,kuishi na wanyama pamoja,hali ya hewa na mengi ........
INSHORT DUNIA INAELEKEA KWENYE SINKING ZONE NA HUMANS WATALOOSE HUMANITY WATAKUWA VIRTUALLY ORIENTED NA MACHINES YANI ARTIFICIAL INTELLIGENCE ITA TAKE PLACE NA HAPO NDIPO TUTAKUWA TUMEPOTEZA UHALISIA NA UZAO WETU.
Sent using Jamii Forums mobile app
How is Earth flat??
Is Earth stationary?? How about Sun??
What can you comment on sunrise and sunset??
How about seasons of the Year???
Why when you go towards the north or south pole there is decrease in Temperature ???
Sent using Jamii Forums mobile app