The World is a flat plane and not a globe

Camera inaona,kwanini ukiweka cctv camera baadae unakuja kuliona tukio toka kwenye kumbukumbu ya ile camera,je wewe ndo ulikuwa unaliona lile tukio kwa wakati ule ama camera?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu globalists wanasema kuna curvature ya inch 8 kila baada ya mile moja ,yani meli ikifika mile moja inashuka kwenye tufe kwa nchi 8 ,inaamanisha kama ni mile 50 itakuwa metre 10 toka kwenye point ya kwanza ya mkunjo kwenda chini.hivyo kwa nadharia yao huwezi kuiona kwasababu dunia ni mpira.

Hiyi hoja haipo maana ilikuwa ni upeo wa moja pamoja na sababu zingine ikiwemo humidity,hivyo basi 2015 ikaja camera ya nikon p900 na tolea jipya ni p1000 ,ambayo iliweza vuta mile zilezile hamsini na kuona meli ipo juu ya horizon,kama principle ya curvature ingekuwepo,hata ungevuta namna gani usingeweza kuiona kwasababu ipo chini ya mkunjo na camera inachukua vision ya straight line.
Inazamishaje meli kwa kiwango hicho ? Elezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliza kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unachoamini umekitoa wapi,issue sio wazungu issue ni viumbe wa duniani,kama unaona wazungu wapo different basi we ni mtumwa wa fikra,hii sio issue ya mzungu,mwafrika na mchina ni issue ya umbo la dunia yetu,kila nchi duniani kuna flat earthers ambao si wanaamini ,ni tunaona kwa uhalisia every evidence about our nature,na issue sio information issue ni kuwa una hoja gani ya kupinga hizo information ambazo kwetu sisi ni valid at all angles.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Camera inaona,kwanini ukiweka cctv camera baadae unakuja kuliona tukio toka kwenye kumbukumbu ya ile camera,je wewe ndo ulikuwa unaliona lile tukio kwa wakati ule ama camera?

Sent using Jamii Forums mobile app
Camera haioni bali inachukua kumbukumbu ya sehemu au kitu au mahali husika. Hapa kuna shida ya matumizi ya maneno.
 
Camera haioni bali inachukua kumbukumbu ya sehemu au kitu au mahali husika. Hapa kuna shida ya matumizi ya maneno.
Sasa mkuu mbona unaminyana kwenye maneno ilhali makusudio yameeleweka?


Au ndo yale yale ya kuwwaambia watu wamefungua kisa kwenye bao wakicheza wanasema wamekula kete kwa hyo wamefungua mkuu.

Matumizi ya maneno hayamati sana kama lengo limekusudiwa.

Kwa sababu maana itabaki inafahamika,na kinachoelezwa hapa unakielewa.

Kwamba mtu unaweza kuona kitu kupitia camera na hyo kamera ndo inatuonesha matukio.

Kusema kuwa camera inaona sio tatizo ikiwa malengo yanafahamika na maana kusudiwa,sasa kuanza kuturudisha kwenye matumizi ya maneno mkuu mbona hatupo kwenye mjadala wa kiswahili.

Hata tukibadili maneno tuweke unayotaka bado maana ile ile tu so ni bora ukastiki kwenye maana yenyewe.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukumbu inatoka wapi bila kunasa taswira?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mkuu zurri anataka aturudishe darasa la kiswahili bila kusahau kuwa maneno yanaweza kuwa tofauti ila maana ni ile ile.

Hapo anataka utumie neno lingine kinyume na kuona alafu wakati huo ukishatumia hvyo hakuna kinachobadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukumbu inatoka wapi bila kunasa taswira?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa naona tunarudishana tulipotoka.

Ukomo wa Camera husika ni upi na unakupa taswira gani ? Hoja ya msingi ni dhati ya kifaa kinacholeta taswira ili kupata hitimisho.

Kama unajua ya kuwa kifaa kimsanifiwa kwa lengo la kuona kitu katika hali nyoofu vipi kinaweza vipi kukupa hali halisi ya jambo kinyume na kanumi ya dhati ya kifaa hicho ? Ni sawa na kutaka kivuli kilicho nyooka katika mti ulio pinda.

Hoja yangu iko pale ambapo mnatumia vifaa ambavyo vinafata kanuni fulani ili kupata hitimisho la jambo kamili, Sayansi yoyote huwa inakwama hapa.

Sasa kama hamtanielewa hapa itabidi mnipe muongozo wa njia gani nitumie ili mjue nini nakusudia.

Uwezo wa macho kukupa uhalisia pindi unapo kidiriki kitu ni mkubwa sana kulingana na kamera hiyo, tofauti ni kuwa Camera inakuletea kitu karibu lakini uhalisia ni tofauti. Hapa nawajibu nyinyi mnaohitimisha kwa kutegemea kifaa kilichosanifiwa katika misingi dhaifu.

Ama hao wanaosema mambo ya curvature na kuzama kwa meli nchi 8. Pia, wanazua maswali kadhaa.

Mimi, nipo kati na kati, kwa maana ya kuwa nakubali dunia ni "round" na tunaiona tambarare kutokana a ukubwa wake, kuona tambarare dunia hakubadilishi umbo lake, ila napingana na maelezo yenu wote kwa namna mnavyofikia hitimisho ya jambo husika.
 
Ili uone kuna tofauti naomba ujibu swali hili.

Ili kitu kiitwe kinaona au kimeona kinatakiwa kikidhi vigezo gani ? Ifikie hatua tuache mbwembwe za maelezo yaliyojengeka katika dhana, mfano mzuri leo hii ukimuuliza Mwanasayansi nini maana ya mbingu au mbingu ni nini,majibu yake yataanza "Ooo unajua katika sky sijui kuna charge fulani mara ile color ya mbingu imetokana na nini" maneno yanakuwa mengi.

Mfao kuna maelezo uliyatoa kuhus mchakato wa miyale/miale hakika hayalengi shabaha ya uhalisia.

Kwahiyo mimi nipo kati na kati na ninatofautiana na nyinyi kwa ile namna mnayotumia kuyaelezea haya mambo na kufikia hitimisho.
 
Macho ni reality,camera ni virtual ila vyote vinadecode photography,macho kuona uhalisia kamili ni kawaida ila camera imetengenezwa katika mfumo ule ule kama macho katika utekelezaji,na tunatumia camera kama kiwakilishi na chombo cha kuhifadhi kumbukumbu katika virtual aspect resembling reality at maximum point badala ya macho.

Mfano umeona nyumba,mtu akapiga picha ile nyumba akakuletea picha,akakuuliza je unaifahamu hii nyumba?utamjibu vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
words
 
Lifecoded umetisha sana hii post yako ina madini sana
 
LOL
 
Naona mleta mada ana point za kutetea mjadala wake..kwa hilo anastahili Hongera sana.
Ila naomba nimuulize swali?

Kwenye flat earth?vitu vifuatavyo vinapatika kwenye kanuni zipi?

Sababu gani kubwa ukweli ufichwe??na ukweli huo ukijulikana utakua na madhara gani katika maisha ya kawaida?

Ili ufiche kitu ina maana una faida nacho, hiyo faida ni ipi ya kuficha ukweli??

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli hauwezi kufichika ila unaweza kugeuzwa kwa kupandikiza uwongo.

Pili,lengo ni kufuta taswira ya uumbaji katika ulimwengu na kuaminisha watu kuwa tupo kwa bahati na hatuna hatma yetote zaidi ya kifo.

Tatu madhara yake ni kubadilisha mifumo yote ya elimu,uchumi,madawa,na tahamaki kwa ulimwengu mzima na hilo hawawezi liruhusu maana wamefika mbali kwenye mpango wao.

Nne hautakubali kuwa mtumwa maana utajua ukweli juu ya uhalisia wako kuanzia asili,mtazamo na hatma na sababu kwanini upo duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbali na kifo hatima yetu ni ipi?ww unaijua kama ndio tupe muongozo na sisi tufahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…