isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,146
- 6,564
Mashiko gani?! Kama unafuatilia threads zangu ndio utajua nani anamashiko mimi au Newton na Einstein....Picha ya Vesta mnayo, Nibiru napafahamu inside in and out.Kuamini uwepo wa hayo 'mataifa' wakati walosema hayo ndo walosema dunia duara ambayo huamini ni kukosa mashiko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yote yako katika level za kibinadamu zaidi, body,mind and soul. Kama ambavyo hatuwezi kufikiria kama mamba au ng'ombe anavyofikiri pia hakuna mtu anaweza kufikiri kama Mungu/mungu anavyofikiri.Kwa hiyo hilo la kuongea kibinadamu uko sawa kabisa, na wala hatuko weak kiasi hicho ila watu wanazidiana maarifa na ujuzi.Mkuu umeongea kibinadamu zaidi.
Eeh mkuu taratibu mkuu.Serious question unapafahamu vipi?Yani una findings zako ambazo zimeenda mbali ya "literature review" like uliingia field hapo Nibiru?Vinginevyo mkuu "inside and out" sio kweliPicha ya Vesta mnayo, Nibiru napafahamu inside in and out.
Yes.Eeh mkuu taratibu mkuu.Serious question unapafahamu vipi?Yani una findings zako ambazo zimeenda mbali ya "literature review" like uliingia field hapo Nibiru?Vinginevyo mkuu "inside and out" sio kweli
Earth Horizon.Wameulizwa swali kwanini meli ikiondoka bandarini kadri inavyokwenda umbali mrefu ndani ya bahari unaiona kama inazama, ukipanda juu ya mnara mrefu unaiona meli ile baadae inavyozidi kwenda mbali unaiona inazama tena. Kama dunia ingekuwa flat hichi kisingetokea. Wanashindwa kutoa majibu wanadema dema. Ovyo kabisa
Sent using Cash Money Wings
Aiseeeee sijawahi kuona mtu poyoyo kama wewe. Yaani wewe ni poyoyo wa kiwango cha standard gauge.Hujibiwi sababu maswali yako ya uongo. Kwanza hakikisha maswali yako na uyafanya yawe kweli. Maswali yako mfano wake ni sawa mtu aseme au uambiwa "Mungu ana nguvu kuliko chochote, halafu uulize je Mungu huyo anaweza kuumba kitu ambacho kina nguvu kuzidi yeye? " Hili sio swali bali ni wasi wasi ni matumizi mabaya ya akili.
Hakiki kwanza uwepo wa hicho unacho kidai kisha uulize swali la kweli.
Pili, hatusemi Jua lina zunguka bali jua linatembea katika njia zake.
Pili, marejeo ya urefu wa siku nani akikwambia ni masaa 24 haya ni makubaliano ya watu,makubaliano ambayo hayabadilishi maumbile wala nidhamu ya jua. Usahihi wa mahesabu ni kucha na kuchwa kwa jua.
Kwahiyo swali lako hili pia ni la uongo. Uliza maswali ya kweli.
Giza linatokeaje kama dunia ni flat. Maan tulitakuwa kuliona jua 24hours. Lkn haipo hivyo.
Poa.Aiseeeee sijawahi kuona mtu poyoyo kama wewe. Yaani wewe ni poyoyo wa kiwango cha standard gauge.
I rest my case.
Sent using Jamii Forums mobile app
that a very crucial point,,, Kama ni flat jua linge light up Dunia yote at the same timeGiza linatokeaje kama dunia ni flat. Maan tulitakuwa kuliona jua 24hours. Lkn haipo hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko mda mmoja ambaye video zake hufutwa mara kwa mara youtube, mtafute kama bado utajifunza mengi mno. Anaitwa ERIC DUBAY15. Plane direction ni North East, kwanini?
kwahiyo walijua dunia IPO kana Dome,,,,While nyumba zao ziliundw Kwa stratified soil (utope) Kama biscuits ,,,je? Dome ipo Kama biscuits ?Nyumba zetu zamani tulikuwa tunajenga kama DOME like. Mpk hawa wahuni walipotuletea mfumo wa majengo ya uongo wa mabati. Aka pyramids. Wazee wetu walijua umbo la dunia yao ndo maana walijenga like DOME sio style yoyote ile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, kwamba mimi sio "mrembo wa nguvu".Uzushi kwamba wewe sio "Mrembo wa nguvu" au nimetoa maana ya uongo juu ya tamko "Kani" ?
Cio mahari pake hap......... .....Yes, kwamba mimi sio "mrembo wa nguvu".
Ungejikita tuu kwenye mjadala, sio lazima kila kilichoandikwa usome na kujibu.Cio mahari pake hap......... .....