REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #121
Navyofahamu ili uweze kutawala dunia lazima uwe na nguvu,mali na upeo kuliko mwingine,kanuni ilianza kutumika enzi na enzi kutoka kwa familia za kiyahudi mpaka mabara mengine.hizi familia ni familia ambazo zinatufuta utawala wa ulimwengu na zishafanikiwa.
Familia hizi zinasiri kubwa na nyeti za ulimwengu kwasababu zilichukua siri kwa mababu zetu wa ulimwengu kwa mabavu na sio tu siri mali kama dhahabu na almasi n.k mifano ni knight templers,babilonians,romans and etc
Wao ndo wanamiliki mabenki,dini,elimu,siasa,uchumi,sayansi,taasisi,michezo,majeshi n.k
Kwahiyo lengo lao la kuleta nadharia ya dunia kuwa tufe wakati nembo ya umoja wa taifa inaonyesha dunia ni tambarare ni kwamba wanataka kuaminisha watu kuwa asili yao ni big bang theory na kuwa tumetokea duniani kwa random tu na maisha yani life or existense is meaningless kwahiyo hapa wanawaharibu kwanza saikolojia pili wametengeneza elimu ambayo ni ya utumwa kwasababu ili uweze kuishi itabidi utafute kazi kuhusiana na elimu na upate pesa ambazo ni zao ndo ulale....kwakifupi we ni mtumwa hufikiri we ni nani ,umetokea wapi,unasababu gani na unaelekea wapi.
Movies,games,musuc,sports,alcohol,drugs,science,media(radio,magazine,tv,internet),porn,religion,politics hizo ni BRAINWASHING MACHINES.
Unajisahau uwepo wako na kuona maisha ndo haya kumbe unapotea kutoka uhalisia kuelekea maisha ya kutengenezewa ambaye hatima yake ni kukosa uhuru na kupoteza mwelekeo na kuwa kama pambo ambalo halina thamani .
THEY WANT TO MAKE A WORLD A VILLAGE AND THEN BE RULERS FOREVER..sasa kwanini ukubali kuwa mjinga na kupoteza mda wako dunia kwa kutumikishwa na mwenzako na ni nyumbani kwenu wote
Sent using Jamii Forums mobile app

Mada ni fikirishi sana ingawa bado nasubiri facts za mtoa mada ili nichague upande.
Mkuu mtoa mada hukutakiwa kuanzisha uzi mgumu kama huu kwa kutegemea kutoa facts zako kwa kuulizwa maswali tu maana sio wote wanajua unavyojua wewe. Mfano mzuri angalia wewe na baba swalehe wote wataalamu wa quantum physics lakini bado kila mmoja anahisi mwenzake haijui vizuri quantum physics sembuse sisi tusioijua hata kuiandika?
Tunaomba utuambie ni kwa nini dunia ikiwa spherical sisi tunapunjika halafu wao wananufaika??
Kwanini gateway to the other side of the flat earth iwe antarctic peke yake na sio arctic pia au sehemu nyingine yoyote.
Hebu tusiongelee quantum physics kwa sasa bali tuelezee unayoyajua kuhusu dunia tambarare mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
. Leta ukweli ambao uko wazi.Tueleze huo mkataba uli sainiwa wapi, na hizo nchi kumi na nne ni zipi? Tueleze kirahisi hata kwa ku compare na ku contrast nadharia za dunia mfano wa duara na dunia kama meza, tueleze kitabu kilichoandikwa kaandika nani, kasoma wapi, na ana reputation gani katika ulimwengu wenu wa wasomi wa sayansi, asije kuwa ni story teller aina ya wakina Shigongo
. Na kwanini Jua mnasema haliko stationery.We usihangaike na mapungufu yetu sisi.Just drop the facts....mwanzo mwisho, hizo story za youtube zipo nyingi tu mara kuna mwamba alikuwa anaita aliens n.k its just youtube na mambo yake kusaka subscribers,views e.t.c na hata kama sio youtube kuna kusaka umaarufu kwa kuongea uongo pia.