The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Do you think life is a coincidence
You are not serious. Sasa kama haiwezekani kuchukua then wewe hizo picha unazotuletea ni structure ya kubuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20200128_212923_040.JPG
IMG_20200128_212743_063.JPG
IMG_20200128_212517_967.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Operation dominic walitumia makombora yakifika yanablurst and since then they knew you cant go out of the dome maybe ulipue and i dont think so angalia hiyo video thats reality.

Hicho kioo thickness yake ni ngapi, kimetengenezwa na material gani?

Kwahiyo rocket zinaruka kutoka duniani kwenda nje ya dunia huwa zinalipuka zikigonga hicho kioo?

Sent using Cash Money Wings
images%20(71).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu nini? Kama ni kuhusu evolution and associated phenomenology theories mimi sijakubaliana nazo moja kwa moja lakini pia sizikatai moja kwa moja kwa sababu sina data za kuwa-prove wrong. Hivyo kwa sasa mimi ni muumini/naamini au kukubaliana zaidi na concepts za creation "uumbaji". Naamini kuna supernatural Energy/Power aka God na ndiye ali-create universe na kila kilichomo. Na imani yangu Mungu yuko in form of Energy "Nguvu" ambazo hazina kipimo ndiyo maana anafanya atakalo hapingwi na chochote.
OK NI VIZURI NGOJA NIKUPE HII KAMA MUUMINI
7c425d7b0f2e00c4edb37b9163d1c7a0.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo swali la 3 ukipata jibu naomba nitag mkuu.
Pia huwa najiuliza nini chanzo cha earth rotation!? why constant speed!!?

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
Nani alianza kuizungusha hiyo dunia mpk ikapata speed kubwa hivyo?? Na je inaongezeka??
Bado sikubaliani kwamba eti dunia ni kubwa sana mpk hiyo speed yote hatuihisi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kioo thickness yake ni ngapi, kimetengenezwa na material gani?

Kwahiyo rocket zinaruka kutoka duniani kwenda nje ya dunia huwa zinalipuka zikigonga hicho kioo?

Sent using Cash Money Wings
Ngoja jamaa anayeelewa akiona maswali yako atakujibu. Mm najua tu kuwa kasema kuna kioo huko juu kinagombaniwa kuvunjwa.
 
Practically! The value of g inatofautiana sehem moja na sehemu nyingine kama ilivyo hapo juu kwenye picha yako. Nasema practically sababu nilishawahi tumia gravity survey kwenye exploration.

- If gravity doesnt exist kwanini its possible kutumia gravity measurements kufanya exploration??

- Kama dunia ni meza can u explain the g (or watever name u call it kwenye flat earth) variations kwenye gravimeter katika sehem tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Which Gravity
863236143503a23c2c4e71a683f62e2c.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom