Gazet kuuubwa halaf tofaut ya colourless na invisible .Tatizo la wengi humu wanaobeza na kukejeli usomaji wao walipita kwa kukariri. Aliyesoma kwa kuelewa hawezi kubeza hoja unazoleta.
Somo la Chemistry mwalimu alisema water ni colourless. Jamaa mmoja akanyosha mkono akauliza swali akamwambia mwalimu maji yatakuaje ni colourless hali ya kuwa unayaona? Akatoa na mfano akamwambia mwalimu mfano wa gesi ya Oxygen moja ya sifa yake ni colourless, na ni kweli hatuioni. Tunaitambua kwa sifa zake na moja ya sifa yake ina support combustion!
Hata maabara tunaitambua kwa kuweka wooden glowing splint. Hii yote ni kwa sababu Oxygen ni colourless! Hatuioni. Akamwambia mwalimu inakuwaje maji yawe colourless wakati nayaona? Akameambia mwalimu kwake maji si kwamba hayana rangi bali rangi yake haijulikani.
Sasa wanaosoma kwa kumeza akili za kuhoji hawana. Badala yake anayehoji wanamuona kituko! Wanamuona hana akili! Wanambeza! Wanachosahau ni kwamba hata hizo notes za walizokariri zimetokea kwa kuhoji, wakajibidisha na utafiti mwisho wa siku mabadiliko ya taaluma yanazaliwa upya na kufanywa mitaala ya elimu.
Na siku zote anayesoma kwa kuelewa uzito wa hoja uliyoileta anaielewa na ana iona fikirishi. Kama huyo Engineer W. Winckler anachokisema ndicho ambacho anachokihoji Engineer brother Zurri
Ushaambiwa ilisemwa kuwa maji yanarangi ila watu hawaijui ina rangi gani.Gazet kuuubwa halaf tofaut ya colourless na invisible .
Enhe emb tueleze mliafikiana maj yana rang gan??
Sent using Jamii Forums mobile app
Gazet kuuubwa halaf tofaut ya colourless na invisible .
Enhe emb tueleze mliafikiana maj yana rang gan??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kiini cha kutuaminisha kuwa dunia ni duara dufu na inazunguka ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio siamini ni hoax kwahiyo haipo ni FICTION.hivi dunia itakuaje mpira wakati macho yako yanaona tambarare aisee.hata anachoelezea jamaa hapa ni sayansi,....... ila ni sayansi ambayo ameamua kuiamini wakat sayansi nyingine hataki kuiamini...
very simple
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbali na maneno ya wanasayansi kuna kitu ambacho kinakuaminisha kuwa jua halimove na unaliona kwa macho yako ndo linamove kutokea kule kwenda kule..?hata anachoelezea jamaa hapa ni sayansi,....... ila ni sayansi ambayo ameamua kuiamini wakat sayansi nyingine hataki kuiamini...
very simple
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbali na maneno ya wanasayansi kuna kitu ambacho kinakuaminisha kuwa jua halimove na unaliona kwa macho yako ndo linamove kutokea kule kwenda kule..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu ku relate na kile kisa cha " A man from TAURED" yule jamaa alisema anatokea kabisa hapa hapa duniani kwenye eneo linaitwa taured na alikuwa na vitambulisho vyote muhimu na document zinazoonesha kuwa ametokea hiyo nchi na ameshasafiri zaidi ya mara moja shida ni kuwa hawakuweza kuiona kwenye ramani ya dunia yetu hii!!! Na walipomuweka kwenye chumba cha mahojiano jamaa aka vanish without a trace yaani immagine wamemfungia kwenye chumba ghorofa ya 10 huko na walinzi juu na pingu mkononi lakini walipokuja kumcheki wakakauta pingu ipo pale pale haijafunguliwa na jamaa hayupo yaani kapotea .- Hamna kitu Gravity, I don't know ndio mnaita Gravitational Force. Just an Illusion
- Probably inaweza ika-sound lakini nachofahamu ni Foundation (Msingi) Uliopo.
- On other side kuna Mataifa kama ilivyo Dunia ndio same utakutana Nibiru, Vesta, Pulsar, Sedna, Ogle Tr, Mars etc. Baadhi ya hayo hayajawa na wakazi.
- Kusema "Mathematics Calculations" tayari inaonesha ni masuala yepi yaliokuathiri hadi kushindwa kutanabaisha haya.
Sergio
Hii mimi huwa najiuliza sana na kutafuta kwenye mitandao lakini sababu zao sikuziona ni zenye mantiki. Kwa sababu ipi wanazuia watu kwenda Antarctica?
Baba Swalehe tuambie hapa!
unapata picha gani mkuu..?Najaribu ku relate na kile kisa cha " A man from TAURED" yule jamaa alisema anatokea kabisa hapa hapa duniani kwenye eneo linaitwa taured na alikuwa na vitambulisho vyote muhimu na document zinazoonesha kuwa ametokea hiyo nchi na ameshasafiri zaidi ya mara moja shida ni kuwa hawakuweza kuiona kwenye ramani ya dunia yetu hii!!! Na walipomuweka kwenye chumba cha mahojiano jamaa aka vanish without a trace yaani immagine wamemfungia kwenye chumba ghorofa ya 10 huko na walinzi juu na pingu mkononi lakini walipokuja kumcheki wakakauta pingu ipo pale pale haijafunguliwa na jamaa hayupo yaani kapotea .
Ninanvyozidi ku link nazidi pata picha
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni mchokozi aiseee[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]Mada ni fikirishi sana ingawa bado nasubiri facts za mtoa mada ili nichague upande.
Mkuu mtoa mada hukutakiwa kuanzisha uzi mgumu kama huu kwa kutegemea kutoa facts zako kwa kuulizwa maswali tu maana sio wote wanajua unavyojua wewe. Mfano mzuri angalia wewe na baba swalehe wote wataalamu wa quantum physics lakini bado kila mmoja anahisi mwenzake haijui vizuri quantum physics sembuse sisi tusioijua hata kuiandika?
Tunaomba utuambie ni kwa nini dunia ikiwa spherical sisi tunapunjika halafu wao wananufaika??
Kwanini gateway to the other side of the flat earth iwe antarctic peke yake na sio arctic pia au sehemu nyingine yoyote.
Hebu tusiongelee quantum physics kwa sasa bali tuelezee unayoyajua kuhusu dunia tambarare mkuu
Mere mortals....?!Haya bwana ndugu wa viumbe vyenye macho ya blue kutoka "antakitika".Vipi na hivyo viumbe/majitu yamezuiwa kuja huku kupitia geti hilo hilo,au walikubaliana nao katika huo mkataba wa nchi kumi na nne?
Ili object iweze kuonekana inategemewa na uwezo wa kuakisi na wa kusharabu wa object yenyewe (wavelength of light).Gazet kuuubwa halaf tofaut ya colourless na invisible .
Enhe emb tueleze mliafikiana maj yana rang gan??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzio walirusha picha iliyopigwa na kifaa maalum kinachosafiri kupiga picha anga za mbali, kiligeuka kikapiga picha ya nyumbani duniani ndo kikaendelea na safari. Ww upo unaita watu majuha sababu ya kuamini scientific prove?Kama unaamini dunia inazunguka basi wewe utakuwa ni juha.
Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h.
Ni mwehu tu ndo wakuamini haya mambo kama aliyeamini binadamu wa kwanza kaishi miaka milion 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii statement yako inaonekana una umri ila ubongo mdogo,sasa unaniuliza mimi ramani si unayo,compass si unayo,tafuta meli katafute ushahidi,ninyi ndo mnaambiwa msiingie hilo ghorafa la worldtrade centre siku moja kabla halafu kesho yake eti ni uzushi ,unajua kilichowakuta?Mere mortals....?!Haya bwana ndugu wa viumbe vyenye macho ya blue kutoka "antakitika".Vipi na hivyo viumbe/majitu yamezuiwa kuja huku kupitia geti hilo hilo,au walikubaliana nao katika huo mkataba wa nchi kumi na nne?
Sijasema kama haoengelei Sayansi hapa naongelea kuhoji na ushabiki. Bila shaka maana ya ushabiki utakuwa unaijua.hata anachoelezea jamaa hapa ni sayansi,....... ila ni sayansi ambayo ameamua kuiamini wakat sayansi nyingine hataki kuiamini...
very simple
Sent using Jamii Forums mobile app