Sababu ni baridi Kali sana na barafu, pia kuna giza kwasababu Mwanga na joto la jua halfiki kule kama ilivyo kwa maeneo mengine dunian hususan equatorial areas yaani maeneo ya katikakati ya dunia.Hii mimi huwa najiuliza sana na kutafuta kwenye mitandao lakini sababu zao sikuziona ni zenye mantiki. Kwa sababu ipi wanazuia watu kwenda Antarctica?
Bila spherical world hakuna vifuatavyo
Big bang theory
Evolution
Mind control
Meaningless life
No origin
No human abilities
Power and control
Lack of freedom
New world order
Alot.........
And finally
Lies
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nje ya ndege ni wapi abiria huwa wanakaa? Huyo jamaa hapo ana compare oranges and apples. Bembea unaifeel kwa sababu you are accelerating. Kwenye rotation ya dunia au cruising sped ya ndege(except wakati wa take off na landing) acceleration ni zero huwez feel chochote ni physics ya form 1 kabisa.
Inawezekana flat earthers wakakataa hata simple concepts za acceleration na deceleration. I rest my case, kesho kazini tutafute hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeicheki huyu wamemkamata lini??
Nimeona hapo eti anasema death does not exist.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna haja ya kwenda mbali, swali la kuhoji ni kwamba:-Asante mkuu ,watu wamekuwa watumwa,mimi nilisoma science mpaka chuo ila namshukuru Mungu ufahamu wangu ulipenda sana kuhoji because am SKEPTICAL ikanifungua mengi sana sasa hivi sina hata wasiwasi kama nilivyokuwa kwenye ulimwengu wa dunia inayozunguka jua zaidi ya speed ya mwanga.kumbe ni michezo ya nasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadamu tunaself abilities tukiwa free,ubongo unatulia na unaweza ukaushirikisha na ukagundua vingi ndani ya nature,una will power ila ipo dormant maana unawaza kula,kutafuta pesa,kazini,kula mtiririko huo bado umewekewa mitatizo chungu mzima ya kuharibu saikolojia.
Huna haja ya kwenda mbali, swali la kuhoji ni kwamba:-
Kama Dunia inaizunguka jua na jua ni static object (Earth's Revolution) je nini kinatokea hapo? Acha habari ya majira ya mwaka
Wakati Dunia kujizungusha kwenye muhimili wake kutoka Magharibi kuelekea kusini ndio tunapata usiku na mchana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu we unahisi dunia ni mpira?Huu ndio uhuru wa kujieleza! The earth is flat.....duh. "Sayanzi" mpya hii. Yaani kuna mambo mengine huwezi kudhania watu wanaweza kubishana.
Ni kweli regions nyingi zilizo karibu na North au South pole zinapata vipindi virefu vya jua na giza vile vile, na hii tena ni proof zaidi kuwa dunia is spherical not flat.Embu angalia time range za nchi karibia na arctic wanakaa mpaka siku tatu na mwanga wa jua no giza mf.norway
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli regions nyingi zilizo karibu na North au South pole zinapata vipindi virefu vya jua na giza vile vile, na hii tena ni proof zaidi kuwa dunia is spherical not flat.
Revolution ya dunia around the sun(ambayo pia flat-earthers hamuitaki licha ya galileo kuenda jela kwa ajili yenu) ni elliptical in shape na inasababisha seasons. Jielimishe kuhusu December and June Solstice, March and September Equinox, Perihelion na Aphelion na calculations zake kifizikia utaelewa sio nadharia nadharia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
May be not spherical, but definetly not flat. Hii flat earth concept hata "kanisa" lilishaachana nayo kitambo sana na kuomba msamaha kwa waliuwawa kwa kusema dunia ni mviringo.
Nilijua tuAliens wapo sehemu nyingi sana binafsi ndege zao nimeziona zikikatiza,siku hiyo nilikuwa dar nafunga dish zilipita 3 zikitoa mwanga mkali,halafu tafiti zinasema pale ni kwamba ni time travelling either wanaenda miaka ya mbele au nyuma,watu wengi washatoa ushahidi ila website ya youtube huzifuta na kupoteza ushahidi huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hii ilimpofua macho Galileo Galilei alikuwa akipingana na msimamo wa kanisa katoliki ambalo kwa kipindi hiko waliamini dunia iko flat,kwa kupinga hilo walimfunga kwenye chumba chenye giza kwa miaka kadhaa mpaka akapoteza uwezo wake wa kuona na akapofuka macho.Huu ndio uhuru wa kujieleza! The earth is flat.....duh. "Sayanzi" mpya hii. Yaani kuna mambo mengine huwezi kudhania watu wanaweza kubishana.
Hiyo nembo ya UN wamehirahisha ili kila Bara kuonekana kirahisi wasinge weza weka upande mmoja wa Dunia ndo uonekane wakati UN ni chombo cha Dunia nzima! Hata namna mabara yanavyo onekana kwenye hiyo nembo nitofauti na yale tulozoea.Sasa kama unatumia azimuthal globe map ya NASA utanielewa vipi shida hao wanaowalisha matango pori muwe vijakazi wao wao wanatumia azimuthal flat standard mapView attachment 1336019
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna haja ya kwenda mbali, swali la kuhoji ni kwamba:-
Kama Dunia inaizunguka jua na jua ni static object (Earth's Revolution) je nini kinatokea hapo? Acha habari ya majira ya mwaka
Wakati Dunia kujizungusha kwenye muhimili wake kutoka Magharibi kuelekea kusini ndio tunapata usiku na mchana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simple logic kama iko flat kwanini kuna utofauti wa masaa kati ya sehemu na sehemu? Kama kitu kipo flat tutatarajia jua kuchomoza na kuzama katika flat area hiyo kwa muda sawa kwaiyo hata muda ungekuwa sawa.Hiyo nembo ya UN wamehirahisha ili kila Bara kuonekana kirahisi wasinge weza weka upande mmoja wa Dunia ndo uonekane wakati UN ni chombo cha Dunia nzima! Hata namna mabara yanavyo onekana kwenye hiyo nembo nitofauti na yale tulozoea.