The World is a flat plane and not a globe

Sasa hii ni fiction mimi nilidhani tuna ongea vitu ambavyo ni halisi na vipo...endelea na mdahalo ufurahishe barza
 
The fact kuwa "flat-earthers" hawaamini katika simple science na physics na mathematics ambazo kimsingi ndio building blocks za maendeleo ya mwanadamu wa kisasa, inashangaza!

The fact kuwa umeshika smartphone yako unaandika hapa JF ni proof tosha the earth is not flat,how? jifunze how telecommunication works, antena zinavohusiana na earths magnetism, accelerometer sensors, gyroscopic sensors zote zimekaa kwenye simu tu hata tusiende mbali.

Atheists afadhali huwa wana point ya ku-argue ila flat-eathers ni wavivu sana wa kufikiri. Theory wanatoa wao, wana research wao, wanai-prove wao then wanataka kutulisha uchuro.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani
Atheists,alien seekers,Freemason wanna be's na flat earthers wana tofauti gani kwenye bongo zao?
 
Hapo nimekuelewa, huyu jamaa zuri Ni close minded namba 1 dunia nzima na hata all over the universe

ARUSHA KWETU
 
Sote tunajua USA iko magharibi mwa Dunia na Russia iko mashariki mwa Dunia na Kama Dunia siyo spherical au duara ni kwanini Siberia ya Russia inapakana na Alaska ya Marekani kwa tofauti ya kilometers 80 na bado kati ya bahari hapo kuna Visiwa vidogo mpakani
na umbali wa kilometers 3.7 kati ya USA na Russia?!
 
Reactions: SMU
Flight direction ya east ni sababu za kibiashara tu hawawezi pitisha ndege bahari kubwa ya pacific pasipo ishi Watu bila faida yeyote !ambapo bahari hiyo ni kubwa inachukua 1/3 ya Dunia!
 
Duh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh unaamini hadi time travel..

Hebu elezea kidogo ulivyoona hiyo ndege yao ikoje ikoje??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi dunia ni 'flati'.
 
You are illiterate.

Hata hujui kusoma.

Hujui kwamba huko kwenye error nilishakuacha.

Hujui swali gani nimekuuliza.

Hivyo siwezi kutegemea ulijibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuambia with no variables and spinless au unataka nikuambiaje na unauliza hilo swali unatumia gezo gani au wapi kuthibitisha wewe ndo upo sahihi unaposema "hujajibu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nihizo sauce planes kama visahani ili vilikuwa vidogo meaning mbali,na kwa mda huo nilikuwa nishajua kwa kupitia self investigation maana kila mtu ana namna yake ya utafiti na uthibitisho kwa ufahamu wake binafsi..

Mtu anayekata time travel naye ana tatizo sehemu ,hii dunia nipana sana mi naona watu wanafanya kejeli ,lakini hata si shangai
Kwani watoto wako wakiwa sebuleni wanacheza si unawaangalia ,wakichoka wanaenda kulala,halafu kesho shule wakapambane na mfumo.
Duh unaamini hadi time travel..

Hebu elezea kidogo ulivyoona hiyo ndege yao ikoje ikoje??



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…