The World is a flat plane and not a globe

Mkuu anzisha group la whatsapp au telegram liite Flat eathers ili tupeane utirio na link za vitabu, video nk kuhusu taarifa hizi muhimu, naomba mi niwe wa kwanza ku ni add humu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huu uzi wako ndani ya JF najua unafanyiwa figisu usiendelee, nukuu hayo maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu anzisha group la whatsapp au telegram liite Flat eathers ili tupeane utirio na link za vitabu, video nk kuhusu taarifa hizi muhimu, naomba mi niwe wa kwanza ku ni add humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za uongo daima zinatakiwa ziondolew tu, unless mtuambie kuwa ni fiction, na youtube hawaondoi video kama una rights nazo bwana😃😃😃.Watu wana upload vitu ambavyo sio vyao kama vyao vile lazima wale ban.
 
Hivi umeziona wapi leta ushahidi wowote sio blah blah,nakuambia hakuna satellite utasubiri mpaka 2060
Hili ni wazo cheap sana kusema hakuna sattelite, kasome kwanini facebook hawaku opt kutumia real sattelite bwana.Watu kama nyie mmesababisha watu wengi wakakariri uongo.Yani hauna proof lakini unakataa kitu kwa msuli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwongo ni nini?ungekuwa unajua ni nini usingehangaika unavyoteseka sasa
Habari za uongo daima zinatakiwa ziondolew tu, unless mtuambie kuwa ni fiction, na youtube hawaondoi video kama una rights nazo bwana[emoji2][emoji2][emoji2].Watu wana upload vitu ambavyo sio vyao kama vyao vile lazima wale ban.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi kukuona huku. Bado una deni letu mkuu.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Kwa hiyo maji yamekuwa curved kwenye duara sio?
Na maji ya mto nile yanapandisha mlima kuelekea mediteranean, ujinga mwingine ni wa wazi kabisa..ndo maana freemason wanasema wajinga hufichwa maarifa.
Na Yesu alisema kwenye Mathayo 7:6 anasema msiwape mbwa kilicho kitakatifu, walamsitupe lulu zenu kwa nguruwe wasije wakazikanyaga na kuwararua.

Hivyo ndivyo walimwengu kupitia mashule walivyolishwa ujinga na kuuamini.
Dunia ni duara, ila kulingana ukubwa wake na upeo wa macho yetu tuaona ni tambarare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini MWEZI MCHANGA UNAKUWA NA UMBO LA NUSU DUARA LILILOBONYEA KATIKATI

KUPATWA kwa JUA na MWEZI kunatokeaji ikiwa dunua Ni Flat?

ARUSHA KWETU
 
Hahaha dah

Mungu saidia huyu mjinga

Nmeishiwa hadi nguvu ya kuongea

Quantum physics made phone you are using now you idiot
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ARUSHA KWETU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…