Kwa jinsi inavyoonekana kwenye hiyo pic yako ya animation tusingepata usiku na mchana siyo kwa jinsi tunavyopata sasa hv. Kuna sehemu zingekuwa daima ni mchana hakuna giza na sehemu nyingine zingekuwa daima ni giza hamna mchana.
Hatubahatishi, yaani kila tunalo andika ni msingi.
Nasubiti mchango wako.
Nani anatumia solar? Nani kayaweka hayo masolar makubwa? Yapo sehemu gani?Ndio zipo wengine wanatumia misolar mikubwa atleast mchana wareflect mwanga kwao we google places with full darkness and lights in the world
Sent using Jamii Forums mobile app
Au kwa nini nikielekea mbele y Alaska natokea Russia ( kama ni kweli why)Mada ni fikirishi sana ingawa bado nasubiri facts za mtoa mada ili nichague upande.
Mkuu mtoa mada hukutakiwa kuanzisha uzi mgumu kama huu kwa kutegemea kutoa facts zako kwa kuulizwa maswali tu maana sio wote wanajua unavyojua wewe. Mfano mzuri angalia wewe na baba swalehe wote wataalamu wa quantum physics lakini bado kila mmoja anahisi mwenzake haijui vizuri quantum physics sembuse sisi tusioijua hata kuiandika?
Tunaomba utuambie ni kwa nini dunia ikiwa spherical sisi tunapunjika halafu wao wananufaika??
Kwanini gateway to the other side of the flat earth iwe antarctic peke yake na sio arctic pia au sehemu nyingine yoyote.
Hebu tusiongelee quantum physics kwa sasa bali tuelezee unayoyajua kuhusu dunia tambarare mkuu
Since last week, however, Eyde's statue has gazed out upon a sight that even the eminent engineer might have found startling. High on the mountain opposite, 450 metres above the town, three large, solar-powered, computer-controlled mirrors steadily track the movement of the sun across the sky, reflecting its rays down on to the square and bathing it in bright sunlight. Rjukan – or at least, a small but vital part of Rjukan – is no longer stuck where the sun don't shine.Nani anatumia solar? Nani kayaweka hayo masolar makubwa? Yapo sehemu gani?
Mkuu, huwa nafurahi sana pale napoona WANASAYANSI WA JF wakitokwa mishipa ya shingo kutetea hoja ambazo walioziandika wanaziita THEORY. Tunaposoma elimu ya anga mambo mengi ni theory lakini wala ugali wengi hudhani yamethibitishwa.Haya mambo ya Sayansi huwa yana uongo mwingi sana, tatizo watu wengi wanapenda story za Sayansi basi hata muda wa kuhoji hawaupati.
Nilishawahi kuwauliza humu wajinga fulani kwamba, kuna jafribio gani la Kisayansi liliwahi kufanywa likathibitisha ya kuwa Dunia inazunguka ? Auwatuthibitshie tu ya kuwa Dunia inazunguka, majibu yao ni vituko.
Sayansi ya maumbile na hasa ya anga niliachaga kuamini, pale niliposikia habari za mtu kwenda mwezini.
Au kwa nini nikielekea mbele y Alaska natokea Russia ( kama ni kweli why)
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Wanaficha uhalisia wako,uhuru wako,uwezo wa kufikiri,wanakufanya uwe mtumwa,wanakuthibitishia maisha hayana maana kwamba kuna kula kuishi kufanya kazi na kufa,wanapoteza mwelekeo wako,wanakufanya uwe tegemezi kwenye mfumo,nguvu ya utawala,tamaa na ulimbikazaji wa mali,wao wamekaa wanakuchezesha kama mdoli na mimi sio MDOLI.Kwani hao wazungu wananufaika nini kwa kuficha umbo halisi la dunia? Na je watu kujua kutakuwa na athari gani kwao? Unless mtoa mada utuambie kuwa unafurahisha tu genge
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umenichanganya au sijui kiswahili?
Picha nyingi kutoka space... Umbali tu wa Japani to USA unaweza kukuambia dunia siyo flat.. Kupatwa kwa jua na hata mwezi, usiku na mchana, Majira ya mwaka, kupotea kwa jahazi baada ya umbali fulani.. Kutokugongana kwa miali ya mwanga katika pole, yaani kuna mengi sana ambayo kuna una waza kwa ufasaha utashawishika. Ingawaje hata mm kuna machache ni puzzle kwangu hasa kasi ya mzunguko wa Dunia kiasi hatuwezi kuufeel hapa bado ni utata..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliens wapo sehemu nyingi sana binafsi ndege zao nimeziona zikikatiza,siku hiyo nilikuwa dar nafunga dish zilipita 3 zikitoa mwanga mkali,halafu tafiti zinasema pale ni kwamba ni time travelling either wanaenda miaka ya mbele au nyuma,watu wengi washatoa ushahidi ila website ya youtube huzifuta na kupoteza ushahidi huo.
Nitafatilia hili.. Ila mimi sio mjinga.Usiwe mjinga kiasi hicho erooo... flights do fly over the pacific from australia to The states