AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,146
Hahahaha acha ufala mkuuKwahiyo Gvt imetushikilia tusianguke but inaturuhusu tutembee??? Yet imeushikilia na mwezi pia.
Inshort GvT imesanuka msamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
vinaelea angani/hakuna aliyevishkaUsiwaze saaanaa..jiulize jua na mwezi vimeshikiliwa na nini?
Sasa wazee wa dunia duara ndo wanatuambia kuwa gravity inafanya vyote hivyo.....yaani ina mikono mia 6[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Prove me wrong sijaona fact hapa« Jews wana contorol kila angle »
You are sounding childish and immature
Na wewe pia tumia ubongo, inawezekana vipi mnara mmoja ukatoa signal dunia nzima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za google maps ambazo unaweza ona popote duniani na kuzoom vizuri zinapigwa na nini mkuu?
Hujanieleza kuhusu vimondo nao ni uzushi wakat hata usiku vinaonekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo uende hospitali,nyota ndo zinarotate sio dunia,tafuta telescope kama huna.Mkuu nenda hospitali teyari ubongo wako ushakusaliti
Maswali yako bana,hizo drone zimewekwa na wanaokuchezea akili yana scientists.Zinapigwa vipi?
Mbona uki zoom out inakuletea dunia nzima ?
Hiyo drone ikoje na iliwekwa na nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusuhusu Dome ya kioo inayo ifunika Dunia ni fix zenu flat Earthers na muanzisha mada. Hayo mafungu Mliyo yatoa ndani bible kama ushahidi wenu hayaendani na kile mnacho king'ang'ania hapa katika mada.Nimekaa na Wanatheology nguli tumesoma na kuchambua mstari mmoja baada ya mwingine! Sana katika Ayubu 37 utaona Nabii alikuwa akisifia jinsi Mungu alivyo zitengeneza Mbingu imara kama kioo kilicho yeyushwa na sio kama mnavyo danganya hapa eti Dunia imefunikwa na kioo kigumu! Katika ufunuo Bible inaelezea kuwa Mbinguni kuna bahari ya kioo mwishowe mtageuza Neno ionekane Mbinguni kuna kioo juu ya bahari! Someni na muelewe na sio kukurupuka,mmeonesha jinsi gani uwezo wenu wa kusoma na kuielewa Biblia ulivyo mdogo. Hivi wale Jamaa zenu wa flat Earthers waliishia wapi katika utafiti wao kule Antarctic?! Maana wako kimya sana! walijigamba mwaka juzi, ndani ya mwaka 2019 wange kwenda kutafiti Antarctic kama ina mwisho au haina kisha waielezee Dunia walicho kibaini huko !
Yani kuona jua ni sawa na mwezi ni google ,au vikimove ni google ?F
Flat Earthers ni Genge la wakurupukaji wanao jidai kujua! Ukweli wao wanao ulazimisha hapa ni hisia na adithi za kikanjanja walizo soma humu mitandaoni pasipo utafiti wa kutosha! Siyo kweli kwamba Mtoa mada na wenzake ndo watakuwa wamefikilia kwa akili zao hilo suala la flat Earth na kuamua kulielezea! Kila wanacho kiita ndo ushahidi wao, wanapost hisia za Watu wengine toka google humu humu!
Earth being flat or revolving around the Sun has got nothing to do with Quantum Physics.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhan kama kuna drone inaweza fly high kiasi hicho vitu vingine muwe mnareason kabla ya kusema.
Halafu nimekuuliza kuhusu mnar mrefu hujajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za namna Dunia ilivyoumbwa zinapatikana katika kitabu cha Mwanzo, tena Mwanzoni kabisa....
Hebu soma vizuri utaigundua shape ya Dunia kama ni duara mviringo au duara tambarare.
Halafu humu hatubishani kipi ni sahihi kiumbo ila tunatakiwa tutafakari zaidi na zaidi.
Niwaulize Mnaopinga Dunia Flat.
Kuna kipi mnachokijua ktk Dunia Duara Mviringo ambacho Tunaoamini Dunia ni Flat hatukijui?
Basi tulivyofundishwa tukaendelea kuhoji tukafundishwa tena Dunia Flat ilivyo.. na baada ya hapo tukaanza kutafuta ukweli....
Sasa wewe usiyeisoma elimu ya Dunia flat unawezaje kumpinga mtu mwenye hiyo elimu uliyonayo ya dunia mviringo na akaongezea na nyingine ya dunia flat.?
Jifunzeni kutafiti kabla ya kujibu. We unaona Jua linatembea, mtu anakuambia limesimama unamuamini...
Hiyo hiyo biblia uliyoitumia reference ina andiko la watu kuomba Jua lisimame waendelee kupigana vita bila usiku kuingia, kwanini hawakuomba Dunia isimame?
Kama kuna Sattelite kwanini gharama za mawasiliano ni tofauti kati ya simu za ndani ya nchi ma nje ya nchi?...
Asolimia zaidi ya 90 mawasiliano yanatumia cable zilizosambazwa chini ya bahari dunia nzima, kwanini?
Jamaa wa spice x ametangaza hapo mbeleni atawezesha mawasiliano ya internet kwakutumia sattelite, ina maana hazipo kwasasa?
Fanyeni kugooogle Google Map wanatumia nini kupiga picha ziitwazo za sattelite. Camera zinafungwa kwenye mapashuti yenye uwezo wa kwenda juu zaidi kwa ajili ya nini na kuna sattelite?
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ni picha tu inaweza pigwa muda wowote.
Yaan drone na gari ipige picha aerial view ya nchi nzima kweli mkuu? Zoomout google map zoom in sehemu yoyote duniani utaiona kwa ukaribu kupitia juu. Sasa sijajua hizo drone ni za namna gani.
Labda niambie hiyo drone ni aina gani ? Na specifications zake zikoje iweze kupiga picha dunia nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujanielewa nili maanisha flat Earthers ni wakurupukaji bila ushahidi wa kutosha! Wanatoa hitimisho la Dunia ni flat wakiwa bado hawajapata uhakika zaidi! Mwaka juzi walisema 2019 wange kwenda Antarctic wajue ukomo wake waje waithibitishie Dunia!Lakini mpaka sasa ni kimya tu na bado wanatafutisha ushahidi wa kuunga unga ndani ya Bible.Ukisoma Wewe binafsi utagundua bado kilicho andikwa katika hayo mafungu hakiendani na ushahidi wao!
Mkuu unazungumziaje na zile sehemu ambazo ukiweka signal za madishi hupati kitu kabisa...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua minara ya tigo na voda na tigo inavyofanya kazi?
Halafu nimkuuliza kuhusu mnara mrefu uliosema unaratibu mawasiliano dunia nzima, sio ya tigo na voda ambayo naifahamu.
Vipi kuhusu GPS nayo ni uzushi?
Sent using Jamii Forums mobile app