The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mkuu mimi nimekuelewa sana. Ila swali langu ni moja tu. Tunajua Marekani kwa ramani ya dunia ipo magharibu. Urusi ipo mashariki. Sasa kwa nini Urusi na Marekani zimepakana? (Jimbo la Alaska)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ramabi hii ya dunia nayo ina mashekele mageni....kuna uongo sana. Kuna wanaosema egypt iko karibu na Texas....kuwa haziko mbali km tunavyoambiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ipo fixed no acceleration

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!

Na wewe pia huna tofauti na mwenzako niliyemuuliza maswali hapo awali.

Mnajipinga wenyewe, nilisema hapo awali.

Unafahamu kuhusu Universal Acceleration?

Nenda ukawasome vizuri flat-earthers wenzako. Usikurupuke!

Mnajadili hoja kuhusu flat earth ambazo zilishakuwa proved wrong muda mrefu tena kwa ushahidi wa kutosha.

Wenzako wana-formulate theories mpya kila siku, lots of contradictions.

Wewe nawe ni flat-earther wa aina gani?
 
Kuhsu swali la kwanza nalo hujajibu. Inakuwa kama hujaziona hizo ref. picture nilizozi attach round earthers wanavyoi-represent dunia kimuonekano.! Refer hizo picha kisha jibu swali **** ulivyoulizwa. Usibishe tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kwanza sijajibu kiaje?

Nimekwisha kulijibu.

Rejea maelezo niliyoyatoa kwa umakini kuhusu hilo swali la kwanza.
 
Am still insisting the world is fixed no acceleration.
Accelerating heading where??
The world is still as you see it and feel it,no rocket science in pure reality.
Hahaha!

Na wewe pia huna tofauti na mwenzako niliyemuuliza maswali hapo awali.

Mnajipinga wenyewe, nilisema hapo awali.

Unafahamu kuhusu Universal Acceleration?

Nenda ukawasome vizuri flat-earthers wenzako. Usikurupuke!

Mnajadili hoja kuhusu flat earth ambazo zilishakuwa proved wrong muda mrefu tena kwa ushahidi wa kutosha.

Wenzako wana-formulate theories mpya kila siku, lots of contradictions.

Wewe nawe ni flat-earther wa aina gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are highly indoctrinated in a way that you cant even comprehend simple and logical perspectives,go find books about newton and copernicus plans for global transition ,ndo urudi hapa,imagine newton anasema "even if we say the sun is 56 million miles away or 93 or 35 its literally the same because nobody can prove it wrong"

Halafu jaribu kutumia ubongo wako kufikiri sio kufikiri kupitia ubongo mwingine ,utakuwa mtumwa wa fikra na msindikizaji,kama uliambiwa watu wanaenda space subiri hivyo hivyo.
Maswali yamekwisha jibiwa.

Soma vizuri na kwa umakini majibu uliyopewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Satellites ni uzushi kwamba kuna underground cables na towers hii ngumu kumeza. Kijijin kwetu mbali kabisa kuna madishi kadhaa ya ving'amuzi sasa haya yote kweli yanase kwenye mnara ulio mbali ( hizo cables ndo kabisaa)

Kwani kama satelite zipo juu ya mpira alafu kijiji chenu kipo chininya mpira huko na ile ya kuwa kuna mnara mreefu katika sahani flat ambao unacontrol na kunasa taarifa ipi ngumu kumesa hapa..?

Tumia ubongo wako bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
If you are a greatthinker hizo sio tu proof bali ndo sababu zinazofanya dunia iwe jela ya wajinga kwa kutozijua zina maana gani na wanaishi ili iweje.

Jewish wanacontrol kila angle mkuu ukubali ukatae huo ndo ukweli,au nipe sababu moja why do we EXIST? moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app

« Jews wana contorol kila angle »

You are sounding childish and immature
 
Kwani kama satelite zipo juu ya mpira alafu kijiji chenu kipo chininya mpira huko na ile ya kuwa kuna mnara mreefu katika sahani flat ambao unacontrol na kunasa taarifa ipi ngumu kumesa hapa..?

Tumia ubongo wako bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo utumie ubongo, labda nikuulize huo mnara mrefu unaotoa mawasiliano dunia nzima uko wapi?

Unaweza weka picha tuuone?

Una urefu kiasi gani mpaka signals zake zifike every where on Earth?

Vipi kuhusu picha za satellites mfano za google maps nazo ni uzushi au zimepigwa na mnara mrefu?

Vipi kuhusu vimondo vinavyopita usiku achilia mbali vilivyo dondoka Mbozi na Arizona Marekani vilitoka wapi au nao ni uzushi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbozi na Arizona
379ac51e2e7e558a76193a74ecb3c5f6.jpeg
meteor-crater-panorama.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta hizo picha za satellite halisi tuzione sio zile za CGI za kuedit.

Alafu we jamaa tumia tena ubongo satelite ipo nje ya dunia inawezaje kutoa taarifa kwenye mpira yaani hzo information kuuzunguka huo mpira na information kutransmit katika sehemu tambalale lioi ni rahisi..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe pia tumia ubongo, inawezekana vipi mnara mmoja ukatoa signal dunia nzima?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mnara mmoja hauwezi kutoa signal dunia nzima ambayo ni flati na huo mnara uko duniani,unadhani hzo satelite zilizoko nje ya dunia zitakuwa rahisi kutoa signals tena zikizunguka hilo duara ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za google maps ambazo unaweza ona popote duniani na kuzoom vizuri zinapigwa na nini mkuu?

Hujanieleza kuhusu vimondo nao ni uzushi wakat hata usiku vinaonekana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nilichokuuliza hujajibu hapo na wewe unakimbilia kuuliza.

Mimi nataka uniambie kuwa kama satelite zipo kweli kwa nini tunapata hzo google map ya kila sehemu..?

Hyo satelite ni kama blanketi limefunika dunia nzima linaweza kupiga picha ya kila sehemu ya dunia au?
Picha za google maps ambazo unaweza ona popote duniani na kuzoom vizuri zinapigwa na nini mkuu?

Hujanieleza kuhusu vimondo nao ni uzushi wakat hata usiku vinaonekana?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom