The World is a flat plane and not a globe

Kuna swali moja huwa najiuliza, inakuwaje maji ya mto Nile yanaflow kutokea East Africa na kwenda hadi Mediterania? Yawezekana swali langu ni la kizushi, ila kulingana na structure ya Spherical earth, nilitegemea yashuke South. Ni kitu gani kinayapandisha kule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kupatiwa majibu na pande zote mbili au kwa upande ambao utakuwa na majibu.

1. Kama dunia inazunguka katika mhimili wake kwa speed kali sana, timing ya ndege kwenye kutua inakuwaje? ( Chukulia mfano zile mashine zilizopo gym kwa ajili ya speed, let say imewashwa na inazunguka kwa speed kali, alaf unaambiwa urukie na kuanza kukimbia juu yake.

2. Na bakia hapo hapo kwenye ndege. Kutokana na speed kali ya mzunguko wa dunia hakuna uwezekana wa ndege wakati inatarajia kutua A, ikajikuta inatua point B?

Hayo maswali kwa sisi wa Dunia tambarare nasi tunayauliza labda majibu yatoke kwa dunia mviringo, angalizo tuu hakikisha wanakupa mfano tofauti na wa inzi kwenye basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tukisema dunia ni kama meza tujiulize maswali haya matatu..
1. Nini imeshikilia dunia..au tuseme dunia imesimikwa kwenye kitu gani?
2. Jua likizama linaenda wapi hadi lije kuibuka pale pale lilikochomozea siku iliyotangulia?
3. Ni kwa vipi tunapata kupatwa kwa mwezi kama dunia ingekuwa flat??
 
Naomba kupatiwa majibu na pande zote mbili au kwa upande ambao utakuwa na majibu.

1. Kama dunia inazunguka katika mhimili wake kwa speed kali sana, timing ya ndege kwenye kutua inakuwaje? ( Chukulia mfano zile mashine zilizopo gym kwa ajili ya speed, let say imewashwa na inazunguka kwa speed kali, alaf unaambiwa urukie na kuanza kukimbia juu yake.

2. Na bakia hapo hapo kwenye ndege. Kutokana na speed kali ya mzunguko wa dunia hakuna uwezekana wa ndege wakati inatarajia kutua A, ikajikuta inatua point B?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna mambo ya physics..nguvu ya mvutano. Dunia inapozunguka inafanya vitu vyote viwe kwenye mzunguko sawa na wa dunia.. chukulia mfano kwenye gari linapokuwa kwenye mwendo. Ukiwa kwenye basi unakuwa na speed sawa na ya basi..nikuulize swali, ukiwa kwenye basi lililoko kwenye mwendo, ukirusha juu chungwa litaangukia wapi? Ukipata jibu hutashindwa kupata majibu ya maswali yako.
 
Kuna swali moja huwa najiuliza, inakuwaje maji ya mto Nile yanaflow kutokea East Africa na kwenda hadi Mediterania? Yawezekana swali langu ni la kizushi, ila kulingana na structure ya Spherical earth, nilitegemea yashuke South. Ni kitu gani kinayapandisha kule?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unapaswa kuelewa mambo ya altitude (meinuko).. kwamba huko yanakoelekea kuna mwinuko mdogo ukilinganisha na huko yanakotoka.
 
Asante mkuu kwa kuonesha nia ya kunifumbua macho. Kulingana na structure ya dunia mviringo ilivyo, inaonesha north pole ipo juu na south pole ipo chini, alaf mabara mengine yapo kati. Yani ni kama mtu akiwa upright, kichwa na miguu ni north na south pole respectively. Alaf huyo mtu akiwa anajizungusha ndio sawa na dunia inavyojizungusha kwenye mhimili wake.

Sasa swali langu linakuja hapa, huyu mtu akiendelea kuwa upright, ni vigumu kwa yeye kushika kimiminika alaf kikaflow kuelekea kichwani.

Tukirudi kwenye dunia, naomba kujua hizo altitude zimekaa vipi hadi flow ya maji ielekee mediterania na sio chini?

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tukisema dunia ni kama meza tujiulize maswali haya matatu..
1. Nini imeshikilia dunia..au tuseme dunia imesimikwa kwenye kitu gani?
2. Jua likizama linaenda wapi hadi lije kuibuka pale pale lilikochomozea siku iliyotangulia?
3. Ni kwa vipi tunapata kupatwa kwa mwezi kama dunia ingekuwa flat??
Kulinga na maelezo ya flat earthers niliyoyaona humu :

2. Kuzama kwa jua maana yake linakuwa limeshapita eneo ilo na limesogea kwingine (jua linazunguka dunia)

3. Kupatwa kwa mwezi nadhani nadharia itakuwa ile ile kwamba jua litakapokuwa linazunguka dunia, na wakati huo huo mwezi unazunguka dunia. Itafikia point mwezi na jua vitakuwa in a straight line towards earth( with moon in between).

Ila pia kutokana na swali lako namba 2,naomba kuuliza swali la nyongeza kwa flat earthers.

"Kama dunia ni flat surface, na jua linaizunguka (kulinga na picha/GIF zilizotumwa) nilitegemea jua lingekuwa linachomoza upande wa kaskazini, alaf kadiri ya linavyozunguka basi likazamie kusini, ila uhalisia upo tofauti"

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa kuonesha nia ya kunifumbua macho. Kulingana na structure ya dunia mviringo ilivyo, inaonesha north pole ipo juu na south pole ipo chini, alaf mabara mengine yapo kati. Yani ni kama mtu akiwa upright, kichwa na miguu ni north na south pole respectively. Alaf huyo mtu akiwa anajizungusha ndio sawa na dunia inavyojizungusha kwenye mhimili wake.

Sasa swali langu linakuja hapa, huyu mtu akiendelea kuwa upright, ni vigumu kwa yeye kushika kimiminika alaf kikaflow kuelekea kichwani.

Tukirudi kwenye dunia, naomba kujua hizo altitude zimekaa vipi hadi flow ya maji ielekee mediterania na sio chini?

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachoona unachanganya ni namna unavyoona ramani ya dunia inavyokuwa inaonyeshwa. Actually kaskazini sio juu ila ni namna tu ya kuonyesha muelekeo..kwa hiyo..imezoeleka kuwa Kaskazini ni uelekeo wa mbele kwenye ramani (sio juu) wakati kusini ni nyuma...na hapa tunachukulia pia sehemu jua linapochomoza
 
Sawa mkuu, yawezekana hapo ndio pananichanganya mimi. Tukiachana na ramani tunazoona, dunia kama duara imekaaje kiuhalisia? Pia mhimili wake unapita wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kusoma ishu ya uongo iliopostiwa kama hii, Hakika wewe ni mpotoshaji wa kiwango cha juu sana .
 
Sawa mkuu, yawezekana hapo ndio pananichanganya mimi. Tukiachana na ramani tunazoona, dunia kama duara imekaaje kiuhalisia? Pia mhimili wake unapita wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Oval shape..kwa ukubwa wake huwezi kuona kama ni duara sehemu uliyopo..lakini ni uduara unaojitokeza kidogo kidogo..walioenda angani wana mengi ya kutuambia
 
Kama dunia ni flat surface, na jua linaizunguka (kulinga na picha/GIF zilizotumwa) nilitegemea jua lingekuwa linachomoza upande wa kaskazini, alaf kadiri ya linavyozunguka basi likazamie kusini, ila uhalisia upo tofauti"

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

kama umeiangalia GIF vizuri. Iamishie kwenye saa ya mshale then tutapata jibu mshale wa saa unatembea mash/ magharibi, au North / West?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tukisema dunia ni kama meza tujiulize maswali haya matatu..
1. Nini imeshikilia dunia..au tuseme dunia imesimikwa kwenye kitu gani?
2. Jua likizama linaenda wapi hadi lije kuibuka pale pale lilikochomozea siku iliyotangulia?
3. Ni kwa vipi tunapata kupatwa kwa mwezi kama dunia ingekuwa flat??
mkuu kwani hii imeshikiliwa na nini unahoweza kukithibitisha?
Jibu laje mi mwenyewe bado najiuliza yani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dunia ni flat surface, na jua linaizunguka (kulinga na picha/GIF zilizotumwa) nilitegemea jua lingekuwa linachomoza upande wa kaskazini, alaf kadiri ya linavyozunguka basi likazamie kusini, ila uhalisia upo tofauti"

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app

kama umeiangalia GIF vizuri. Iamishie kwenye saa ya mshale then tutapata jibu mshale wa saa unatembea mash/ magharibi, au North / West?

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]Sijakuelewa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kupatiwa majibu na pande zote mbili au kwa upande ambao utakuwa na majibu.

1. Kama dunia inazunguka katika mhimili wake kwa speed kali sana, timing ya ndege kwenye kutua inakuwaje? ( Chukulia mfano zile mashine zilizopo gym kwa ajili ya speed, let say imewashwa na inazunguka kwa speed kali, alaf unaambiwa urukie na kuanza kukimbia juu yake.

2. Na bakia hapo hapo kwenye ndege. Kutokana na speed kali ya mzunguko wa dunia hakuna uwezekana wa ndege wakati inatarajia kutua A, ikajikuta inatua point B?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema inazunguka ardhi pamoja na anga lake la juu

Hit direct to the Ntonku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom