The World is a flat plane and not a globe

Mbona nilichokuuliza hujajibu hapo na wewe unakimbilia kuuliza.

Mimi nataka uniambie kuwa kama satelite zipo kweli kwa nini tunapata hzo google map ya kila sehemu..?

Hyo satelite ni kama blanketi limefunika dunia nzima linaweza kupiga picha ya kila sehemu ya dunia au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi utambue kuna satellite zaidi ya moja na kila moja ina kazi yake. Lakini pia tambua kwamba satellites haziko stationary. Kuna aina kadhaa za satellites kama

Communications Satellite

Remote Sensing Satellite

Navigation Satellite

Geocentric Orbit type staellies - LEO, MEO, HEO

Global Positioning System (GPS)

Geostationary Satellites (GEOs)

Kila moja ina kazi yake, sasa na wewe niambie kuhusu mnara mrefu uko wapi una urefu wa meter/km ngap ? Unapatikana wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta hizo picha za satellite halisi tuzione sio zile za CGI za kuedit.

Alafu we jamaa tumia tena ubongo satelite ipo nje ya dunia inawezaje kutoa taarifa kwenye mpira yaani hzo information kuuzunguka huo mpira na information kutransmit katika sehemu tambalale lioi ni rahisi..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusuhusu Dome ya kioo inayo ifunika Dunia ni fix zenu flat Earthers na muanzisha mada. Hayo mafungu Mliyo yatoa ndani bible kama ushahidi wenu hayaendani na kile mnacho king'ang'ania hapa katika mada.Nimekaa na Wanatheology nguli tumesoma na kuchambua mstari mmoja baada ya mwingine! Sana katika Ayubu 37 utaona Nabii alikuwa akisifia jinsi Mungu alivyo zitengeneza Mbingu imara kama kioo kilicho yeyushwa na sio kama mnavyo danganya hapa eti Dunia imefunikwa na kioo kigumu! Katika ufunuo Bible inaelezea kuwa Mbinguni kuna bahari ya kioo mwishowe mtageuza Neno ionekane Mbinguni kuna kioo juu ya bahari! Someni na muelewe na sio kukurupuka,mmeonesha jinsi gani uwezo wenu wa kusoma na kuielewa Biblia ulivyo mdogo. Hivi wale Jamaa zenu wa flat Earthers waliishia wapi katika utafiti wao kule Antarctic?! Maana wako kimya sana! walijigamba mwaka juzi, ndani ya mwaka 2019 wange kwenda kutafiti Antarctic kama ina mwisho au haina kisha waielezee Dunia walicho kibaini huko !
 
Nimemwambia azungumzie huo mnara mrefu kakimbia, yaan madish yote dunia nzima yanase kwenye mnara mmoja mrefu very funny aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
F

Flat Earthers ni Genge la wakurupukaji wanao jidai kujua! Ukweli wao wanao ulazimisha hapa ni hisia na adithi za kikanjanja walizo soma humu mitandaoni pasipo utafiti wa kutosha! Siyo kweli kwamba Mtoa mada na wenzake ndo watakuwa wamefikilia kwa akili zao hilo suala la flat Earth na kuamua kulielezea! Kila wanacho kiita ndo ushahidi wao, wanapost hisia za Watu wengine toka google humu humu!
 
Kwahio Mkuu unataka kutuaminidha kwamba Imani yako kwamba Earth ni Globe ni mawazo yako wewe?

Sidhani kama ni kweli, kila mmoja kasoma sehemu ila suala la kuamini kipi kati ya hayo linabaki kuwa juu yako

Hakuna mwenye mawazo yake binafsi juu ya hizi nadharia mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safuher The highest height which is recorded so far is 11,000 feet, the drone that flew to this height was DJI phantom 2. Not only did this drone break the record, but it also broke the law.

Kwa urefu huo hakuna drone inaweza leta aerial picture ya hata nchi moja achilia mbali bara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za namna Dunia ilivyoumbwa zinapatikana katika kitabu cha Mwanzo, tena Mwanzoni kabisa....

Hebu soma vizuri utaigundua shape ya Dunia kama ni duara mviringo au duara tambarare.

Halafu humu hatubishani kipi ni sahihi kiumbo ila tunatakiwa tutafakari zaidi na zaidi.

Niwaulize Mnaopinga Dunia Flat.
Kuna kipi mnachokijua ktk Dunia Duara Mviringo ambacho Tunaoamini Dunia ni Flat hatukijui?

Basi tulivyofundishwa tukaendelea kuhoji tukafundishwa tena Dunia Flat ilivyo.. na baada ya hapo tukaanza kutafuta ukweli....
Sasa wewe usiyeisoma elimu ya Dunia flat unawezaje kumpinga mtu mwenye hiyo elimu uliyonayo ya dunia mviringo na akaongezea na nyingine ya dunia flat.?

Jifunzeni kutafiti kabla ya kujibu. We unaona Jua linatembea, mtu anakuambia limesimama unamuamini...

Hiyo hiyo biblia uliyoitumia reference ina andiko la watu kuomba Jua lisimame waendelee kupigana vita bila usiku kuingia, kwanini hawakuomba Dunia isimame?

Kama kuna Sattelite kwanini gharama za mawasiliano ni tofauti kati ya simu za ndani ya nchi ma nje ya nchi?...

Asolimia zaidi ya 90 mawasiliano yanatumia cable zilizosambazwa chini ya bahari dunia nzima, kwanini?

Jamaa wa spice x ametangaza hapo mbeleni atawezesha mawasiliano ya internet kwakutumia sattelite, ina maana hazipo kwasasa?

Fanyeni kugooogle Google Map wanatumia nini kupiga picha ziitwazo za sattelite. Camera zinafungwa kwenye mapashuti yenye uwezo wa kwenda juu zaidi kwa ajili ya nini na kuna sattelite?

Kusuhusu Dome ya kioo inayo ifunika Dunia ni fix zenu flat Earthers na muanzisha mada. Hayo mafungu Mliyo yatoa ndani bible kama ushahidi wenu hayaendani na kile mnacho king'ang'ania hapa katika mada.Nimekaa na Wanatheology nguli tumesoma na kuchambua mstari mmoja baada ya mwingine! Sana katika Ayubu 37 utaona Nabii alikuwa akisifia jinsi Mungu alivyo zitengeneza Mbingu imara kama kioo kilicho yeyushwa na sio kama mnavyo danganya hapa eti Dunia imefunikwa na kioo kigumu! Katika ufunuo Bible inaelezea kuwa Mbinguni kuna bahari ya kioo mwishowe mtageuza Neno ionekane Mbinguni kuna kioo juu ya bahari! Someni na muelewe na sio kukurupuka,mmeonesha jinsi gani uwezo wenu wa kusoma na kuielewa Biblia ulivyo mdogo. Hivi wale Jamaa zenu wa flat Earthers waliishia wapi katika utafiti wao kule Antarctic?! Maana wako kimya sana! walijigamba mwaka juzi, ndani ya mwaka 2019 wange kwenda kutafiti Antarctic kama ina mwisho au haina kisha waielezee Dunia walicho kibaini huko !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhan kama kuna drone inaweza fly high kiasi hicho vitu vingine muwe mnareason kabla ya kusema.

Halafu nimekuuliza kuhusu mnar mrefu hujajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka upate jibu. Boda ya Tunduma eneo la mpaka lilibomolewa 2019/11/02, la kini ukizoom google maps bado wanapicha za mwaka juzi. Kwa hiyo bado drone yao haijapita hilo eneo. Ninasema hivyo ninaushaidi wa kuona wakiwa na drone inatembea juu na gari likiwa linatembea chini na mtambo wa mawasiliano ukiwa umefungwa kwenye gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za namna Dunia ilivyoumbwa zinapatikana katika kitabu cha Mwanzo, tena Mwanzoni kabisa....

Hebu soma vizuri utaigundua shape ya Dunia kama ni duara mviringo au duara tambarare.

Halafu humu hatubishani kipi ni sahihi kiumbo ila tunatakiwa tutafakari zaidi na zaidi.

Niwaulize Mnaopinga Dunia Flat.
Kuna kipi mnachokijua ktk Dunia Duara Mviringo ambacho Tunaoamini Dunia ni Flat hatukijui?

Basi tulivyofundishwa tukaendelea kuhoji tukafundishwa tena Dunia Flat ilivyo.. na baada ya hapo tukaanza kutafuta ukweli....
Sasa wewe usiyeisoma elimu ya Dunia flat unawezaje kumpinga mtu mwenye hiyo elimu uliyonayo ya dunia mviringo na akaongezea na nyingine ya dunia flat.?

Jifunzeni kutafiti kabla ya kujibu. We unaona Jua linatembea, mtu anakuambia limesimama unamuamini...

Hiyo hiyo biblia uliyoitumia reference ina andiko la watu kuomba Jua lisimame waendelee kupigana vita bila usiku kuingia, kwanini hawakuomba Dunia isimame?

Kama kuna Sattelite kwanini gharama za mawasiliano ni tofauti kati ya simu za ndani ya nchi ma nje ya nchi?...

Asolimia zaidi ya 90 mawasiliano yanatumia cable zilizosambazwa chini ya bahari dunia nzima, kwanini?
Hapa unakosea sana mkuu, hizo cables unazozungumzia zitakuwa fible optics ambazo bongo zimetandazwa juzi tu. Nakupa mfano kijijini kwetu ni very interior hata umeme hakuna ila kuna jamaa ana DSTV na Azam anaonesha mpira hizo signals za madish yake zinatoka wapi wakati hizo cables unazozungumzia hazijafika huko? Au ndo hiyo asilimia kumi inayobaki kwenye 90 ulosema? Au ni mnara mrefu aliosema yule jamaa?

Jamaa wa spice x ametangaza hapo mbeleni atawezesha mawasiliano ya internet kwakutumia sattelite, ina maana hazipo kwasasa?
Angalau hii project unajua na unakubali kwamba ipo, wenzio wanaona kila kitu uzushi

Fanyeni kugooogle Google Map wanatumia nini kupiga picha ziitwazo za sattelite. Camera zinafungwa kwenye mapashuti yenye uwezo wa kwenda juu zaidi kwa ajili ya nini na kuna sattelite?
Hapa ndo unakosea zaidi kweli baloom iweze kupiga picha Aerial ya nchi au bara zima?

Highest height ya baloon kufly unaijua mkuu au unaongea tu?

Halafu unazungumzia kutafiti huo utafiti wako umefanyia wapi mkuu?
 
Ukitaka upate jibu. Boda ya Tunduma eneo la mpaka lilibomolewa 2019/11/02, la kini ukizoom google maps bado wanapicha za mwaka juzi. Kwa hiyo bado drone yao haijapita hilo eneo. Ninasema hivyo ninaushaidi wa kuona wakiwa na drone inatembea juu na gari likiwa linatembea chini na mtambo wa mawasiliano ukiwa umefungwa kwenye gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ni picha tu inaweza pigwa muda wowote.

Yaan drone na gari ipige picha aerial view ya nchi nzima kweli mkuu? Zoomout google map zoom in sehemu yoyote duniani utaiona kwa ukaribu kupitia juu. Sasa sijajua hizo drone ni za namna gani.

Labda niambie hiyo drone ni aina gani ? Na specifications zake zikoje iweze kupiga picha dunia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio Mkuu unataka kutuaminidha kwamba Imani yako kwamba Earth ni Globe ni mawazo yako wewe?

Sidhani kama ni kweli, kila mmoja kasoma sehemu ila suala la kuamini kipi kati ya hayo linabaki kuwa juu yako

Hakuna mwenye mawazo yake binafsi juu ya hizi nadharia mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujanielewa nili maanisha flat Earthers ni wakurupukaji bila ushahidi wa kutosha! Wanatoa hitimisho la Dunia ni flat wakiwa bado hawajapata uhakika zaidi! Mwaka juzi walisema 2019 wange kwenda Antarctic wajue ukomo wake waje waithibitishie Dunia!Lakini mpaka sasa ni kimya tu na bado wanatafutisha ushahidi wa kuunga unga ndani ya Bible.Ukisoma Wewe binafsi utagundua bado kilicho andikwa katika hayo mafungu hakiendani na ushahidi wao!
 
nkumbison Unakosea sana mkuu, hizo cables unazozungumzia zitakuwa fible optics ambazo bongo zimetandazwa juzi tu. Nakupa mfano kijijini kwetu ni very interior hata umeme hakuna ila kuna jamaa ana DSTV na Azam anaonesha mpira hizo signals za madish yake zinatoka wapi wakati hizo cables unazozungumzia hazijafika huko? Au ndo hiyo asilimia kumi inayobaki kwenye 90 ulosema? Au ni mnara mrefu aliosema yule jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom