The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Ni
Habari za namna Dunia ilivyoumbwa zinapatikana katika kitabu cha Mwanzo, tena Mwanzoni kabisa....

Hebu soma vizuri utaigundua shape ya Dunia kama ni duara mviringo au duara tambarare.

Halafu humu hatubishani kipi ni sahihi kiumbo ila tunatakiwa tutafakari zaidi na zaidi.

Niwaulize Mnaopinga Dunia Flat.
Kuna kipi mnachokijua ktk Dunia Duara Mviringo ambacho Tunaoamini Dunia ni Flat hatukijui?

Basi tulivyofundishwa tukaendelea kuhoji tukafundishwa tena Dunia Flat ilivyo.. na baada ya hapo tukaanza kutafuta ukweli....
Sasa wewe usiyeisoma elimu ya Dunia flat unawezaje kumpinga mtu mwenye hiyo elimu uliyonayo ya dunia mviringo na akaongezea na nyingine ya dunia flat.?

Jifunzeni kutafiti kabla ya kujibu. We unaona Jua linatembea, mtu anakuambia limesimama unamuamini...

Hiyo hiyo biblia uliyoitumia reference ina andiko la watu kuomba Jua lisimame waendelee kupigana vita bila usiku kuingia, kwanini hawakuomba Dunia isimame?

Kama kuna Sattelite kwanini gharama za mawasiliano ni tofauti kati ya simu za ndani ya nchi ma nje ya nchi?...

Asolimia zaidi ya 90 mawasiliano yanatumia cable zilizosambazwa chini ya bahari dunia nzima, kwanini?

Jamaa wa spice x ametangaza hapo mbeleni atawezesha mawasiliano ya internet kwakutumia sattelite, ina maana hazipo kwasasa?

Fanyeni kugooogle Google Map wanatumia nini kupiga picha ziitwazo za sattelite. Camera zinafungwa kwenye mapashuti yenye uwezo wa kwenda juu zaidi kwa ajili ya nini na kuna sattelite?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba fungu linalo onesha Dunia ni flat duara katika kitabu cha mwanzo. Kuhusu mawasiliano na internet wilaya niliyopo tumevitumia kitambo kabla ya kuanza uchimbaji wa mkongo wa Taifa! Kuhusu jua kusimama ili watu wapigane hilo linatokana Uelewa wao kwa kipindi hicho! Hapakuwa na teknolojia kubwa kama sasa, mfano mzuri ni Dunia ya leo kabla Watu hatujafundishwa school tunaamini jua linatembea!
 
Mkuu hzo ni editing tu za wewe kuona dunia nzima.
Ila sio kweli.hakuna sattelite huko nje.

Kutokujibu kwangu minara mirefu haithibitishi kuwa kweli satelite zipo.kwa sababu hata minara yetu hii hapa ya tigo na voda hsifanyi kazi ?
Sidhan kama kuna drone inaweza fly high kiasi hicho vitu vingine muwe mnareason kabla ya kusema.

Halafu nimekuuliza kuhusu mnar mrefu hujajibu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unazungumziaje na zile sehemu ambazo ukiweka signal za madishi hupati kitu kabisa...?
nkumbison Unakosea sana mkuu, hizo cables unazozungumzia zitakuwa fible optics ambazo bongo zimetandazwa juzi tu. Nakupa mfano kijijini kwetu ni very interior hata umeme hakuna ila kuna jamaa ana DSTV na Azam anaonesha mpira hizo signals za madish yake zinatoka wapi wakati hizo cables unazozungumzia hazijafika huko? Au ndo hiyo asilimia kumi inayobaki kwenye 90 ulosema? Au ni mnara mrefu aliosema yule jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hzo ni editing tu za wewe kuona dunia nzima.
Ila sio kweli.hakuna sattelite huko nje.

Kutokujibu kwangu minara mirefu haithibitishi kuwa kweli satelite zipo.kwa sababu hata minara yetu hii hapa ya tigo na voda hsifanyi kazi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua minara ya tigo na voda na tigo inavyofanya kazi?

Halafu nimkuuliza kuhusu mnara mrefu uliosema unaratibu mawasiliano dunia nzima, sio ya tigo na voda ambayo naifahamu.

Vipi kuhusu GPS nayo ni uzushi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nkumbison Unakosea sana mkuu, hizo cables unazozungumzia zitakuwa fible optics ambazo bongo zimetandazwa juzi tu. Nakupa mfano kijijini kwetu ni very interior hata umeme hakuna ila kuna jamaa ana DSTV na Azam anaonesha mpira hizo signals za madish yake zinatoka wapi wakati hizo cables unazozungumzia hazijafika huko? Au ndo hiyo asilimia kumi inayobaki kwenye 90 ulosema? Au ni mnara mrefu aliosema yule jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukosea kwangu basi kuwe Kuna Usahihi kutoka kwako.
Kuhusu cable usiniamini mimi just Google it.. kati ya satellite na cable kipi kinatumika kwa kiwango kikubwa katika mawasiliano baina ya nchi na nchi au bara na bara.
Ningekupa uthibitisho ila kajiridhishe mwenyewe.

Kuhusu DSTV na AZAM namna Madish yanavyofanya kazi... Jiridhishe kwanza kweli ukijuacho ndicho hicho... je dish ni kwa ajili ya kunasa sattelite tuu.?

Ndo maana zinaitwa satellite dish mkuu, zinachukua signal direct kutoka kwenye satellite.

Sat finder unaifahamu mkuu, kama unaijua huwa inatafuta minara au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nkumbison Hiki kifaa kinaitwa sat finder kama unafunga dish huna haja ya kuzungusha ungo kinatafuta satellites chenyewe.

Sasa na hawa wenye hiki kifaa nao ni uzushi? Au huwa kinasearch minara?
rBVaJFlbDhSAVB9iAAGYS4w0wfs462.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za muda huu tena. Kuna mdau hapo juu ameongelea swala la Google earth(map) kama mfano wa kazi za satelite huko angani nadhan ni kutokana na uzoefu wake. Binafsi nimejaribu kuzoom out Google map hadi mwisho ili nijionee shape ya dunia yetu kwa kutumia hiyo satelite ila nimeshangazwa kuona Antarctica ndio boundary yetu na mabara yote yamekuwa displayed kama ramani ya flat earth waliyoelezea REALITY na wenzake. Naomba kuwasilisha

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Hakuna sehemu nilisema satellite inapiga picha dunia nzima mkuu, bali sehemu kubwa kama nchi au ahata bara zima

Nilikuwa najaribu kuwonesha hao wanaosema satellite hazipo, nikauliza hizo picha zinapigwa na nini wkaanza mnara mrefu, mara drone , wa mwisho parachute.

Nikauliza hiyo drone inayoweza piga picha hivyo ni aina gani, nijuavyo mimi highest attitude ya drone ni 11000 feet, kimya

Huo mnara mrefu uko wapi, una urefu gani angalau nifuatilie na mimi niujue kimya.

Mwingine katafiti anasema kamera zinawekwa kwenye maparachuti huyu ndo nilishindwa kumuelewa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am still insisting the world is fixed no acceleration.
Accelerating heading where??
The world is still as you see it and feel it,no rocket science in pure reality.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaniuliza swali mimi? Huna habari?

Soma, fuatilia misimamo ya flat-earthers wenzako, si mimi niliyesema hivyo!

Hilo swali kawaulize wenzako kuwa walifikia wapi mpaka kuja na hiyo nadharia ambayo wewe unaipinga?

Na unaipinga kwa misingi gani tofauti na wenzako?

Swali jingine, wewe ni flat-earther wa namna gani?
 
You are highly indoctrinated in a way that you cant even comprehend simple and logical perspectives,go find books about newton and copernicus plans for global transition ,ndo urudi hapa,imagine newton anasema "even if we say the sun is 56 million miles away or 93 or 35 its literally the same because nobody can prove it wrong"

Halafu jaribu kutumia ubongo wako kufikiri sio kufikiri kupitia ubongo mwingine ,utakuwa mtumwa wa fikra na msindikizaji,kama uliambiwa watu wanaenda space subiri hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
What simple and logical perspectives???

Flat-earth and your claims are illogical and absurd. Period!

Unasema nitumie ubongo wangu kufikiri....Hahaha! wakati huohuo unaamini katika illusions pamoja na conspiracy theories with no evidence whatsoever to support those claims.
 
Kusuhusu Dome ya kioo inayo ifunika Dunia ni fix zenu flat Earthers na muanzisha mada. Hayo mafungu Mliyo yatoa ndani bible kama ushahidi wenu hayaendani na kile mnacho king'ang'ania hapa katika mada.Nimekaa na Wanatheology nguli tumesoma na kuchambua mstari mmoja baada ya mwingine! Sana katika Ayubu 37 utaona Nabii alikuwa akisifia jinsi Mungu alivyo zitengeneza Mbingu imara kama kioo kilicho yeyushwa na sio kama mnavyo danganya hapa eti Dunia imefunikwa na kioo kigumu! Katika ufunuo Bible inaelezea kuwa Mbinguni kuna bahari ya kioo mwishowe mtageuza Neno ionekane Mbinguni kuna kioo juu ya bahari! Someni na muelewe na sio kukurupuka,mmeonesha jinsi gani uwezo wenu wa kusoma na kuielewa Biblia ulivyo mdogo. Hivi wale Jamaa zenu wa flat Earthers waliishia wapi katika utafiti wao kule Antarctic?! Maana wako kimya sana! walijigamba mwaka juzi, ndani ya mwaka 2019 wange kwenda kutafiti Antarctic kama ina mwisho au haina kisha waielezee Dunia walicho kibaini huko !
Hiyo trip yao ya Antarctica wameipiga chenga.

Mara ya mwisho walidai wataenda mwaka huu, baadaye wakabadili kauli.

Hawaeleweki!

Next time, wakitaka kwenda huko itawabidi waunde kwanza navigation systems za kipeke yao maana kama wata-rely katika mifumo iliyopo hususani GPS katika hiyo safari yao, itakuwa ni kituko cha karne.
 
Hakuna sehemu nilisema satellite inapiga picha dunia nzima mkuu, bali sehemu kubwa kama nchi au ahata bara zima

Nilikuwa najaribu kuwonesha hao wanaosema satellite hazipo, nikauliza hizo picha zinapigwa na nini wkaanza mnara mrefu, mara drone , wa mwisho parachute.

Nikauliza hiyo drone inayoweza piga picha hivyo ni aina gani, nijuavyo mimi highest attitude ya drone ni 11000 feet, kimya

Huo mnara mrefu uko wapi, una urefu gani angalau nifuatilie na mimi niujue kimya.

Mwingine katafiti anasema kamera zinawekwa kwenye maparachuti huyu ndo nilishindwa kumuelewa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo sahihi kabisa, swala langu ni hili, inakuaje ninapotumia Google map naona sehemu yote ya dunia ila katika muonekano wa flat na sio spherical kama tunavyoambiwa!? Kwanini Antarctica ndio boundary yetu!?

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Kusuhusu Dome ya kioo inayo ifunika Dunia ni fix zenu flat Earthers na muanzisha mada. Hayo mafungu Mliyo yatoa ndani bible kama ushahidi wenu hayaendani na kile mnacho king'ang'ania hapa katika mada.Nimekaa na Wanatheology nguli tumesoma na kuchambua mstari mmoja baada ya mwingine! Sana katika Ayubu 37 utaona Nabii alikuwa akisifia jinsi Mungu alivyo zitengeneza Mbingu imara kama kioo kilicho yeyushwa na sio kama mnavyo danganya hapa eti Dunia imefunikwa na kioo kigumu! Katika ufunuo Bible inaelezea kuwa Mbinguni kuna bahari ya kioo mwishowe mtageuza Neno ionekane Mbinguni kuna kioo juu ya bahari! Someni na muelewe na sio kukurupuka,mmeonesha jinsi gani uwezo wenu wa kusoma na kuielewa Biblia ulivyo mdogo. Hivi wale Jamaa zenu wa flat Earthers waliishia wapi katika utafiti wao kule Antarctic?! Maana wako kimya sana! walijigamba mwaka juzi, ndani ya mwaka 2019 wange kwenda kutafiti Antarctic kama ina mwisho au haina kisha waielezee Dunia walicho kibaini huko !
Hiyo safari ya Flat Earthers walisema watachukua muda gani huko? 😂😂😂😂
Hawa Jamaa wana vituko 😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom