The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Sasa wakuu nyie mmesoma hizo nadharia, full of conspirancy bila kufanya uchunguzi wenu binafsi😃😃.Kina Armstrong wameenda nje ya dunia wameipiga picha, sattelite zinaenda juu zinapiga picha kitu kinatoka cha duara, nyie mnataka kutufundisha nini sasa?😃😃😃.

Watu wa meditation wamegonga meditation zao wanaona ni ya mfano wa mviringo pia, kina Gallilei Gallileo mpaka wakahukumiwa kifo kwa sababu ya kusema ukweli ngoma ni ya mfano wa duara! Sasa wafiche tukijua kuwa iko kama meza watapoteza nini?
Satellite zote za juu ni nadharia kwani?...mi naona satellites za mawasiliano zipo sahihi.......na Kwa faida ya Nani hadi wafiche kuhusu dunia tambarale .........dunia duara bwana
 
Pseudoscience of earth flayers society

Muanzilishi ni huyu ,anadai earth ni square box.
Soma kuhusu yeye utaona picha kuhusu hip society ,hata yeye aliishia njiani kuprove

Orlando Ferguson (November 6, 1846–February 3, 1911) was a South Dakota resident best known today for a detailed flat earth map he created in 1893.

In 2011, Ferguson was the subject of press attention after a copy of his 1893 flat earth map was donated to, and accepted by, the Library of Congress. The Fall River Pioneer Museum in Hot Springs also retains a slightly-incomplete copy.

More specifically, his map depicts a "square and stationary" Earth, based on his literal interpretation of the Bible, which references angels visiting the "four corners" of the world.[1][2] He lectured in Hot Springs on his ideas in 1891, followed up by a 60-page pamphlet full of hypotheses. For instance, Ferguson also asserted that the Sun was 30 miles in diameter and 3,000 miles away from Earth. He also disputed the existence of gravity. However, he was largely forgotten until the 2011 donation.[2] Ferguson also published a magazine in 1896 called "Square World."[3]
 
Do you believe this?why hizo comets zitue kwenye crater tu kuna evidence zozote ama video zinaonesha zinavyotua hizo sehemu?kama hazipo how do we prove its a comet?na comet zimejulikana angani au hapo zilipotua?kama angani wamewezaje kuoanisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka evidence gani wakati zilitua zamani teknolojia haijakua.

Na wewe una evidence yoyote kwamba kimondo cha mbozi sio kimondo halisi ? Achana na crater ya Arizona hapo najua utapinga sababu hakuna kimondo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali yako bana,hizo drone zimewekwa na wanaokuchezea akili yana scientists.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavyonichezea akili wanafaidika nini? Ili iweje?

Mkuu kama umesoma historia baada ya vita ya pili ya dunia kulikuwa na cold war kati ya Marekani na umoja wa kisovieti (1945-1991) moja wapo ya mambo yaliyovuma ilikuwa space race.

Walianza urusi na Yuri Gagarin aliyefanikiwa kuzunguka dunia kupitia orbit mbona Marekan hawakupinga ? Badala yake wakafinikiwa kupeleka binaadam wa kwanza mwezini Neil Armstrong na urusi hawakupinga ilihali walikuwa na vita ushindani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia how do they operate in capturing view.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie hiyo drone inayopiga hizo picha niigoogle nione ikoje (specifications zake) Ukifuatilia huko juu nimeonesha drone ambayo ilivunja rekodi kupiga picha ya juuu zaidi ambayo hakuzidi 11000 feet, above the Earth's surface.

Leta ushaidi wa hiyo drone au drones zinazopiga picha za google maps

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaje mtandao wa simu unakupa kifurushi cha kuangalia startimes na dstv na simu hiyo unayotumia unajua transmission za signals zinatoka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Simu kuwa na vifurushi na dish kuwa na vifurushi ndo ushaidi kuwa dish zinatumia minara seriously???

Transmissions za simu ni minara hiyo inajulikana lakin bado kuna simu za satellite ambazo hazitumii hiyo minara.

Sijui utasema zinatumia nini au nazo hazipo?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom