The Working Class, Savages in Suits

Thanks Madame(Lara 1 kubwa la maadui), story imetulia
 
Thank you for the FEEDBACK, sasa naenda underground kwanzaaa, napotea kabisaa humu. Nikija kurudi ujio wangu utakuwa sio wa kitoto. Pm nipo sio kivile lakini

Pamoja sanaaaa
Utakaa muda gani huko?
 
Honestly kati ya

WORKING CLASS na VALENTINE ipi kali na ni nomaaa!
Valentine.Ronny nimemuonea huruma maskini.Ila naona Linda kavutiwa na utajiri wa HOM mapenzi yalikua kwa Ronny.

Sema ndo ivo huwezi kula mapenzi Linda akaona bora aende kwenye maisha .
 
Ronny ataendelea kujipigia mke wa HOM kimyakimya mpaka atakapochoka yeye,
Na HOM aspokua makini anaeza hata akabambikwa mtoto vilevile.
 
Daaah,what a sad ending?
Nimekosa hata la kusema,zaidi asante muandishi.

Kwangu mimi Valentine story ndio bora kwangu,hii imenihuzunisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…