Iv ni macho yangu au ki cm changu kinaruka page??page ya katikati b4 "2 years later" mbona km siiioni??we Lara1 ww...io page haipo au mwandishi ndo umeiskip??
Hahahaaaa! Is it importan? Kwa mwisho uliopo baada ya kusoma yote, unakubali Linda alikiwa ana mpenda nadni mwanzo mpaka mwishoo? Ronny au HOM twende kwa logic.