The Working Class, Savages in Suits

Tena mashost ndo kabisa...... Shost wa ofisi ni kumpa story za kawaida tu ambazo hata ukisikia kwa watu hazitakudhalilisha
 
Lara 1 una akili sana hadi naplan kukushawishi kama HOM anavyomshawishi Linda.
 
Lara umenikumbusha wakorea yaani wananichezea akiri najikunja kuangalia mi epsode yote nikitajajia gud ending ila wasenge wale wanaboa na kuacha kuona drama zao ziwezi maana wananikuna nasahau kuwa nishawahi kuvutiwa na mbongo. So sishangai bonny kuangukia pua tho inauma that's laifu
 
Hahaaaaaa! Hio ukipewa bila kushurutishwa na MTU yoyote. Ukiwa Na akili zako timamu utaingia Dukani kulipia IPhone Six Plus Na kwenda kumuhonga aliekupa hio style. Ni hatari sanaaa. Weka mbali Na wallet
teh teh teh... Nipe basi dondoo ya hio kitu. Si unajua watu viuno wamefanya mtaji siku hizi.
 
Hahaaaa... Walah na wewe Lara 1 kwa nini unatut.. Mawazo na kutuf akili???? Huoni watu wanavyotabiri mwisho wa hadithi??? Ila HOM mbayaaaaa.. If you are ambitious you are in for it.....
 
I wish u could be my sister lara 1 navopenda story na maumbea ningenenepa hatariiii
 
kwa uelekeo huu hapa nadhani Ronny hana chake kabisaaa......
 
khaaa huyo Linda ashaanza kuniboaaaaa...how cau even think of a man aliyekuaibisha vileeee loooh.Halafu mwanaume gani unaweza kuoa mwanamke ambaye tyr umeshamuexpose kwa watu loooh
 
Lara kwanini usiwe unatengeneza vitabu natumai wateja tutakuwa wengi...maana kwa hii story aisee yaan inanifanya naenda sawia na muda unaoupanga..
 
khaaa huyo Linda ashaanza kuniboaaaaa...how cau even think of a man aliyekuaibisha vileeee loooh.Halafu mwanaume gani unaweza kuoa mwanamke ambaye tyr umeshamuexpose kwa watu loooh
Hata mi nashangaa..
 
Lara my dear,,,ushauri wa bure....think of how to turn these stories into money,,I know huvungi kwenye swala la pesa.
Tena ungeongea na producer mmoja mkali mnatoa movie au series kabisaaa itapendwajeeee?
 
Ila linda anawakilisha aina ya wanawake ambao wanasahau machungu ya mda kwa starehe za siku..yaan huyo HOM Kwangu asingejaribu hata kunisogelea
 
Ending yenyewe kesho jioni mbonaaa,bado episode kama 2 tu,zikizidi sanaa 3. Sipokei Rushwa kubadilisha ending! Yoloooooooooo!
ukiongeza hapo utakuwa una Haribu maana nzima ya stori.. Binafsi hata mimi kwa mtazamo wangu na vile nanavyoisoma Hii stori sipendi Linda Awe na Ronny wala huyo bosi... Nitafurahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…