sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Sasa wote tukianza kuugua kisukari nani atamuuguza mwenzie? Tafuta binti bwana ........hata miye ni mzee mwenzio usitishwe na hiyo 87
Sasa wote tukianza kuugua kisukari nani atamuuguza mwenzie? Tafuta binti bwana ........hata miye ni mzee mwenzio usitishwe na hiyo 87
utamu wa vya wazamani huvuka mara tatu zaidi ya hawa mabinti wa kileo.. Nisikilize mwenzioSasa wote tukianza kuugua kisukari nani atamuuguza mwenzie? Tafuta binti bwana ........
Mie mwenyewe Ni m'baba wa 55+ hivi amazingMie ni mmama wa 50+ uko.......siyo binti tena.......
Nakusikiliza ila kwenye utekelezaji ndo hautatokea.......utamu wa vya wazamani huvuka mara tatu zaidi ya hawa mabinti wa kileo.. Nisikilize mwenzio
Umtumzima....Kwanini? ............
Hahaaaaaa aya bwana..........mzee mwezangu........Mie mwenyewe Ni m'baba wa 55+ hivi amazing
Hakuna mbaba wa 55+ anayetumia manemo kama amazing, ni vijana tu ndo utawasikia "picha fulani hivi amazing"Mie mwenyewe Ni m'baba wa 55+ hivi amazing
Ooooooh aya..........Umtumzima....
naamini tukiyapanga vizuri utekelezaji utakuwa kama kumsukuma mlevi vileNakusikiliza ila kwenye utekelezaji ndo hautatokea.......
Wazee wa dotcom wanaenda sambamba na vijana........Hakuna mbaba wa 55+ anayetumia manemo kama amazing, ni vijana tu ndo utawasikia "picha fulani hivi amazing"
Sasa hutaki...? Sie ndio wadhamini wa show....Hakuna mbaba wa 55+ anayetumia manemo kama amazing, ni vijana tu ndo utawasikia "picha fulani hivi amazing"
Siyo mtekelezaji wa kutoka umu......ni sawasawa na ofisini.......hapa ndukiii moja kubwa.........naamini tukiyapanga vizuri utekelezaji utakuwa kama kumsukuma mlevi vile
Vyema....Ooooooh aya..........
humu mbona ni kama sehemu nyingine tu? Na unaweza kupata mtu ambaye utajivunia na kujipa sifa kuwa ibra anajua kucareSiyo mtekelezaji wa kutoka umu......ni sawasawa na ofisini.......hapa ndukiii moja kubwa.........
Sawa mtu mzima mwenzangu!! Inabidi tukae Kama kamatiHahaaaaaa aya bwana..........mzee mwezangu........
Bora huyu ibra nimkute nje ya jf ila ndani anakuwa ameshakosa vigezo......ndukiiiiii kali.....we jichukulie upo ofisini afu ndo design za kina HOM .....teh utani lakini ingawa namaanisha........humu mbona ni kama sehemu nyingine tu? Na unaweza kupata mtu ambaye utajivunia na kujipa sifa kuwa ibra anajua kucare
Ok, Get it. Salute.Sasa hutaki...? Sie ndio wadhamini wa show....
Hii kamati natilia mashaka............kamati za chief ndukiiiiiiiiiiSawa mtu mzima mwenzangu!! Inabidi tukae Kama kamati