Those idiot rebel did shoot down their own warplane over benghazi a week ago.
Hofsede you dont get these infor from MSM.(Mainstream media) there are us troops in libya doing convert operation i cant reveal the source.
wakikabidhiwa nchi itakuwaje..?
Haya basi next Friday wabongo waandamane tena kuilaani Qatar pia. Sio kuandamana kuipinga US pekee.
Halafu mbali ya kuandamana ingetangazwa na maimamu woote hapo Dar wawaambie wabongo wote wenye ndugu jamaa na marafiki wanaoishi USA, UK, Denmark, Dubai (UAE), Canada na nchi zoote zilizohusika kwenye uvamizi wa Libya warudi nyumbani. Waislamu wote wabongo wanaoishi nchi hizi waondoke asap.Msusie hela zote mnazotumiwa via Moneygram na Western Union toka kwa jamaa zenu wanaoishi ktk nchi hizo. La sivyo ndio yale yale baniani mbaya......tuache unafiki na kufuata mkumbo
Seriously Marines? Ungesema Special Forces au Delta Force ningekuelewa ila marines hapa hii ni story ya kijiweni, by the way word is kuna 350 British SAS kutoka kwenye SBS wana operate deep in Libya for a while now.Some us marine are on the ground in libya helping rebel to retake oil rich town of adabiya.26th marine Expeditionary unit
Wacha longo longo eti siwezi kureveal source unataka kutuambia una observe OPSEC?Those idiot rebel did shoot down their own warplane over benghazi a week ago.
Hofsede you dont get these infor from MSM.(Mainstream media) there are us troops in libya doing convert operation i cant reveal the source.
The issue here is transparent as my grandmother's nightgown,libya will never be the same again it is going the afaghnstan way.
Half million protester in london prostest war turn violent
we endelea kushabikia ujinga na ukoloni mamboleo wa usa! Jaribu kuvuta picha libya ya ghadafi na libya baada ya ghadafi itakuwaje? Unafikiri kumtoa ghadafi kutaleta aman libya? Ni watu wangapi watakufa kwenye hiyo operation?
Sehemu yoyote ambayo usa aliingia kuleta demokrasia au peace kwa vita hakuna hiyo amani. Soon libya itakuwa source ya magaidi
Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Wanajeshi wanaoshiriki kwenye operesheni za Libya
Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Baadhi ya ndege za kijeshi zinazoshiriki katika operesheni nchini Libya pumba hujui lolote kama unajua basi umeamua kufumbia macho! Hadi leo hujui kuwa usa walieuata mafuta iraq? hivi na wewe unaitwa great thinker eti? Kawambie wakuoneshe silaha za maangamizi walizosingizia kuwa sadam hussein anazo.
Kabla ya no fly zone usa ilikuwa nchi ya kwanza kusogeza manoari za kivita karibu na libya. Then un haikuwaagiza wakaimpliment no fly zone walijipeleka wenyewe. Then kwa nini wasiende ivory coast kumtoa gbagbo km wanauchungu na raia?
Mkuu Greek ni wale wasio juwa kusoma ndio wanachuki na USA. Hata kuandika bango tu imewashinda. Don't even bother about them, they are loooosers of life.[/QUOTma E]
.............. hivi ni nani msomi Dunia hii ?! kwa vigezo vipi !? kuwa bingwa wa mikakati ya dhulmah unaita usomi ? umejiuliza hapa kwenu (TZ) kama kuna wasomi ? watu wanao saini mikata ya kupewa mrahaba 3 % !, kuna vichwa humu vimejaa pumba za CNN na ABC, kisha vinajiita great thinker ! shame on you !
Hongera wewe mwenye point mkubwa. Ila sikutaka kujua kama ni pumba au mchele toa ushahidi(evidence) na source yako inayoonyesha USA walifuata mafuta Iraq & Afghanistan. Kwanini isiwe sababu nyingine, Inawezekana walikwenda as military retaliation after 9/11 au kutibua kichaka cha magaidi. Why just a cheap solution?
Hapo kwenye red ebu tuwekee nchi zote ambazo US imezivamia tuangalie kama zina amani au la.
As of yesterday Turkey wamekubali kushiriki kwenye kuenforce no fly zone in Libya.
........ husikiii ! lakini hata kuona huoni pia?! Tony Blair anasumbuliwa kila kukicha na ma enquiry ! ......... kwa nini wamsumbue na yeye alifuata magaidi?
....wewe hujui waturk ni mabazazi ?! ........ waislaam amao wanauliza uhalali wa hijab ! wanafagilia sectarium kuwafurahisha "MAKAFIR" kuna unafiki zaidi ya huo ?
This is both not a point and out of topic but nakujibu ili usijisikie mpweke. Unataka wawachukie makafiri na kuwalipua au? Kwani kuhoji uhalali wa kitu (hijab) hairuhusiwi?