Ni nani huyu ndugu?Bongo bwana kuwa maarufu simple tu.View attachment 1265625
Mkata mauno kwenye shereheNi nani huyu ndugu?
kwa upupu huo?Karibu Dar mkuu...hakikosekani cha kufanya.
ngoja nimalize kuvuna kwanza nije kuona matoto ya kiume yanavyokata mauno na kupata umaarufu.Na wewe unachagua upupu wako maisha yanaenda [emoji1][emoji1][emoji1]
Dah! Jf raha sana sio kwa majibu hayaMkata mauno kwenye sherehe
Kashfa iko wapi hapo mkuu?au niseme ni mfanyakazi wa bank wakati sio?huyo ni mkata mauno kwenye shereheyeye anakashifu mwenzie anasaini mikataba