The Watchers: Salamu Toka ICC..."Tread Careful"

Sidhani kama mleta mada kaomba uaminifu wako kwenye hili, alicho fanya ni uzalendo binafsi wa kuji tolea tu.

Kingine acha ushamba, icc ni ofisi huru, waweza tembelea hata wewe kujifunza au kusikiliza kesi.

Alafu una sound biter sana kuona mwana ana zunguka mitaa hiyo, just chill dude zamu yako ikifika nawe nenda.
Huyo ni mmoja wa mazafakas ambao wamekuwa stuck in denial.
 
Hao ICC naona wanachelewa
Hayo mambo ya kuchelewa yanaweza kufanya hasira za wananchi kupoa na wauaji wakapata utulivu na huwezi jua ikipita miaka wakawa na ushawishi. Kwa wananchi, hata ICC wakiita kes ikose uzito
Ilitakiwa ICC waanze saiv, wauaji wakiwa wamepagawa wanaweweseka, wananchi hawawataki, na ICC wanatoa arrest warrant, hapo itakuwa safi

Jana nimeona Samuya kakutana na Balozi wa Marekani, hii imenipa mashaka
 
US hawezi iingilia hiyo mahakamani mkuu. Ni mahakama huru.

Samurai atakuwa anahangaika tu na huenda kaomba msaada tu wa hela
 
US akitia ushawishi ndo mambo Huwa moto
Ila sera za Trump Sasa, naona hii ICC itachelewa au kupuuza tu
Trump saiv anaangalia fursa huoni majuzi kawapa Congo DR na Rwanda mapesa ili waache vita na wampishe Goma na Kivu ili achimbe dhahabu na almas Kwa amani
Sasa huwezi jua Samuya akimpa Mererani, Kwa ushawishi wa US anaweza kuwaamru ICC waachane na hiyo kesi
 
Hongera sana M.M Mwanakijiji.

Hao wahuni hawawezi kuepuka rungu la ICC kwa mauaji yale waliyofanya ni ngumu
 
Sidhani kama mleta mada kaomba uaminifu wako kwenye hili, alicho fanya ni uzalendo binafsi wa kuji tolea tu.

Kingine acha ushamba, icc ni ofisi huru, waweza tembelea hata wewe kujifunza au kusikiliza kesi.

Alafu una sound biter sana kuona mwana ana zunguka mitaa hiyo, just chill dude zamu yako ikifika nawe nenda.
🤣🤣 Haina comeback hii
 
Dogo kama huyu si ajabu alitoka kwenye familia ya watu wa kipato cha chini sana.

Lakini juu ya yote, naye alikuwa ni binadamu aliyestahili haki zote za kibinadamu, kuu katika hizo haki ni haki yake ya kuishi.

Wakampiga risasi mpaka utumbo wake ukajitokeza nje.

Haiwezekani kuurudisha tena uhai wa dogo.

Tunachoweza kufanya ni kuwawajibisha wote waliohusika na mauaji yake pamoja na yale ya wengine ili kuwatendea haki.

Ni lazima wawajibishwe wote waliohusika.

ICC tunawasubiri kwa hamu sana….

View attachment 3513286
Mashetani sana haya

So kijana kama Huyu ana Athari Gani Kwa utawala mpaka Waka muua !??
 
US akitia ushawishi ndo mambo Huwa moto
Ila sera za Trump Sasa, naona hii ICC itachelewa au kupuuza tu
Trump saiv anaangalia fursa huoni majuzi kawapa Congo DR na Rwanda mapesa ili waache vita na wampishe Goma na Kivu ili achimbe dhahabu na almas Kwa amani
Sasa huwezi jua Samuya akimpa Mererani, Kwa ushawishi wa US anaweza kuwaamru ICC waachane na hiyo kesi
Hili hata Mimi Lina litafakarisha sana Kwa kweli
 
Huijui
Hao ICC naona wanachelewa
Hayo mambo ya kuchelewa yanaweza kufanya hasira za wananchi kupoa na wauaji wakapata utulivu na huwezi jua ikipita miaka wakawa na ushawishi. Kwa wananchi, hata ICC wakiita kes ikose uzito
Ilitakiwa ICC waanze saiv, wauaji wakiwa wamepagawa wanaweweseka, wananchi hawawataki, na ICC wanatoa arrest warrant, hapo itakuwa safi

Jana nimeona Samuya kakutana na Balozi wa Marekani, hii imenipa mashaka
ICC yaani kibaraka pendwa wa Trump , Netanyau lakin ICC wametoa arrest warrant, wako slow but professional, haitafika mwezi wa ,8 , 2026 arrest warrant zitakuwa zimetolewa
 
Pumba tupu
Naona bado unatembea na upepo wa magazeti ya uhuru na mzalendo
Kwa hiyo ukiandikaandika na kubandika humu wote waaamini ulichoaandika
Wewe uende ICC una miadi nao yaani unaona humu kumejaa nyumbu za kuchota tu, au ni kile kivideo ulikiweka hapa unakatiza mitaa ya deh haag ndio unadhani tutakuamini kirejareja hivyo
Naijua Holland nje ndani acha kuandika upupu humu..

Mfumo wetu wa haki uko corrupted mno sasa hivi.
Unajua ni kuwa watu wanafikiri kwa leo kupita kwa utulivu kunaondoa kuwajibika kwa Oct 29th
 
Pumba tupu
Naona bado unatembea na upepo wa magazeti ya uhuru na mzalendo
Kwa hiyo ukiandikaandika na kubandika humu wote waaamini ulichoaandika
Wewe uende ICC una miadi nao yaani unaona humu kumejaa nyumbu za kuchota tu, au ni kile kivideo ulikiweka hapa unakatiza mitaa ya deh haag ndio unadhani tutakuamini kirejareja hivyo
Naijua Holland nje ndani acha kuandika upupu humu..
Majungu au uchawa
 
Nyie ndio "mijamaa primitive" ya CCM kama Habil Kabil anavyowaita

Yaani kwa ushamba na ujinga wako unadhani ICC ni chumbani kwa Chura Kiziwi a.k.a Bi Samia Suluhu Hassan a.k.a Bi Kizimkazi a.k.a Idd Amin Mama kwamba unatakiwa kuingia kwa tahadhari kwa kuwa unaweza kumkuta yuko uchi

ICC ni kama Kisutu - DSM. Anyone, anytime anaruhusiwa kwenda hapo kujifunza kwa kuuliza maswali na kujibiwa..
 
Dickhead umeshawahi kufika Holland?
Unapajua ICC Den Haag?
wewe hujawahi hata kufika Burundi tu hapo unabwabwaja upupu
Unadhani ICC unaingia tu kama choo cha jiji
 
Back
Top Bottom