Mkuu ile aya yako ya mwisho inaelezea upuuzi fulani ndani yako! Utanisamehe bure!..
Ni kivipi hao unaowaita magenius kuamini kwao Mungu kunafanya wengine wasipinge..??
Kauli uliyotumia kuuelezea ujumbe wako huo kumemaanisha hata Mungu humjui!,na sio tu humjui bali hana mawasiliano nawe!.. maana unautumia u genius wa wengine kukubali kwao uwepo wake kuwa ndio uwepo wa Mungu huyo!.
Kwanini usiitumie nafasi yako wewe kututhibitishia uwepo wa huyo Mungu ili tujue unamfahamu kweli..??
Imani yako ya kufikiri u genius wa da vinci umekuleteleza kuamini anachokiamini.. hii inamaanisha umeitelekeza sehemu fulani ya nafasi yako ya ufahamu!..
Pamoja na u genius aliokuwa nao Albert Einstein lkn kuna mahali pia kulimpiga chenga!.. quantum theory.
Labda nikuhoji kwa kupitia u genius wa hao unaowaamini nithibitishie uwepo wa Mungu..???
Ukitaka ujue Mungu yupo, jifunze kuuingia ulimwengu wa roho kwa ukamilifu wake. Wazungu wanaita "spiritual meditation". Ukiweza kuzama kabisa kwenye through spiritual meditation, then utaujua ulimwengu wa roho unavyofanya kazi.
Spiritual meditation lazima iwe na godly source of spiritual power. Uchaguzi ni wako, either u-sourse spiritual power kwa MUNGU wa mbinguni (YAHWE) au mungu mwingine (shetani). Uki-source spiritual meditation kwa godly power ya YESU/YAHWE, then divine spiritual power itokayo kwa YESU/YAHWE ita-connect na NAFSI yako. Na endapo nafsi yako kwasasa iko connected na spiritual power ya mungu mwingine (other than JESUS/YAHWE unayemuomba), basi vita kubwa itaibuka kwenye ulimwengu wa roho kwani ile miungu iliyoshikilia nafsi yako haitakuwa tayari kuiachia kiurahisi, hasa kama ina haki kiroho kuishikilia nafsi yako.
Kumbuka kuwa biashara kubwa kuliko zote duniani ni biashara ya NAFSI ya mwanadamu, and it is purely spiritual business, invisible in the phyisical world but the most dominant of all in this world. Siku shetani atakapo acha kununua nafsi za wanadamu kupitia ibada wanadamu wanazompa shetani ili wanadam hao wapate something beneficial in return, huo ndio utakuwa mwisho wa ustaarabu wa mwanadamu duniani. Sababu ni kwamba mafanikio mengi ya mwanadam ameyapata kwa shetani coz masharti yake ni mepesi kulinganisha na yale ya MUNGU wa mbinguni(YAHWE). MUNGU anataka uache dhambi kabisa na umche kwa ukamilifu ndipo utapata baraka za YAHWE kwenye maisha yako, kitu ambacho watu wengi kimewashinda, hivyo wengi wameamua kukimbilia kwa shetani.